ZEPHANIA LIFE HERBAL CLINIC
  • Home
    • Home - Eng
  • About
  • Service
  • Contact
  • Kipanda Uso, Sababu, Dalili Na Matibabu Sahihi
  • Hatari Za Kiafya Za Uzito Mkubwa Na Tiba Yake
  • Dawa ya Asili ya Bawasiri
  • ujuh
  • Pumu (Asthima): Sababu, Dalili, na Tiba Asili Iliyothibitishwa Kisayansi
  • BAWESI: Natural Hemorrhoid Remedy for Internal & External Healing

Bawesi - dawa ya bawasiri

Bawesi- Dawa ya asili ya kuponyesha kabisa bawasiri

Bawasiri inaweza kuwasha, kusababisha maumivu, na hivyo kukusababishia kukosa raha na hata kufikia katika hali mbaya zaidi, na hata kukuweka kwenye hatari ya kupata saratani (kansa). Lakini katika kliniki yetu ZEPHANIA LIFE HERBAL CLINIC tunazo dawa za kutibu bawasiri za nje na ndani (Bawesi no 1 na Bawesi no 2). Maelezo zaidi kuhusu bawasiri ya ndani na nje BOFYA HAPA.

BAWESI NO. 1
INATIBU BAWASIRI YA NDANI NA KUBORESHA MFUMO WA USAGAJI CHAKULA

Picture
  • Dawa hii ya bawasiri huondosha kabisa maumivu, muwasho na kuondosha uvimbe wa kinyama cha bawasiri.
  • Unapoitumia dawa hii (BAWESI NO. 1) kwenye tumbo tupu asubuhi husaidia sana kuboresha usagaji wa chakula.
  • Dawa hii (Bawesi No 1) hutibu kuvimbiwa, kulainisha kinyesi na kurahisisha kupata choo bila maumivu.
  • Dawa hii inapaswa kutumiwa mara 2-3 kwa siku ili kurekebisha utendaji wa mfumo wa usagaji chakula na pia kupunguza dalili zinazohusiana na bawasiri. Pia ni muhimu kunywa maji mengi.
  • Hutibu na kumaliza kabisa tatizo la kufunga choo (kupata choo kigumu), tumbo kujaa gesi na kuunguruma na shida mbalimbali zinazohusu tumbo.
  • Hutibu maumivu ya kiuno na mgongo.
  • Imesheheni madini, vitamini na virutibisho vyenye nguvu kubwa sana ya kupambana na bawasiri na mfumo mbaya wa usagaji chakula.

BAWESI NO 2
kwa ajili ya kutibu bawasiri ya nje

Picture
  • Dawa ya bawasiri (BAWESI NO 2) ni dawa ya kupaka sehemu yenye yenye bawasiri.
  • Hutuliza kulegeza misuli ya mkundu na pia kumaliza kabisa tatizo la muwasho na maumivu.
  • Dawa hii imesheheni madini ya uponyaji yenye nguvu kama antifungal, antibacterial na anti-inflammatory.
  • Dawa hii ina uwezo wa ajabu wa kuondosha kabisa vinyama vya bawasiri vilivyovimba na kumaliza kabisa maumivu. Ni dawa ya uhakika sana kwa kutibu bawasiri ya nje.
  • Hutibu na kuponyesha kabisa bawasiri inayovuja damu na kutoa usaha.
  • Hupambana na bakteria walio kwenye bawasiri na hukinga mtu asipate saratani (kansa).

Bawesi No. 1 & Bawesi No. 2
kwa ajili ya Bawasiri ya ndani na nje

Picture
  • Kwa bawasiri ya ndani na nje au ya ndani tu au ya nje tu, tunashauri kutumia dawa hizi mbili zote BAWESI NO. 1 na BAWESI NO. 2 ili dawa kufanya kwa ufanisi mzuri zaidi na kumaliza shida ya bawasiri.
  • Hata kama utaona nafuu kubwa kabla ya kumaliza dozi, tunashauri utumie dawa hadi kumaliza dozi yote ili tatizo lisijirudie tena (BAWESI NO 1 dozi ni chupa 1 -3 / BAWESI NO. 2 dozi ni chupa 1-3).
  • Tunashauri kufuata utashauri wa kitaalamu tutakaokupatia ili matibabu yalete tija.
Picture

matibabu ya uhakika kutoka
Zephania Life Herbal Clinic

Utaratibu wetu ni kwamba hatumtibu mgonjwa mpaka tufanye mahojiano naye kwa kina juu ya historia ya afya yake kwa ujumla. Kama yuko nje ya Mwanza, tutahojiana naye kwa simu, kama yuko Mwanza basi anaweza kuja moja kwa moja kwenye kliniki yetu. Kama yuko nje ya nchi, tutahojiana naye kwa njia ya email/au WhatsApp.

Kupitia mahojiano hayo ndiyo tunaweza kufahamu chanzo cha tatizo lake, na pia tunaweza kumshauri kufanya vipimo kama tutaona kuna umuhimu wa kufanya hivyo. Lengo ni kwamba, tunahitaji kumtibu mgonjwa kuanzia chanzo cha tatizo, ni kwa njia hiyo tu ndipo anaweza kupona kabisa tatizo lake.

Matibabu yetu ya kutibu bawasiri tunashauri mtu atumie Bawesi zote namba 1 na namba 2 kwa ajili ya kumaliza tatizo kabisa hata kama ana bawasiri ya nje tu ama ya ndani tu. Kuna baadhi ya watu akijiona ana bawasiri ya nje tu atataka apewe bawesi no.2 inayoshughulika na bawasiri ya nje, hilo ni kosa kubwa sana. Bawasiri huanzia ndani, unapoona imetoka nje ujue kuwa imetokea ndani, kuhusika na hili soma zaidi hapa. Kadhalika ukiwa na bawasiri ya ndani tu tunashauri utumie na Bawesi namba 2 kwa ajli ya bawasiri ya nje ili kukupa kinga isitoke nje baadaye.

JE, BAWASIRI
UHARIBU UZAZI
KWA WANAWAKE?

BOFYA HAPA

TUNATUMA DAWA MAHALA POPOTE ULIPO

Tunatuma dawa mahala popote mtu alipo ndani na nje ya nchi. Kwa watu walio ndani ya nchi, mzigo huchukua siku 3-5 hadi kukufikia. Na kwa watu walio nje ya nchi mzigo huchukua siku 5-7 ambapo mizigo yote tunatuma kwa DHL; tunavyo vibari vya kusafirisha.

Kwa Ushauri Na Matibabu
Fika katika Kliniki yetu iliyoko
jijini Mwanza maeneo ya Busweru na Kisesa.
Au Wasiliana Nasi Kwa Simu
+255766431675
+255656620725

Kwa maelezo zaidi kuhusu Bawasiri

BOFYA HAPA

Zephania Life Herbal Clinic


Hours

M-F: 7am - 9pm

Telephone

+255 766 431 675
+255 656 620 725

Email

[email protected]
  • Home
    • Home - Eng
  • About
  • Service
  • Contact
  • Kipanda Uso, Sababu, Dalili Na Matibabu Sahihi
  • Hatari Za Kiafya Za Uzito Mkubwa Na Tiba Yake
  • Dawa ya Asili ya Bawasiri
  • ujuh
  • Pumu (Asthima): Sababu, Dalili, na Tiba Asili Iliyothibitishwa Kisayansi
  • BAWESI: Natural Hemorrhoid Remedy for Internal & External Healing