ZEPHANIA LIFE HERBAL CLINIC
  • Home
  • About
  • Service
  • Contact
Zephania Life Herbal Clinic

KLINIKI MAALUMU YA NGUVU ZA KIUME

MADHARA YA KISUKARI

Jinsi kisukari kinavyodhuru nguvu za kiume

Picture
Kutibu upungufu wa nguvu za kiume hutegemea sababu na chanzo cha tatizo. Ikiwa mtu kapungukiwa nguvu za kiume kutokana na kisukari, inabidi kutibiwa kisukari na vitu ambavyo tayari vimedhurika na kisukari.
Ugonjwa wa kisukari ni hali ambayo inaharibu uwezo wa mwili kuchakata glukosi ya damu, inayojulikana kama sukari ya damu.
 
Kama hakutakuwa na udhibiti mzuri wa sukari, ugonjwa wa kisukari unaweza kusababisha mkusanyiko wa sukari kwenye damu, ambayo inaweza kuongeza hatari ya matatizo zaidi, ikiwa ni pamoja na kiharusi na ugonjwa wa moyo.
 
Aina tofauti za ugonjwa wa sukari zinaweza kutokea, na kudhibiti hali hiyo inategemea aina ya ugonjwa wa kisukari. Sio aina zote za ugonjwa wa sukari zinatokana na mtu kuwa na uzito mkubwa au kuishi maisha ya kutofanya kazi (maisha ya ulegevu). Kwa kweli, wengine hupata kisukari tangu wakiwa watoto.
 
Aina za kisukari
Aina tatu kuu za kisukari zinaweza kutokea: Aina ya 1, aina ya 2, na ugonjwa wa kisukari cha ujauzito (gestational diabetes).
 
Aina ya kisukari cha Type I: Pia inajulikana kama ugonjwa wa kisukari ya watoto, aina hii ya kisukari hutokea pale mwili unaposhindwa kuzalisha insulini. Watu wenye ugonjwa wa kisukari wa aina ya I wanategemea insulini, ambayo inamaanisha lazima wachukue insulini bandia kila siku ili waishi.
 
Aina ya 2 ya kisukari:
Aina 2 ya kisukari huathiri jinsi mwili unavyotumia insulini. Wakati mwili unatengeneza insulini, tofauti na aina ya I, seli za mwili hazitumii kwa ufanisi kama ilivyopaswa. Aina hii ya kisukari ndiyo inayowapata watu wengi sana dunia.
 
Ugonjwa wa kisukari wa kizazi:
Aina hii ya kisukari hutokea kwa wanawake wakati wa ujauzito pale ambapo mwili unaweza kushindwa kutumia insulini. Ugonjwa wa sukari hautokei kwa wanawake wote na kawaida kisukari cha ujauzito uisha baada ya kujifungua.
 
Aina za kisukari ambazo hazitokei sana mara kwa mara ni pamoja na ugonjwa wa kisukari wa monogenic na ugonjwa wa kisukari unaohusiana na cystic fibrosis.
 
HALI YA KUWA KARIBU NA UGONJWA WA KISUKARI
 
Madaktari wanataja watu wengine kuwa karibu na ugonjwa wa kisukari (prediabetes) au ugonjwa wa kisukari ulio katika mpaka wakati sukari ya damu kawaida huwa katika miligramu 100 hadi 125 kwa desilita (mg / dL).
 
Viwango vya vya sukari ya damu kwa watu wasio na kisukari hukaa kati ya 70 na 99 mg / dL, wakati mtu aliye na ugonjwa wa kisukari atakuwa na sukari ya damu ya kufunga zaidi ya 126 mg / dL.
 
Kiwango cha sukari kinachokaribia kuwa ugonjwa wa kisukari humaanisha kuwa sukari ya damu ni kubwa kuliko kawaida lakini sio juu sana kuweza kuitwa ugonjwa wa sukari.
 
Watu walio na viwango vya sukari vinavyokaribiana na ugonjwa wa kisukari, hata hivyo, wako katika hatari ya kupata ugonjwa wa kisukari wa aina ya pili, ingawa kwa kawaida huwa hawana dalili za ugonjwa wa kisukari kabisa.
 
Sababu za hatari za ugonjwa wa sukari na ugonjwa wa kisukari wa aina 2 ni sawa. Ni pamoja na:

matibabu ya uhakika kutoka zephania life herbal clinic

Utaratibu wetu ni kwamba hatumtibu mgonjwa mpaka tufanye mahojiano naye kwa kina juu ya historia ya afya yake kwa ujumla. Kama yuko nje ya Mwanza, tutahojiana naye kwa simu, kama yuko Mwanza basi anaweza kuja moja kwa moja kwenye kliniki yetu. Kama yuko nje ya nchi, tutahojiana naye kwa njia ya email/au WhatsApp.

Kupitia mahojiano hayo ndiyo tunaweza kufahamu chanzo cha tatizo lake, na pia tunaweza kumshauri kufanya vipimo kama tutaona kuna umuhimu wa kufanya hivyo. Lengo ni kwamba, tunahitaji kumtibu mgonjwa kuanzia chanzo cha tatizo, ni kwa njia hiyo tu ndipo anaweza kupona kabisa tatizo lake.

Matibabu yetu ya kutibu matatizo ya nguvu za kiume humaanisha kwamba; tunatibu matatizo yote yanayosababisha kupungua nguvu za kiume. Tunatibu shida zote zinazoathiri utendaji wa tezidume, tunatibu matatizo ya homoni mwilini, tunatibu tatizo la kufunga choo (constipation) na madhara yaliyoletwa mwilini, tunatibu kabisa kisukari na mtu anapona kabisa, tunatibu kitambi/unene na madhara yake, tunatibu madhara ya kujichua, tunatibu presha ya kupanda na kushuka, tunatibu saratani ya tezidume kabla haijakomaa sana, tunatibu maumivu ya mgongo/kiuno na vyanzo vyake; tunatibu vidonda vya tumbo na mtu anapona kabisa, tunatibu matatizo yote ya moyo, tunatibu presha ya kupanda; tunatibu matatizo ya figo na ini na magonjwa yote ambayo ni sababu ya kupungua nguvu za kiume. 

Hivyo, unapotibu nguvu za kiume, unatibu afya yako kwa ujumla, kinyume na watu wanavyofikiri kwamba labda nguvu za kiume ni ule uume tu!! NGUVU ZA KIUME ZIKO NDANI! Na kuna viungo na vipengele mbalimbali zaidi ya 100 vinavyofanya kazi kwa ushirikiano mkubwa ili kukupatia nguvu za kiume. Kimojawapo kinaposhindwa kufanya kazi kutokana na maradhi, au vyakula tunavyokula au mtindo wa maisha mbaya na mazingira basi nguvu hupungua. Hivyo tunapotibu nguvu za kiume tunatibu kile kitu kilichosndwa kufanya kazi, na tunatibu ugonjwa uliyopelekea kitu hicho kishindwe kufanya kazi vizuri.

Kwa ushauri na matibabu wasiliana nasi kwa namba za simu:
+255 766 431 675/+255 656 620 725;
WHATSAPP +255 766 431 675
EMAIL: [email protected]

TUNATUMA DAWA MAHALA POPOTE ULIPO

Tunatuma dawa mahala popote mtu alipo ndani na nje ya nchi. Kwa watu walio ndani ya nchi, mzigo huchukua siku 3-5 hadi kukufikia. Na kwa watu walio nje ya nchi mzigo huchukua siku 5-7 ambapo mizigo yote tunatuma kwa DHL; tunavyo vibari vya kusafirisha.

VIDEO| jinsi KUJICHUA kunavyoua nguvu za kiume kabisa

BAADHI YA MAGONJWA NA TABIA ZINAZOATHIRI VIUNGO NA VITU MABALIMBALI MWILINI VINAVYOHUSIKA NA NGUVU za kiume

Kuna tabia na magonjwa mbalimbali zaidi ya 200
ambayo hudhuru viungo na vitu mbalimbali ndani ya mwili vinavyohusika na
nguvu za kiume. Hapa tumekuwekea baadhi ya magonjwa na tabia. Bofya kwenye
maneno "Soma hapa zaidi," uweze kufahamu ni kwa namna gani
ugonjwa husika husababisha kupungua nguvu za kiume.

Picture

KUJICHUA

Kujichua ni tendo linaloua kabisa nguvu za kiume; huvuruga homoni, mishipa ya neva, tezi n.k.
SOMA ZAIDI


Picture

KITAMBI

Kitambi kina madhara mengi kiafya ikiwa ni pamoja na kubadilisha homoni ya kiume kuwa ya kike na hivyo kupunguza nguvu za kiume.
SOMA ZAIDI
Picture

KISUKARI

Kisukari hudhuru mishipa ya damu, mishipa ya neva, homoni, figo n.k, na hivyo kupunguza nguvu za kiume.
​
SOMA ZAIDI
Picture

mishipa ya neva

Ugonjwa unaodhuru mishipa ya neva kama vile Parkinson’s disease, kifafa n.k, hupunguza nguvu za kiume.
​
SOMA ZAIDI
Picture

kufunga choo

 Kusukuma choo kwa nguvu muda mrefu hudhuru misuli iitwayo “Pelvic Floor Muscles” na hivyo kupunguza nguvu za kiume.
​
​SOMA ZAIDI
Picture

matatizo ya ini

Matatizo ya ini husababisha kupungua nguvu za kiume kwa sababu hudhuru utendaji wa baadhi ya homoni mwilini.
​
SOMA ZAIDI
Picture

ngiri

Ngiri hudhuru mishipa ya neva iliyo kwenye uume na  homoni ya testestoron na hivyo kupunguza nguvu za kiume.
SOMA ZAIDI

Picture

presha ya kupanda

 Presha ya kupanda hudhuru mzunguko wa damu, homoni, mishipa ya neva na hivyo kufanya nguvu za kiume kupungua.
SOMA ZAIDI

Picture

uvutaji sigara

Uvutaji wa sigara hudhuru mishipa ya damu ya ateri na hivyo kusababibisha nguvu za kiume kupungua.
SOMA ZAIDI

Picture

baiskeli

Uendeshaji wa basikeli muda mrefu hudhuru mishipa ya neva kwenye korodani na hivyo kupunuguza nguvu za kiume.
SOMA ZAIDI

Picture

upasuaji

Matibabu ya upasuaji huweza kudhuru mishipa ya neva na hivyo kupunuguza nguvu za kiume.
SOMA ZAIDI

Picture

pombe

Pombe huleta mabadiliko makubwa  kwa kuvuruga utendaji wa vitu vingi mwilini na hivyo kupunuguza nguvu za kiume.
SOMA ZAIDI

Picture

viagra

Watu wengi hukurupuka kutumia Viagara na jamii ya Viagara, si tiba kabisa na huchangia sana kuua nguvu za kiume.
SOMA ZAIDI

Picture

tezidume

 Kuvimba kwa tezidume au saratani hudhuru utendaji wa tezi hiyo muhimu na hivyo kupunguza nguvu za kiume.
SOMA ZAIDI

Picture

ULAJI MBAYA

Ulaji mbaya hudhuru na kuharibu utendaji wa mifumo ya mwili, na hivyo kupelekea maradhi mengi na upungufu wa nguvu za kiume.
SOMA ZAIDI
Picture

kuchelewa kulala

Usingizi huchaji upya akili na mwili. Kukosekana kwake hudhoofisha mwili na hivyo kupunguza nguvu za kiume.
SOMA ZAIDI

Picture

msongo wa mawazo

 Msongo wa mawazo ni hatari kwa afya yako. Hupandisha baadhi ya kemikali na kusababisha nguvu za kiume kupungua.
SOMA ZAIDI

Picture

compyuta

Kutumia komputa muda mrefu hupunguza nguvu za kiume kutokana na mionzi, pia kuweka laptop kwenye miguu ni hatari.
SOMA ZAIDI
Picture

vidonda vya tumbo

Vidonda vya tumbo hupunguza nguvu za kiume kwa kudhuru viungo na vitu vinavyohusika na nguvu: vilivyo karibu yake.
SOMA ZAIDI
Picture

mionzi ya simu

Matumizi mabaya ya simu huingiza mionzi mingi mwilini na hivyo kupunguza nguvu za kiume na kudhuru afya zetu.
SOMA ZAIDI
Picture

ukosefu wa mazoezi

Kutofanya mazoezi ni hatari sana kwa afya yako. Mifumo mingi mwilini hudhurika na hivyo nguvu za kiume kupungua.
SOMA ZAIDI
Picture

maumivu ya kiuno

Uti wa mgongo hasa eneo la kiuno ndiyo kituo kikuu. Shida yoyote kwenye eneo hilo hupunguza nguvu za kiume.
SOMA ZAIDI
Picture

magonjwa ya figo

 Figo zina mchango muhimu sana katika nguvu za kiume. Shida yoyote katika figo husababisha nguvu za kiume kupungua.
SOMA ZAIDI
Picture

matatizo ya homoni

Matatizo ya kihomoni ndani ya mwili ni sababu kubwa kwa wanaume wengi kupungukiwa nguvu za kiume.
SOMA ZAIDI 

MAKALA MAALUMU

Je, wewe umewahi kujichua?Usiache kusoma hapa.
​

dawa zetu ni za

Asili
Dawa zetu zinatokana na mimea tiba na matunda kutokana na miti ambayo imethibitika kisayansi kuwa ina uwezo wa mkubwa wa kutibu matatizo mbalimbali ya kiafya ikiwa ni pamoja na matatizo ya nguvu za kiume kwa uhakika mkubwa.

kuthibitishwa kwa

Mkemia
Kwa kuwa tumejikita katika kuhudumia wagonjwa kwa matibabu ya uhakika; baadhi ya dawa zetu nyingi zimepimwa na kuthibitishwa na Mkemia Mkuu wa Serikali kuwa ni nzuri hazina madhara yoyote.  Na zingine ziko kwenye mchakato.

matibabu yetu ni

Uhakika
Matibabu yetu ni ya uhakika, si ya kubahatisha. Tunatibu hadi mgonjwa apone kabisa. Tunatibu kuanzia chanzo cha tatizo. Tunamtibu mgonjwa mahala popote alipo ndani na nje ya nchi. Usipopona unarudishiwa nusu ya gharama au yote.

BAADHI YA DAWA ZETU

Zifuatazo ni baadhi ya dawa zetu zinazotibu nguvu za kiume kwa uhakika mkubwa sana
Picture

BODY COMPLEX

Inarekebisha mifumo ya mwili, na kutibu magonjwa mengi.
SOMA ZAIDI
Picture

BALIJAAM

Inatibu uregevu wa uume na kufika haraka kileleni.
SOMA ZAIDI
Picture

EXPORERE

Inaimarisha stamina ya mwili na kukufanya urudie zaidi.
SOMA ZAIDI
DAWA YA UHAKIKA YA KUZUIA KUFIKA HARAKA KILELENI

magonjwa mengine tunayotibu kwa uhakika mkubwa

Picture

matatizo ya ngozi

Picture

pumu

Picture

saratani

DAWA YA UHAKIKA YA KUZUIA KUFIKA HARAKA KILELENI
Picture

matatizo ya HEDHI

Picture

BAWASILI

Picture

BARIDI YABISA

DAWA YA UHAKIKA YA KISUKARI. IMEPIMWA NA
KUTHIBITISHWA NA MKEMIA MKUU WA SERIKALI.

MAELEZO ZAIDI BOFYA HAPA

DAWA YA UHAKIKA YA KUZUIA KUFIKA HARAKA KILELENI
Picture

sickle-cell

Picture

fangasi za ukeni

Picture

kipanda uso

Picture
Dr. Khamisi Ibrahim Zephania ni daktari bingwa aliyebobea
katika kutibu matatizo ya nguvu za kiume na magonjwa sugu. Anatibu
hadi tatizo lako liishe kabisa. Ni matibabu
ya uhakika wala si ya kubahatisha.
+255 766 431 675/+255 656 620 725

WHATSAPP: +255 766 431 675
EMAIL: [email protected]

ONYO: Ni marufuku kunakili makala hizi, hatua kali za kisheria zitachukuliwa. Baadhi ya watu wana tabia ya "kukopi" na "kupesti" masomo haya kisha kutupia kwenye blogu zao na kujifanya wanaweza kutibu matatizo ya nguvu za kiume ilihali hawawezi chochote. Kutibu upungufu wa nguvu za kiume sio rahisi vile watu wanavyofikiri. Inahitaji utaalamu na ubobezi wa hali ya juu sana katika mfumo wa uzazi wa mwanamume. Sio kubugia dawa tu. Nawe mgonjwa kuwa makini sana; epuka kutapiliwa.

KWA USHAURI NA MATIBABU, KUAGIZA DAWA, kuripoti
maendeleo yako UNAWEZA KUWASILIANA NASI
POPOTE ULIPO, TUTAKUFIKIA.

BOFYA HAPA

Click To Add H1 Text

Click To Add H1 Text

Zephania Life Herbal Clinic


Hours

M-F: 7am - 9pm

Telephone

+255 766 431 675
+255 656 620 725

Email

[email protected]
  • Home
  • About
  • Service
  • Contact