Zephania Life Herbal Clinic
  • Home
  • Contact
  • About
  • Service

zephania life herbal clinic

kliniki maalumu ya nguvu za kiume

​PID – Tiba na Dawa Sahihi ya Asili

Suluhisho Kamili la PID Sugu Kupitia PIDSAFE™

Picture

1. PID ni Nini na Kwa Nini ni Hatari Sana?

PID (Pelvic Inflammatory Disease) ni maambukizi ya ndani ya mfumo wa uzazi:
  • Uterus (mji wa mimba)
  • Fallopian tubes (mirija ya uzazi)
  • Ovaries (yait’ ya mayai)
  • Na wakati mwingine hufika hadi tumbo la chini karibia utumbo
Hapa ndipo tatizo huwa kubwa; PID sio UTI ya kawaida, wala fangasi ya kawaida --
Ni ugonjwa unaoweza kuharibu uzazi wa mwanamke bila hata kuhisi dalili mwanzoni.
  • 70% ya wanawake hawajui kama wana PID hadi wanapotafuta mtoto
  • PID sugu inaweza kusababisha mimba nje ya kizazi (ectopic pregnancy)
  • Baadhi ya hospitali hutibu dalili tu—bakteria hubaki ndani

Jinsi PIDSAFE™ inatatua hili

  • Ina viua-sumu asilia vinavyopenya hadi ndani ya mirija ya uzazi
  • Ina anti-inflammatory kuondoa uvimbe
  • Inabomoa biofilm iliyoficha bakteria
  • Inaponya maeneo yaliyoharibika
Hivyo inamaliza chanzo chake kabisa sio dalili tu

2. Sababu Kuu za PID

Zifuatazo ndizo zinazoongoza kwa 95% ya maambukizi:
  • Bakteria    >>Husambaa kutoka uke → mlango wa kizazi → mirija
  • Ngono bila kinga   >>Kuingiza bakteria moja kwa moja
  • Fangasi sugu  >>Huongeza uoto wa bakteria
  • UTI sugu  >>Maambukizi kupanda juu
  • Kudoea dawa  >>Bakteria kuwa sugu
  • Uchafu wa hedhi  >>Kuongezeka kwa vijidudu

​ Jinsi PIDSAFE™ inatatua hili

  • Huzuia bakteria kupanda juu
  • Hurekebisha pH ukeni
  • Hujenga kinga ya uzazi

3. Dalili za PID Sugu Zinazopoteza Wengi

PID sugu huendelea kwa miezi au miaka bila kutibiwa ipasavyo, hivyo dalili zake huwa zinakuja kwa taratibu na kuendelea kuharibu mfumo wa uzazi kimya kimya.
Chini ni maelezo ya kila dalili na kwanini hutokea:

1. Maumivu ya tumbo la uzazi (Pelvic Pain)
Hii ni dalili kuu ya PID sugu. Hutokea kwa sababu:
  • Maambukizi huleta uvimbe kwenye uterus, mirija na mayai
  • Makovu (scar tissue) humfunga mtu kwa ndani na kusababisha mishipa ya fahamu kushtuka
  • Hujirudia sana kipindi cha hedhi au baada ya kufanya tendo la ndoa
Maumivu haya yanaweza:
  • Kuja na kuondoka
  • Kusambaa hadi kwenye nyonga na mapaja
  • Kuwa makali wakati wakuinuka, kukaa muda mrefu, au kuinama
Ni maumivu yanayochosha mwili na akili.

2. Uke kutoa uchafu mwingi wa njano/mweupe
Bakteria wakiwa wengi ndani ya kizazi, mwili hujaribu kupambana nao kwa:
  • Kutengeneza mucus mingi
  • Kutoa uchafu mzito wenye harufu kali
  • Mara nyingine kuwa na chembe za usaha
Hii si fangasi, si UTI.
Ni ishara ya bakteria wanaoendelea kuzaliana ndani ya kizazi.
Kukoma kwa uchafu kwa muda hakumaanishi kupona — bakteria wanaweza kukaa ndani bila kujionesha.

3. Maumivu wakati wa tendo la ndoa
PID huleta maumivu makali kwa sababu:
  • Uvimbe ndani ya mayai, mirija na mji wa mimba hufanya mgandamizo wakati wa tendo
  • Mshipa wa uzazi unakuwa mwenye hisia kali kutokana na maambukizi ya muda mrefu
  • Makovu ya ndani (adhesions) hutengeneza maunganisho yasiyo ya kawaida
Hujenga hofu ya tendo, hata kwa wanawake walio kwenye ndoa nzuri.
Huathiri uhusiano wa kimapenzi na kiakili.

4. Maumivu wakati wa haja ndogo
PID mara nyingi huambatana na:
  • Maambukizi kwenye kibofu au urethra
  • Uvimbe unaosukuma kibofu upande wa nyuma
Matokeo yake ni:
  • Kuwaka wakati wa kukojoa
  • Kukojoa mara kwa mara (hata kama mkojo ni kidogo)
  • Wakati mwingine mkojo kuwa na harufu kali
Wanawake wengi hudhani hii ni UTI, na hivyo hutibiwa kimakosa --
wakati tatizo lipo kwenye mirija ya uzazi.

5. Maumivu ya kiuno na mgongo wa chini
Maambukizi yakifika kwenye:
  • Pelvis (vipindi vya uzazi)
  • Mishipa mikuu ya uti wa mgongo inayopita karibu na sehemu za uzazi
  • Misuli ya nyonga
Husababisha maumivu yanayosambaa kiunoni na mgongoni.
Kwa PID sugu, maumivu yanaweza ku:
  • Kuongezeka wakati wa hedhi
  • Kuwa makali wakati wa kusimama muda mrefu
  • Kuathiri uwezo wa kufanya kazi za kila siku

6. Kukosa hamu ya tendo la ndoa
PID inapokuwa sugu, mwili huathirika kimwili na kisaikolojia:
  • Maumivu ya muda mrefu huua hamu ya kushiriki tendo
  • Uchafu na harufu husababisha aibu na kujiamini kupungua
  • Viwango vya homoni huathirika kutokana na uvimbe na stress
Mwanamke anaweza kuonekana kama hana mapenzi tena,
lakini ukweli ni kwamba maumivu yamemchosha.
Hujenga migogoro ya kifamilia bila sababu ya kweli.

7. Kukosa/kupoteza uzazi (Infertility)
Hii ndiyo athari ya kutisha zaidi ya PID sugu.
Bakteria wakikaa muda mrefu:
  • Mirija ya uzazi huziba
  • Yai linakwama njiani
  • Mimba inashindwa kutunga
  • Au inatunga nje ya kizazi (ectopic pregnancy)
Zaidi ya 70% ya wanawake wanaogunduliwa na PID hugundulika wakati wanatafuta mtoto — wakiwa tayari kwenye hatua ya ugumba. PID ni ugonjwa wa uzazi na maisha ya baadaye.

Kwa Nini PIDSAFE™ ni Tofauti?

Picture

Changamoto ya PID na Jinsi PIDSAFE™ inavyoshughulikia

PIDSAFE™ inapambana na PID kwa kushambulia:
  • Bakteria kwenye mirija ya uzazi: Viambato vyake husafisha mirija hadi ndani
  • Uvimbe na makovu: Hurejesha mzunguko wa damu maeneo yaliyogandamiza
  • Maumivu na msongo wa ndani: Huimarisha tiba ya ndani ya pelvic
  • Uchafu, maumivu ya tendo: Kusawazisha flora ya uke, kuua maambukizi kabisa

Kila unapochelewa kutibu PID sugu,
nafasi zako za kupata mtoto hupungua.

Wasiliana Nasi
+255656620725
+255766431675
​Email: [email protected]

4. Kwa Nini PID ni Sugu na Inarudi Mara kwa Mara?

Kwa sababu bakteria waliopo:
  • Wanajificha ndani ya biofilm
  • Wanakaa kwenye mirija ya uzazi ambayo madawa mengi hayafikii
  • Wengine ni suu na hawaathiriki na antibiotics nyingi
  • Maumivu yakipungua mgonjwa anaacha dozi kabla ya kupona
PIDSAFE™ inaingia deep hadi kwenye vyanzo vilivyofichika

5. Athari Kuu za PID Bila Tiba Sahihi

  • ​Utasa: Mirija inaziba kwa makovu
  • Ectopic pregnancy: Mimba inanakia mrijani
  • Kurudi mara kwa mara: Bila kutibu chanzo
  • Maumivu ya kudumu: Nerves kuumia
  • Maambukizi ya damu: Hatari kwa maisha

6. Changamoto ya Kila Dawa ya Hospitali

  • Antibiotics haziwezi kuvunja biofilm
  • Antibiotics nyingi hupunguza kinga → fungusi hushambulia
  • Dawa za kupunguza maumivu zinaziba dalili, chanzo kipo
  • Miguu ya PID huwa sugu kwa antibiotics

Suluhisho la PIDSAFE

  • Hutibu bacteria + fangasi + uvimbe kwa pamoja
  • Inarejesha kinga ya kizazi badala ya kuiua

​7. Kwa Wale Wasiopona Miaka Mingi

Wengi wamepitishwa hospitali hadi wanakata tamaa:
“Miaka 3 nimeumia PID, najiona kama sio mwanamke tena…”
PIDSAFE™ imewasaidia wagonjwa:
  • 1–3 miezi: Matokeo madhubuti
  • Huondoa chanzo kilichokaa miaka mingi

8. PID kwa Wasichana (Hata Bila Ngono)

Ndiyo! PID inaweza kumpata hata aliye bikra kwa sababu:
  • UTI sugu
  • Fangasi sugu
  • Chakula na kinga kushuka
PIDSAFE™ inatibu vyanzo hivi vyote bila unyanyapaa.

​9. PID kwa Wanaume

Wanaume huathirika kupitia:
  • Maumivu ya korodani
  • Maumivu haja ndogo
  • UTI sugu
  • Watoto kuchelewa
PIDSAFE™ hutibu mwenza pia — kinga ya familia

10. Uchafu Ukeni na PID

Uchafu unaoharufu kali = biashara ya bakteria inastawi
PIDSAFE™
  • Huzalisha mazingira yanayoua vijidudu
  • Hutoa hewa na usafi wa ndani
  • Haurudishi uchafu kirahisi

11. Endometriosis vs PID

​Mara nyingi huonekana sawa lakini:
  • Endometriosis: Inasababishwa na tishu kukua sehemu zisizo sahihi
  • PID: Maambukizi ndani ya uzazi
  • Endometriosis: Haina usaha
  • PID: Ina usaha na uchafu
  • Endometriosis: Mara nyingi sugu
  • PID: Hupona kabisa ukimaliza chanzo
PIDSAFE™ inalenga chanzo cha PID, sio kuchanganya magonjwa.

Lishe Sahihi Kwa Wagonjwa Wa PID

​Epuka:
  • Sukari
  • Maziwa mengi
  • Vyakula vya kukaanga
  • Pombe
Ongeza:
  • Mboga mbichi
  • Matunda yenye vitamin C
  • Maji mengi
  • Probiotics
PIDSAFE™ hufanya kazi haraka kwenye mwili wenye lishe bora

Pia Usikose Makala Hizi Muhimu Kwa Maisha Bora

Matibabu ya Uhakika ya Nguvu za Kiume.
Madhara ya Kisukari.
Madhara ya Kitambi kwa Nguvu za Kiume
Madhara ya Kujichua kwa Nguvu za Kiume
Dawa Inayoponyesha Kisukari
Dawa ya Asili ya Bawasiri
Jinsi Kisukari Kinavyoathiri Nguvu za Kiume

PID: Sababu, Dalili, Hatari, na Tiba ya Asili Inayoponya Kabisa​

Dawa Sahihi ya Bawasiri

Dawa ya asili ya kutibu bawasiri: chupa tatu ndogo za mafuta ya kupaka kwa kupunguza maumivu na kuponya uvimbe, pamoja na chupa moja kubwa ya unga wa kunywa kwa tiba ya ndani. Tiba hii ya asili husaidia kuondoa bawasiri ya ndani na ya nje bila madhara, salama na imethibitishwa kitaalamu.
Dawa Sahihi ya Bawasiri.
Kutanuka kwa Mshipa wa Dama wa Aota Tumboni.
​Dawa ya Asili ya Nguvu za Kiume - SAGUHA.
Tikitimaji Inavyotibu Nguvu za Kiume-ni Zaidi ya Viagra.
Ngiri Inavyoathiri Nguvu za Kiume.
Faida za kitunguu saumu mwilini.
Magonjwa Sugu na Tiba Zake.
Dawa ya Kisukari ya Uhakika
Mwanaume akiwa kitandani ndani ya shuka akijichua (yaani akipiga punyeto) ambayo ina madhara makubwa sana kiafya.
Jipu la Ubongo au Jipu la Mgongo.
Ulaji Mbaya Unavyoathiri Nguvu za Kiume.
Jinsi Presha ya Kupanda Inavyoathiri Nguvu za Kiume.
Jinsi Pombe Inavyoathirii Nguvu za Kiume.
Dawa na Matibabu Sahihi ya Vidonda vya Tumbo.
Dawa na Matibabu Sahihi ya Fangasi za Ukeni.
Dawa ya Asili ya Kuponyesha Uvimbe Kwenye Ubongo.

Dawa ya Uhakika Inayoponyesha Kisukari

Dawa ya kisukari ya asili Diabeze Natural kutoka Zephania Life Herbal Clinic: chupa sita zilizofungwa vizuri, unga wa mitishamba kwa tiba salama ya kupunguza, kudhibiti sukari mwilini bila madhara na kupnyesha kabisa.
Faida 10 za Kiafya za Kitunguu Saumu.
Kisukari cha Kushuka.
Je, Kisukari Kinatibika?
Ugonjwa wa Kisukari.
Maumivu ya Kifua.
Maumivu ya Kiuno.
Umuhimu wa Vitamini D kwa Nguvu za Kiume.
Kushuka Sukari Haraka.
Ugonjwa wa Saratani.

Dawa na Matibabu Sahihi ya Vidonda vya Tumbo.

Dawa ya asili ya vidonda vya tumbo kutoka Zephania Life Herbal Clinic: kopo tano zilizofungwa vizuri, tiba salama na ya asili inayotibu vidonda vya tumbo, kiungulia na matatizo ya tumbo bila madhara.
Jitibu Nguvu za Kiume kwa Chakula.
Jinsi Sigara Inavyoathiri Nguvu za Kiume.
Dawa na Matibabu ya Magonjwa Sugu.
Madhara ya Kutokunywa Maji ya Kutosha.
Madhara ya Dawa za Hospitali za Nguvu za Kiume.
Malengelenge-Sababu, Dalili na Matibabu Sahihi.
Jinsi Maji Yanavyorudisha Nguvu za Kiume.
Kwa Nini Uume wako Hausimami Asubuhi?

Dawa na Matibabu Sahihi ya Chunusi

Uso wa kijana mwenye chunusi na mabaka mekundu, akionyesha matatizo ya ngozi yanayosababishwa na chunusi, mafuta kupita kiasi na bakteria wa ngozi.
Matumizi ya Kompyuta Yanavyoathiri Nguvu za Kiume.
​Body Complex - Dawa Kiboko ya Magonjwa Sugu.
Ukosefu wa Mazoezi Unavyoathiri Nguvu za Kiume.
Mionzi ya Simu Inavyoathiri Nguvu za Kiume.
Ugonjwa wa Figo Unavyoathiri Nguvu za Kiume.
Fahamu Magonjwa Yanayoletwa na Msongo Mkali wa Mawazo.
Ugonjwa wa Ini Unavyoathiri Nguvu za Kiume.
Dawa ya Asili ya Matibabu ya Kansa ya Mifupa

Dawa ya Uhakika ya Presha ya Kupanda

Dawa ya asili ya presha ya kupanda kutoka Zephania Life Herbal Clinic: kopo tano zilizofungwa vizuri, tiba salama ya mitishamba kwa kushusha na kudhibiti shinikizo la damu bila madhara.
Kipandauso, Sababu, Dalili na Matibabu Sahihi.
​Dawa na Matibabu Sahihi ya Baridi yabisi.
​Jinsi Tatizo la Kufunga Choo Linavyoathiri Nguvu za Kiume.
​Dawa na Matibabu Sahihi ya Magonjwa Sugu.
Kutokwa na Uchafu Ukeni - Matibabu ya Uhakika.
​Ugonjwa wa Moyo - Matibabu na Dawa Sahihi.
​Ugonjwa wa Mkamba.

Dawa ya Asili ya Kutibu Fangasi za Ukeni

Dawa ya asili ya fangasi za ukeni Fangaju 1 kutoka Zephania Life Herbal Clinic: kopo tatu zilizofungwa vizuri, tiba salama ya mitishamba kwa kuondoa muwasho, harufu mbaya na maambukizi ya uke bila madhara.
Hatari za Kiafya za Uzito Mkubwa na Tiba Yake.
Matibabu ya Asili ya Saratani ya Matititi kwa Wanawake.
Dawa na Matibabu ya Uhakika ya Kuondoa Sumu Mwilini.
Dawa asilia ya Nguvu za Kiume - SAGUHA.
Dawa na Matibabu Sahihi ya Presha ya Kushuka.
Matibabu ya Asili ya Saratani ya Matititi kwa Wanaume.
​Jinsi Msongo wa Mawazo Unavyoathiri Nguvu za Kiume.
Balijaam - Dawa ya Kutibu Uume Kusimama kwa Uregevu na Kufika Haraka Kileleni.
Dawa na Matibabu ya Uhakika ya Ugonjwa wa Pumu.

Matibabu ya Uhakika ya Nguvu za Kiume

Mwanaume Mwafrika akiwa kitandani amekaa na huzuni huku akijishika kichwa kutokana na tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume, wakati mwanamke amelala kitandani karibu yake, ikiashiria msongo wa mawazo na matatizo ya ndoa yanayosababishwa na upungufu wa nguvu za kiume.
Tambua Nguvu za Kiume Zinavyotibiwa Kitaalamu.
Namna ya Kupunguza Sukari Mwilini.
HJN Dawa Bora ya Nguvu za Kiume.
​Dawa za Kusimamisha Uume Kama Msumari.
Bawesi - Dawa ya Bawasiri.
Maziwa ya Mama Mjamzito.

Faida za Parachichi Mwilini: Lishe, Afya na Virutubisho

HJN - Dawa Bora Sana ya Uhakika ya Nguvu za Kiume

Dawa ya asili ya nguvu za kiume HJN kutoka Zephania Life Herbal Clinic: kopo moja iliyofungwa vizuri, tiba bora ya kuongeza nguvu za kiume, kurejesha hamu ya tendo la ndoa na kuimarisha afya ya wanaume bila madhara.
Dawa na Matibabu Sahihi ya Chunusi.
Dawa ya Kutibu Presha ya Kupanda.
​Shida ya Kupumua - Sababu, Dalili na Dawa Sahihi.
Upasuaji wa Tezidume Unavyoathiri Nguvu za Kiume
Ugonjwa wa Tezidume Unavyoathiri Nguvu za Kiume.
Kuchelewa Sana Kulala Kunavyoathiri Nguvu za Kiume.
​Dawa Sahihi ya Aleji ya Mafua.
Tiba ya Kisukari kwa Tiba Asili.

Dawa na Matibabu ya Ngiri ya Kinena Bila Upasuaji – Hongox
MalariaShield- Dawa bora ya Malaria Sugu

Sababu Kuu za PID
Dalili Kuu za PID
Ifahamu Dawa Sahihi ya PID
PIDSAFE - Dawa Sahihi ya Asili ya PID
Daktari Khamisi Ibrahim Zephania, mtaalamu wa tiba ya asili na dawa za mitishamba, mwanzilishi wa Zephania Life Herbal Clinic, akionyesha utaalamu wake katika huduma za afya za asili Tanzania.
Dr. Khamisi Ibrahim Zephania ni daktari bingwa aliyebobea
katika kutibu matatizo ya nguvu za kiume na magonjwa sugu. Anatibu
hadi tatizo lako liishe kabisa. Ni matibabu
ya uhakika wala si ya kubahatisha. Fika katika kliniki yake Zephania Life Herbal Clinic (ZLHC) iliyoko Kisesa na ofisi nyingine Busweru - jijini Mwanza. Au wasiliane naye:
+255 766 431 675/+255 656 620 725
WHATSAPP: +255 766 431 675
EMAIL: [email protected]

Zephania Life Herbal Clinic


Hours

M-F: 7am - 9pm

Telephone

+255 766 431 675
+255 656 620 725

Email

[email protected]
  • Home
  • Contact
  • About
  • Service