ZEPHANIA LIFE HERBAL CLINIC
  • Home
  • About
  • Service
  • Contact

KLINIKI MAALUMU YA MAGONJWA SUGU

+255 766 431 675  / +255 656 620 725

Dawa Na Matibabu Sahihi
Ya Fangasi Za Ukeni

Fangasi za ukeni

Fangasi za ukeni ni nini?

Fangasi ukeni ni maambukizi ambayo mara nyingi huwapata wanawake katika uke na midomo ya uke (vulva) yanayosababishwa na fangasi inayoitwa candida. Ugonjwa huu hujulikana pia kama fangasi kwenye sehemu za siri. Fangasi ukeni huleta muwasho sehemu ya ndani ya uke ambapo muwasho huo unaweza kuambatana pia na kuvimba kwa uke. Kulingana na mtindo wa maisha, maambukizi ya fangasi sehemu za siri imekuwa ni tatizo kubwa sana kwa wanawake wengi duniani hivi leo ukilinganisha na kipindi cha miaka iliyopita.

Maambukizi haya ya fangasi katika sehemu za siri za mwanamke ambayo husababishwa kwa kiasi kikubwa na fangasi aina ya candida albicans, pia hujulikana kama vaginal yeast infection au vaginal thrush.

Kandida mara nyingi huwepo katika viwango vidogo mwilini. Hata hivyo, katika baadhi ya wanawake, kuna uwezekano fangasi hawa kuwepo kwa wingi na kusababisha maambukizi. Japokuwa huu kwa kawaida siyo ugonjwa unaosambazwa kwa njia ya kujamiiana (STI). Lakini, wakati mwingine unaweza kusambazwa kwa kujamiiana hasa pale kunakupokuwepo na michubuko wakati wa kujamiiana kwani michubuko hutengeneza mazingira mazuri kwa fangasi kuzaliana. Hivyo ni vyema kuepuka michubuko wakati wa tendo la ndoa.

Maambukizi ya candida ni kisababishi kikuu cha muwasho kwenye maeneo ya uke na kutoka kwa uchafu mweupe kama maziwa ukeni. Tatizo hili huambatana na michomo sehemu za siri inayosababishwa na maambukizi ya fangasi jamii hii ya candida. Michomo hii hudhihirishwa kwa kubadilika rangi maeneo hayo(kuwa mekundu) kuwashwa.

Fangasi wa candida wanaweza kukua na kusambaa mpaka kwenye mfumo wa damu, kwenye ubungo na kusababisha tatizo kuwa sugu endapo halitatibiwa mapema.
Hali ya tindikali kwenye mwili inapokuwa kubwa huchangia pia kukua zaidi kwa fangasi hawa wa candida na kusababisha dalili mbaya na aleji kwa vyakula. Mgonjwa anaweza kupata aleji ya vyakula kama mayai, maziwa na vyakula vya ngano.

Chanzo cha Fangasi za ukeni

Kama tulivyoeleza hapo awali, chanzo cha fangasi ukeni ni fangasi wajulikanao kitaalamu kama “candida albicans,” ambao kwa kawaida huishi mwilini. Tumesema pia katika baadhi ya watu, hawa kandida huweza kuongezeka na kusababisha maambukizi. Haya ni maambukizi ambayo huwapata sana wanawake na yanaweza kumkumba mwanamke wa umri wowote.

Mahali gani Fangasi (Candida Albicans) wanapokaa mwilini

Candida albicans hupatikana katika mdomo, mrija wa kupitishia chakula (koromeo), kibofu cha mkojo, uume au katika uke na kwenye ngozi pia, vilevile hupatikana kwenye tumbo, kwapa.

Bakteria hawa huishi katika sehemu hizo bila kuleta madhara, isipokuwa pale mazingira ya eneo husika yanapobadilika mfano mabadiliko katika hali ya pH ambapo pH ya mwanamke ndani ya uke ni 4-4.5 au uwiano wake na vimelea (microorganisms) wengine.

Hivyo pH hiyo inapovurugwa kutokana na magonjwa mbalimbali, pia kupungua kwa kinga ya mwili kutokana na magonjwa mbalimbali hupelekea kukua kwa Candida albicans, ndio maana wagonjwa wenye maradhi ya ukimwi na kansa, ama wanaopata matibabu ya  mionzi huwa kwenye hatari kubwa ya kushambuliwa na fangasi.

Maambukizi ya fangasi ukeni yanaweza isiwe ugonjwa hatari sana pale unapoanza lakini huleta usumbufu na harufu kali na hivyo mgonjwa kukosa raha na amani.

Fangaju 1

Bawesi Dawa ya bawasiri

FANGAJU 1 NI DAWA YA FANGASI YA KUNYWA
INATIBU FANGASI KUTOKEA NDANI


Huimarisha mfumo wako wa kinga na huchochea utengenezwaji wa chembechembe nyeupe za damu zinazopambana na aina zote za maambukizi.

FANGAJU 1 ina antifungal yenye nguvu ambayo inaweza kutibu na kuzuia fangasi aina zote na kuzuia kurudi tena.

+255 766 431 675/+255 656 620 725

Vihatarishi vya fangasi za ukeni

Je, mambo gani huongeza hatari kwa mwanamke kupata fangasi ukeni?
Chanzo cha fangasi ukeni ni fangasi wajulikanao kitaalamu kama “candida albicans,” ambao kwa kawaida huishi mwilini. Kandida huweza kuongezeka na kusababisha maambukizi.  Haya ni maambukizi ya kawaida sana kwa wanawake na yanaweza kumuathiri mwanamke wa umri wowote.

Maambukizi hayasambazwi kwa njia ya kujamiiana (STI). Hata hivyo hutokea zaidi kwa wale wanaoshiriki katika tendo la ndoa wakiwa na michubuko. Vihatarishi vingine hujumuisha ni pamoja na:

Ugonjwa wa kisukari

  • Kuongezeka kwa homoni ya estrojeni
Kuongezeka kwa homoni estrogeni kwenye damu, mfano watu wanaotumia dawa za uzazi wa mpango hupata sana fangasi kwa sababu dawa hizo huwa na homoni ya estrogeni

  • Kinga dhaifu ya mwili
Candida ni aina ya fangasi ambao wanapatikaa kwenye mdomo, uke, tumbo la chakula na wenye ngozi. Katika hali ya kawaida ya mwili fangasi hawa hawaleti madhara na pia husaidia shuguli za mwili. Pale inaopotokea kinga ya mwili kushuka fangasi hawa huanza kukua kupita kiasi na kuleta madhara. Kushuka kwa kinga ya mwili kutokana na kuugua magonjwa mbalimbali kama vile kisukari, saratani, TB, UKIMWI na saratani ama wanaopata matibabu ya mionzi huwa kwenye hatari kubwa ya kuumwa fangasi ya Candida. Kushuka kwa kinga mwilini, kuna sababu nyingi zinazoweza kusababisha kinga kushuka kama vile, matumizi ya dawa za kushusha kinga mfano dawa jamii ya corticosteroid, chemotherapy, tiba mionzi, ugonjwa wa kisukari na VVU n.k

  • Vidonge na vifaa vya kupanga uzazi
Wanawake wanaotumia vidonge vya kupanga uzazi wanakuwa kwenye hatari kubwa ya kupata fangasi sugu. Hii ni kutokana na kuvurugika kwa mazingira ya kawaida ya homoni. Matumizi ya vifaa vya uzazi wa mpango, mfano sponji ukeni, kizuizi, au kizuia mimba kinachowekwa ndani ya mfuko wa kizazi. Wanawake wanaotumia vidonge vya kupanga uzazi wanakuwa kwenye hatari kubwa ya kupata fangasi sugu. Hii ni kutokana na kuvurugika kwa mazingira ya kawaida ya homoni.

  • Tabia CHAFU ya kujamiiana
Tatizo la fungasi ukeni kwa kawaida limekuwa likijulikana kuwa sio gonjwa la zinaa kwa sababu hutokea hata kwa wale wasio jamiiana. Hii imekuwa hivyo  lakini haimaanishi tatizo hili huwezi kupata kwa njia ya kujamiiana. Endapo mwanamke atakutana na mwanaume mwenye tatizo hili ni rahisi kupata kwa njia hiyo. Tafiti zinaonyesha kuwa mwanamke mwenye mpenzi ambaye ana fangasi ana uwezekano mara 4 zaidi ya kupata maambukizi hayo ukilinganisha na mwanamke ambaye hana mwanaume mwenye fangasi. Tabia nyingine ya kujamiiana ambaye husababisha fangasi ni kujamiiana kwa njia ya kawaida mara tu baada ya kujamiiana kupitia haja kubwa (anal sex).

  • Matumizi ya muda mrefu ya antibiotics
Matumizi ya dawa za antbiotiki (ambazo huua bakteria walinzi wa uke na kuwapa nafasi fangasi kukua). Antibiotics ni dawa muhimu zinazotumika kuua bakteria wabaya kwenye mwili wako. Japo lengo linaweza kuwa ni zuri lakini shida ni kwamba antibiotics haziui bakteria wabaya pekee bali hata wale wazuri ambao ni kinga dhidi ya fangasi. Matumizi ya muda mrefu hupelekea mwili kuwa sugu na kutosikia uwepo wa antibiotics na hivo kufanya mazingira mazuri ya fangasi kumea.

  • Umri
Wanawake wenye umri wa miaka 20-30 wapo katika hatari ya kupata maambukizi haya wakati wale ambao wamekoma hedhi (menopause) na wale ambao hawajaanza kupata hedhi hawako katika hatari kutokana na mazingira au vitu wanavyotumia.

  • UTI sugu
Kama unapata maambukizi ya UTI na fangasi ukeni kila mara, basi kwa kiasi kikubwa fangasi wa candida wanaweza kuzaliana kwa wingi na kukusababishia kuwa na fangasi ukeni.

  • Matibabu ya mionzi ya saratani
Tafiti zinaonesha kwamba kwa wagonjwa wa saratani, fangasi inaweza kusambaa haraka zaidi na kuleta madhara. Hii ni kutokana na tiba ya mionzi (radiotherapy) na dawa (chemotherapy) anayotumia mgonjwa wa saratani. Tiba hizi hupunguza kinga ya mwili na kupelekea fangasi wa candida kusambaa.

  • Kisukari (Diabetes)
Sukari huchochea ukuaji wa fangasi. Wagonjwa wa kisukari wapo kwenye hatari zaidi ya kupata fangasi uekni kutokana na mwili kushindwa kurekebisha kiwango kikubwa cha sukari kwenye damu. Tunashauri wagonjwa wa sukari kutumia dawa yetu ya Kisuakri iitwayo DIABEZE NATURAL ili kurekebisha kiwango cha sukari kwenye damu na kuimarisha afya zao. Dawa hii inatibu na kuponyesha kabisa ugonjwa wa kisuakri. Na imepimwa na kuthibitishwa na Mkemia Mkuu wa Serikali Lab Namba 811/2019.

  • Matibabu ya homoni (hormonal replacement therapy)
Matibabu yoyote ya kuongeza kwa homoni ya estrojeni au progesterone yanaweza kuharibu usawa wa asili wa mwili, ikiwa ni pamoja na bakteria ambayo huweka kila kitu chini ya udhibiti katika uke wako, na mara tu mambo yanapokwenda kombo, maambukizi yanaweza kuanza. 

  • Lishe duni
Lishe isiyofaa inaweza pia kuongeza hatari yako ya kupata fangasi. Baadhi ya madini, vitamini na virutubisho muhimu vinapokosekana katika lishe ni chanzo kikubwa cha maambukizi ya Candida.

  • Msongo wa mawazo
Hakuna ushahidi kwamba kwamba msongo wa mawazo unaweza kusababisha fangasi za ukeni. Lakini kuna ushahidi kwamba mfadhaiko na msongo wa mawazo unaweza kukufanya uwe rahisi kupata fangasi za ukeni. Mfadhaiko unaweza kuathiri mfumo wa kinga na kuruhusu fangasi za ukeni. Msongo wa mawazo wa muda mrefu husababisha kiwango cha cortisol kupanda, ambacho husababisha sukari kwenye damu kupanda, na fangasi hupenda sukari.

  • Kuvaa nguo za kubana na za kuleta joto
Mavazi (hasa chupi) ambayo ni ya kubana au iliyotengenezwa kwa nyenzo kama nailoni ambayo hunasa joto na unyevunyevu inaweza kufanya uwezekano wa maambukizi ya fangasi. Kutumia bidhaa za usafi zenye harufu nzuri na kunyunyiza kunaweza kuharibu uwioano wa bakteria kwenye uke na kufanya uwezekano wa maambukizi ya fangasi.

  • Kuvaa nguo za ndani zisizokauka vizuri
Nguo za ndani zilizolowa baada ya mazoezi, nguo zozote zenye unyevu kwa muda mrefu zinaweza kusababisha maambukizi ya fangasi za uke. Unyevu ni makazi ya fanagasi.

  • Matumizi makubwa ya kondomu
Kondomu inaweza kusababisha maambukizi ya fangasi kwa njia mbili kuu:

Kupitia mpira: Mpira unaweza kusababisha maambukizi ya fangasi kwa sababu huvuruga usawa wa ph ya uke. Wakati ph imezimwa, hakuna bakteria wazuri wa kutosha ili kudhibiti fangasi, na hii inaruhusu candida albicans kukua hadi viwango vya kuleta madhara.

Kiambato cha kilainishi: Kiambato kimoja ambacho mara nyingi huongezwa kwenye kilainishi kwenye kondomu ni Glycerin, ambayo ni aina ya sukari. Kwa bahati mbaya, inapotumiwa kwenye uke inaweza kulisha fangasi kwa urahisi na kusababisha kukua kwa viwango vikubwa. Kiambato kingine kinachotumiwa mara kwa mara ni pombe ambayo inaweza kutoa unyevu mwingi katika eneo hili nyeti kwa urahisi, na kuharibu viwango vya ph, na kusababisha maambukizi ya fanasi.


  • Matumizi makubwa ya kondomu
Vilainishi vingi vina glycerin ambayo huvunja sukari na kukuza maambukizi ya fangasi na ikiwezekana pia ugonjwa wa bakteria wa ukeni (bacterial vaginosis) na huharibu pH ya uke.

.........Je, mwanamke mwenye fangasi ukeni anaweza kumwambukiza mwanaume wakati wa tendo la ndoa? Wanawake wapo katika hatari kubwa ya kuugua fangasi za sehemu za siri ukilinganisha na wanaume, lakini pia hata wanaume huambukizwa tatizo hili.

Aina za fangasi za ukeni

Maambukizi ya fangasi ukeni yamwegawanyika katika sehemu kuu mbili  ambazo ni:

Maambukizi Yasiyo Makali (Uncomplicated Vagina Thrush)
Katika aina hii mgonjwa hupatwa na maambukizi mara moja hadi nne kwa mwaka. Pia dalili huwa si za kuogopesha na maambukizi haya husababishwa na fangasi aina ya candida albicans.

Maambukizi Makali (Complicated Vaginal Thrush)
Katika kundi hili mgonjwa hupatwa na  maambukizi zaidi ya mara nne au zaidi kwa mwaka. Dalili zake huwa ni za kuogopesha kama maambukizi yatakuwa yametokea kipindi cha ujauzito, ugonjwa wa vvu, ugonjwa wa kisukari n.k

Dalili za fangasi za ukeni

Dalili kuu za maambukizi haya ni mwasho na hisia ya kuungua kwenye uke na midomo ya uke. Uchafu mweupe na mzito pia huweza kutokea. Baadhi ya watu pia huweza kupata maumivu wakati wa kukojoa au kujamiiana. Zifuatazo ni baadhi ya dalili za fangasi ukeni ambazo kama tulivyodokeza hapo juu ni pamoja na:

  • Kuwashwa sehemu za siri.
  • Kuhisi maumivu makali  wakati wa kujamiiana.
  • Kuhisi kuwaka moto sehemu za siri mara baada ya kutoka kufanya tendo la ndoa au kutoka kukojoa (burning sensation).
  • Kuvimba na kuwa  mwekundu katika mdomo wa nje/mashavu ya uke (labia minora).
  • Kupata vidonda ukeni (soreness).
  • Kupata maumivu wakati wa kukojoa na kutokwa na uchafu wa rangi nyeupe au kijivu unaoweza kuwa mwepesi, mzito au majimaji.
  • Kutoa harufu mbaya ukeni.
  • Kuhisi kuungua sehemu za uke
  • Kubadilika kwa rangi sehemu za siri
  • Kuchubuka kwa ngozi au mipasuko ya uke
  • maumivu wakati wa kukojoa haswa kwenye mashavu na uke, maumivu wakati wa kujamiiana.

Dalili hizi huwa mbaya zaidi pale mwanamke anapokuwa katika hedhi, siku chache kabla ya hedhi au kwenye ujauzito. Kutokwa na uchafu mweupe mzito kama maziwa mgando unaonata kwenye kuta za uke unaokuwa na harufu kiasi au bila harufu kabisa au kutokuwa na uchafu kabisa au kutokwa na uchafu mwepesi, majimaji na unaoshindwa kutofautishwa na majimaji mengine yanayoweza sababishwa na magonjwa ya zinaa.

FANGAJU 2

BAWESI dawa ya uhakika ya bawasiri

FANGAJU 2

NI DAWA YA KUPAKA

Inatibu fangasi za ukeni

WASILIANA NASI HAPA

Uchunguzi wa vipimo na utambuzi wa fangasi za ukeni

Utambuzi kwa kawaida hufanywa kulingana na dalili na uchunguzi wa kimwili. Ikiwa utambuzi haujathibitishwa, sampuli ya majimaji ya ukeni huweza kuchukuliwa na kupimwa kwa uwepo wa fangasi. Ukienda hospitali unaweza fanyiwa vipimo vifuatavyo:

Hadubini
Kuchukuliwa majimaji kutokakwenye uke kwa kutumia kijiti kisha kupima vitu mbalimbali ikiwemo hali ya asidi ya majimaji hayo, nakuchungulia kwenye hadubidi majimaji ili kuona kama kuna fangasi na aina ya fangasi. Kipimo hiki kinaweza tofautisha kama una fangasi au aina nyingine ya vimelea wanaosababisha kuwashwa ukeni

Kipimo cha kuotesha fangasi
Majimaji yanayochukuliwa huwekwa kwenye vifaa maalumu ili kuotesha vimelea walio kwenye majimaji hayo, hili husaidia kujua aina ya vimelea waliopo kwenye majimaji. Kipimo huchukua mda mrefu. Kipimo hiki si kila mtu hufanyiwa, ni watu wale tu wenye maambukizi sugu na ambayo hayasikii dawa

Vipimo vingine
Vipimo vya kuangalia Vinasaba vya vimelea

Kinga ya fangasi za ukeni

Wanawake wapo katika hatari kubwa zaidi ya kuugua fangasi za sehemu za siri ukilinganisha na wanaume, lakini pia hata wanaume huambukizwa tatizo hili.

Kinga ni bora kuliko tiba. Ugonjwa huu unaweza kujikinga nao kwa kuepuka mambo mbalimbali na kuzingatia kanuni ya afya na usafi. Kwa fangasi za ukeni zingatia haya:
  • Osha sehemu zako za siri kwa kutumia maji safi na jikaushe kwa kutumia taulo au kitambaa safi.
  • Epuka mavazi yote ya kubana ukeni.
  • Kunywa maziwa aina ya mtindi yenye live culture mara kwa mara yatakusaidia kuepusha maambukizi ya fangasi ukeni.
  • Epuka matumizi ya vifaa vya kupanga uzazi na vifaa vya kufanyia mapenzi (sex toys, diaphragm cervical caps) husababisha maambukizi ya fangasi ukeni
  • Epuka kutumia sabuni za kemikali/dawa kuoshea ukeni.
  • Dumisha usafi sehemu za siri kwa maji safi.
  • Epuka kuvaa nguo za ndani zisizoruhusu joto na unyevu kutoka.
  • Punguza matumizi ya vyakula na vinywaji vyenye sukari.

Dawa Na Matibabu Sahihi Ya Fangasi Za Ukeni

FANGAJU - ZEPHANIA LIFE HERBAL CLINIC

Fangasi huweza kufanya mwanamke kushindwa kushiriki tendo la ndoa kwa furaha kutokana na kuwashwa sehemu za siri, kuvimba na kuwa mwekundu katika mdomo wa nje ya uke (labia minora), kupata vidonda ukeni kutokana na kujikuna, kuhisi maumivu makali wakati wa kujamiiana, kupata maumivu makali wakati wa kukojoa, kutokwa na uchafu wa rangi nyeupe, shida za uzazi na hata sarani. Hivyo usiendelee kabisa kuteseka kutokana na fangasi. Tunayo dawa ya uhakika sana.

Lakini, wanawake wengi sana wanapokumbwa na shida ya fangasi za ukeni hukimbilia dawa za hospitali. Dawa hizi hazitibu kabisa. Na wakati mwingine ndiyo kama huchochea tatizo na kulifanya kuwa kubwa zaidi na zaidi. Ni matibabu yasiyo ya uhakika kabisa kwa sababu dawa za hospitali hazitibu chanzo cha tatizo, hivyo ndio maana tatizo hili huwa linajirudia baada ya muda.


Katika kliniki yetu ZEPHANIA LIFE HERBAL CLINIC (ZLHC) tunayo dawa ya uhakika sana iitwayo FANGAJU 1 inayotibu na kuponyesha kabisa fangasi za ukeni kutokea ndani. Na FANGAJU 2 inayotibu na kuponyesha kabisa fangasi za ukeni kutokea nje. Ni dawa hizi: FANGAJU 1 na FANGAJU 2 ni dawa za uhakika sana za fangasi, zinatibu na kuponyesha kabisa; siyo dawa za kubahatisha.

JINSI DAWA ZETU "FANGAJU 1" NA "FANGAJU 2"  ZINAVYOFANYA KAZI:

  • Huondoa kabisa miwasho na uchafu katika uke.
  • Humaliza kabisa maumivu wakati wa kukojoa
  • Hutibu uvimbe na wekundu katika mdomo wa nje ya uke (labia minora) utokanao na kujikuna.
  • Humaliza kabisa harufu mbaya katika uke.
  • Humaliza kabisa maumivu wakati wa tendo la ndoa.
  • Huboresha mfumo wako wa homoni

Huboresha kinga ya mfumo wa mwili na kudhibiti kabisa magonjwa mengine kama vile PID na U.T.I kujirudia mara kwa mara.

Ni muhimu kuelewa kwamba kukua kupita kiasi kwa candida siyo kwa sababu candida wanapatikana kwenye eneo husika, hapana. Na ndio maana tatizo linakuwa gumu kutibika kutokanana na kwamba dawa nyingi huua candida wote na kuua bacteria wazuri na hivo kuharibu msawazo wa mwili. Kumbuka uwepo wa candida ni muhimu kwa ufanisi wa mwili. Dawa yetu inakwenda kubalansi vyema usawa wa bakteria mwilini.

FANGAJU 1 na FANGAJU 2 huponyesha kabisa na hazina madhara kwa mtumiaji. Wasiliana nasi kwa namba za simu +255766431675 / +255656620725 au fika moja kwa moja katika ofisi yetu iliyoko Busweru jijini Mwanza.

DAWA YA FANGASI YA UKENI

TIBA SAHIHI YA UHAKIKA KUTOKA
ZEPHANIA LIFE HERBAL CLINIC


Ugonjwa wa fangasi unatibika vizuri kama utazingatia mfumo wa vyakula na kubadili mtindo wa maisha na kupata dawa sahihi ya asili. Fangasi za ukeni ni ugonjwa unaonyima raha kwa wanawake wengi japo mgonjwa anaweza kuwa anaendelea kufanya shuguli zake kama kawaida, na hali hii hufanya wengi kutofanya uamzi wa haraka wa kutibu mapema na hatimaye tatizo linakuwa kubwa kiasi cha kusababisha hata kansa (yaani saratani), kutofurahia tendoa la ndoa wote wawili mume na mke, kuleta shida za uzazi na magonjwa mengine makubwa.

Dawa hii FANAGAJU NO 1 ni dawa ya kunywa ambayo inatibu fangasi kutokea ndani.

Dawa inayoponyesha bawasiri - Bawesi
  • Dawa hii ya FANGAJU 1 huondosha kabisa maumivu na muwasho.
  • Dawa hii inapaswa kutumiwa mara 2-3 kwa siku ili kudhibiti kabisa fangasi.
  • Hutibu maumivu ya kiuno, mgongo na tumbo.
  • Hondoa harufu mbaya na maji maji ya harufu mbaya ukeni.
  • Imesheheni madini, vitamini na virutibisho vyenye nguvu kubwa sana ya kupambana na fangasi za ukeni.

Dawa hii FANGAJU NO 2 ni dawa ya kutibu  FANGASI kwa nje, ni dawa ya kupaka ambayo inaondosha kabisa dalili zote za fangasi

Bawesi No 2 dawa ya bawasiri
  • Dawa ya fangasi (FANGAJU NO 2) ni dawa ya kupaka ukeni kwa nje. 
  • Dawa hii imesheheni madini ya uponyaji yenye nguvu kama antifungal, antibacterial na anti-inflammatory.
  • Dawa hii ina uwezo wa ajabu wa kuondosha kabisa dalili zote za fangasi.
  • Pia, hupambana na bakteria wote waharibifu.

Tunashauri mgonjwa kutumia dawa zote mbili: FANGAJU NO. 1 na FANGAJU. 2 ili kumaliza kabisa fangasi kwa ndani na nje.

  • Hata kama utaona nafuu kubwa kabla ya kumaliza dozi, tunashauri utumie dawa hadi kumaliza dozi yote tutakayokupatia kulingana na ukubwa wa tatizo lako.
  • Tunashauri kufuata utashauri wa kitaalamu tutakaokupatia ili matibabu yalete tija.

ZEPHANIA LIFE HERBAL CLINIC

Fika katika kliniki yetu au agiza dawa popote ulipo utatumiwa.

email

[email protected]
[email protected]

​

phone

+255 766 431 675
+255 656 620 725​

address

Kisesa, Magu
​Busweru - Mwanza


SOMA ZAIDI MAKALA ZIFUATAZO>>


>>Madhara ya kujichua.
>>Makosa wanayofanya wanaume katika kutibu upungufu wa nguvu za kiume.
>>Dawa sahihi ya ugonjwa wa kisukari (Imepimwa na Mkemia Mkuu wa Serikali).
>>Njia nzuri za kutibu upungufu wa nguvu za kiume.
>>Faida za kitunguu saumu mwilini.
>>Maajabu ya tikiti maji - Ni zaidi ya Viagra!
>>Jinsi ngiri inavyoathiri nguvu za kiume.
>>Tambua jinsi nguvu za kiume zinavyotibiwa kitaalamu.
>>Matibabu sahihi ya nguvu za kiume.
>>Madhara ya kitambi kwa nguvu za kiume.
>>HJN: Dawa inayotibu na kumaliza kabisa tatizo la kupungua nguvu za kiume.
>>Faida 10 za kitunguu saumu mwilini.

>>Bawesi - Dawa sahihi ya bawasiri

Zephania Life Herbal Clinic


Hours

M-F: 7am - 9pm

Telephone

+255 766 431 675
+255 656 620 725

Email

[email protected]
  • Home
  • About
  • Service
  • Contact