Dawa na matibabu ya uhakika ya magonjwa sugu kutoka Zephania Life Herbal Clinic
Zephania Life Herbal Clinic ni kliniki maalumu ya magonjwa sugu na changamoto zote za nguvu za kiume.
Matibabu ya uhakika ya nguvu za kiume
Kupungua nguvu za kiume siyo ugonjwa, ni dalili ya ugonjwa. Kuna sababu zake ndani ya mwili. Sababu hizo ni nyingi mno, ni zaidi ya 100! Anatakiwa daktari mtaalamu aliyebobea katika uzazi, mifumo ya mkojo, anayelijua vizuri figo ndani na nje, ini na mifumo mingine ya mwili, ikiwa ni pamoja na kemia ya mwili. Na inatakiwa dawa iende kutibu chanzo cha tatizo. Ndicho tunachokifanya sisi. matibabu yetu ni ya uhakika. MAELEZO ZAIDI BOFYA HAPA.....
Faida 10 za kitunguu saumu
Vitunguu saumu ni viungo ambavyo vinatumika sana jikoni katika mapishi kwa karne nyingi. Mimea hii ina faida nyingi za kimatibabu kwa sababu ya asili yake ya antibacterial na antiseptic. Moja ya faida yake hasa kubwa ya vitunguu saumu ni kwa sababu ya kuwa na, Allicin. Imesheheni madini kama fosforasi, zinki, potasiamu, na magnesiamu. Vitamini C, K, Folate, niacin na thiamine pia hupatikana kwa wingi kwenye vitunguu saumu. MAELEZO ZAIDI BOFYA HAPA......
Dawa sahihi ya bawasiri
Ugonjwa wa bawasiri unatibika vizuri kama utazingatia mfumo wa vyakula na kubadili mtindo wa maisha na kupata dawa sahihi ya asili. Bawasiri ni ugonjwa unaonyima raha kwa watu wengi. Mbali na kunyima raha bawasiri inaweza kuleta shida kubwa sana kiafya. Fahamu kuhusu matibabu sahihi ya bawasiri. MAELEZO ZAIDI BOFYA HAPA.....
Jinsi tikiti maji linavyotibu nguvu za kiume
Dawa mbadala na vyakula vya asili na virutubisho ni vitu vilivyowavutia watu wengi sana kiasi ambacho sasa huwafanwa watu wengi kuhama kutoka kwenye dawa za kemikali au bandia na kutumia vitu asili kwa ajili ya matatizo ya kiafya. Kwa wanaume walio na tatizo la kukosa nguvu za kiume, kuna habari njema. Tikiti maji, kutokana na kiwango chake cha juu cha citrulline, limetangazwa kuwa ni ziaidi ya Viagra. KWA MAELEZO ZAIDI BOFYA HAPA.....
Dawa na matibabu sahihi ya vidonda vya tumbo
Tunatambua kwamba tuko katika zama ambazo elimu na maarifa yanazidi kupanuka kila kukicha. Elimu hiyo, na maarifa hayo hasa inapokuwa inahusisha mwili wa binadamu ambao ni moja ya amana kubwa aliyopewa binadamu, maadili, sheria na kanuni lazima zitawale. Vidonda vya tumbo kwa ujumla ni (benign) vidonda ambavyo vinaweza visiwe na madhara kama vitatibiwa vizuri lakini kama vitaachwa bila kutibiwa polepole vinaweza kuwa vidonda vinavyoweza kuleta kifo (malignant). KWA MAELEZO ZAIDI BOFYA HAPA.....
Peptica - inaponyesha kabisa vidonda vya tumbo
Peptica ni dawa ya uhakika sana inayotibu na kuponyesha vidonda vya tumbo vya aina zote. Ni mchanganyiko wa mimea tiba na matunda. Inaondoa gesi tumboni, inatibu shida ya tumbo kuunguruma, inamaliza kabisa shida ya kufunga choo, inatibu tatizo la kiungulia na kichefuchefu, inamliza kabisa maumivu ya tumbo, inatibu kutapika na kujisaidia damu, imesheheni madini, vitamini na virutibisho vyenye nguvu kubwa sana ya kupambana na vidonda vya tumbo. MAELEZO ZAIDI BOFYA HAPA.....
HJN - Dawa bora ya nguvu za kiume
HJN ni dawa bora sana ya kumaliza tatizo la nguvu za kiume. Dawa hii ni mchanganyiko wa miti 21 yenye uwezo mkubwa wa kutibu nguvu za kiume na ni nzuri sana na sana hasa kwa watu waliojichua (masturbation), wenye kisukari, presha, ngiri, vidonda vya tumbo. Ni dawa ambayo inatibu nguvu za kiume kabisa na kumaliza kabisa tatizo la nguvu za kiume, unakuwa kama haukuwahi kuwa na tatizo la nguvu za kiume kabisa maishani mwako. KWA MAELEZO ZAIDI BOFYA HAPA.....
Jitibu upungufu wa nguvu za kiume kwa chakula
Chakula ni tiba ya kila ugonjwa. Kama utatumia chakula vizuri basi unaweza kutibu magonjwa mengi sana. Katika kliniki yetu tunakuletea huduma ya kumaliza kabisa tatizo la upungufu wa nguvu za kiume kwa chakula na dawa za asili kulingana na chanzo na sababu ya tatizo lako. MAELEZO ZAIDI BOFYA HAPA.....
Dawa na matibabu sahihi ya chunusi
Matibabu yetu kutoka ZEPHANIA LIFE HERBAL CLINIC hulenga kuua bakteria wanaosababisha chunusi, kupunguza mafuta na kuzibua matundu ya kutolea mafuta ili mafuta yaweze kupita na kwenda nje ya ngozi. Malengo makuu ya dawa zetu mbili TUMUKSI NO. 1 & 2 ni: Kuua bakteria wanaosababisha chunusi, kupunguza mafuta juu ya ngozi na kuondoa mafuta yaliyoziba matundu ya mafuta, kuondoa uchafu wote na seli zilizokufa na kuziba matundu ya kutokea mafuta kwenye ngozi. KWA MAELEZO ZAIDI BOFYA HAPA.....
TUNATUMA DAWA MAHALA POPOTE ULIPO
Tunatuma dawa mahala popote mtu alipo ndani na nje ya nchi. Kwa watu walio ndani ya nchi, mzigo huchukua siku 3-5 hadi kukufikia. Na kwa watu walio nje ya nchi mzigo huchukua siku 5-7 ambapo mizigo yote tunatuma kwa DHL; tunavyo vibari vya kusafirisha.
VIDEO| Sababu za kukosa hamu ya tendo la ndoa
VIDEO : Madhara ya punyeto
MAKALA MAALUMU
|
Dr. Khamisi Ibrahim Zephania ni daktari bingwa aliyebobea
katika kutibu matatizo ya nguvu za kiume, na madhara ya kujichua. Anatibu kuanzia chanzo cha tatizo. Anatibu
hadi tatizo lako liishe kabisa. Ni matibabu
ya uhakika wala si ya kubahatisha.
+255 766 431 675/+255 656 620 725
WHATSAPP: +255 766 431 675
EMAIL: [email protected]
katika kutibu matatizo ya nguvu za kiume, na madhara ya kujichua. Anatibu kuanzia chanzo cha tatizo. Anatibu
hadi tatizo lako liishe kabisa. Ni matibabu
ya uhakika wala si ya kubahatisha.
+255 766 431 675/+255 656 620 725
WHATSAPP: +255 766 431 675
EMAIL: [email protected]
Click to set custom HTML
ONYO: Ni marufuku kunakili makala hizi, hatua kali za kisheria zitachukuliwa. Baadhi ya watu wana tabia ya "kukopi" na "kupesti" masomo haya kisha kutupia kwenye blogu zao na kujifanya wanaweza kutibu matatizo ya nguvu za kiume ilihali hawawezi chochote. Kutibu upungufu wa nguvu za kiume sio rahisi vile watu wanavyofikiri. Inahitaji utaalamu na ubobezi wa hali ya juu sana katika mfumo wa uzazi wa mwanamume. Sio kubugia dawa tu. Nawe mgonjwa kuwa makini sana; epuka kutapiliwa.