DAWA SAHIHI YA BAWASIRI
Bawasiri ni nini?
Kabla ya kufahamu dawa sahihi ya asili ya kutibu na kuponyesha kabisa bawasiri, kwanza ni muhimu tufahamu bawasiri ni nini.
Bawasiri ni uvimbe wa mishipa iliyo ndani na karibu na sehemu ya kutolea haja kubwa au kwenye puru ya chini (puru maana yake kikundu). Bawasiri huathiri mfumo wa mmeng’enyo wa chakula hasa utumbo mkubwa chini mwishoni. Ni ugonjwa unaotokana na kuathirika kwa mishipa ya damu ya ndani na nje ya sehemu ya haja kubwa na wakati mwingine mishipa hiyo huweza kupasuka ama kuteleza na kuvuja damu kwenye njia ya haja kubwa na kasababisha kutoka kinyama au uvimbe. Ugonjwa huu unasababisha muwasho na maumivu makali katika tundu la haja kubwa.
Sehemu ya mwisho ya utumbo mkubwa iitwayo anal canal ina urefu wa kiasi cha takribani sentimeta 4. Sehemu ya chini kabisa ya anal canal ni tundu la kutolea kinyesi nje ya mwili (yaani mkundu). Sehemu ya juu yake inaungana na rectum ambayo pia ni sehemu ya utumbo mpana. Anal canal ndio sehemu ya mwisho zaidi ya njia ya chini ya utumbo mkubwa, ambao upo kati ya ukingo wa mkundu (shimo la mkundu) kwenye msamba chini na puru kwa juu.
Kuna mtandao wa veni ndogo (mishipa ya damu) kwenye ngozi inayofunika anal canal. Mara nyingine veni hizi hupanuka na kuruhusu damu nyingi na kuzifanya zitune. Veni hizi zilizotuna na tishu zinazozizunguka zinaweza kutegeneza uvimbe kwenye eneo moja au zaidi, na hii ndiyo huitwa bawasiri, kwa kiingereza piles au pathological hemorrhoids.
Ugonjwa huu wa bawasiri kwa lugha ya kitaalamu unaitwa hemorrhoids jina ambalo limetokana na kuvimba na kuchomoza kwa mishipa ya damu inayopatikana katika puru (rectum) na mlango wa haja kubwa. Na kwa lugha ya Kiingereza unafahamika kama piles. Majina mengine ya bawasiri kwa huku kwetu Tanzania ni Kikundu au Futuri au Puru au Mjiko au Hemoroidi au Mgolo au Mang'ondi.
Matumizi ya kwanza ya neno "hemoroidi" kwa Kiingereza ulitokea mwaka wa 1398, kutoka neno‘’haemoroides’’ kwa Kifaransa, kutoka Kilatini hæmorrhoida -ae", kutoka Kigiriki "αἱμορροΐς" (haimorrhois), "inayoweza kutoa damu", kutoka "αἷμα" (haima), "damu"+ "ῥόος" (rhoos), "mtiririko", kutoka kitenzi "ῥέω" (rheo), "kutiririka".
Kama tulivyoona, bawasiri ni hali ya kutuna kwa mishipa ya damu katika mfereji wa mkundu ambayo husaidia kudhibiti kinyesi. Katika hali yake ya fiziolojia, hutenda kazi kama mto uliotengenezwa kwa njia ya vena na tishu unganishi. Huwa patholojia (ugonjwa) ikiwa hufungamana kwa kuvimba au kupata inflamesheni.
Mito ya hemoroidi ni sehemu ya anatomi ya kawaida ya binadamu na huwa maradhi pale inapopitia mabadiliko yasiyo ya kawaida. Kuna mito mitatu iliyo katika mfereji wa mkundu wa kawaida. Hii huwa pembeni mwa kushoto, utangulizi wa kulia, na sehemu za nyuma za kulia.
Zimetengenezwa kwa mishipa ya damu inayoitwa sinasi, tishu unganishi na misuli nyororo bali si kwa ateri wala vena. Sinasi haziwi na tishu za misuli katika kuta zao zinazotofautisha kutoka kwa vena zake. Seti hii ya mishipa ya damu huitwa pleksasi ya hemoroidi.
Mito ya hemoroidi ni muhimu kwa ajili ya kushikilia. Huchangia hadi asilimia 15–20% ya shinikizo la kufungika kwa mkundu wakati wa kupumzika na kukinga misuli ya spinkta ya mkundu wakati wa kupitisha kinyesi. Mtu anapoketi chini, presha au shinikizo la ndani la fumbatio huongezeka, na mito ya hemoroidi kuongezeka kwa ukubwa ikisaidia kudumisha kufungika kwa mkundu. Inaaminika kuwa dalili za hemoroidi hutokea wakati miundo hii ya mishipa huteleza upande wa chini au wakati shinikizo la vena linaongezeka sana. Ongezeko la spinkta ya mkundu (presha) shinikizo pia linaweza kuhusishwa katika dalili za hemoroidi.
Bawasiri yaweza kuwa moja ya mada ngumu sana kuzungumziwa kiuwazi na watu. Hii ni kutokana na wagonjwa wengi kuona aibu pengine ni kwa sababu tatizo husika hutokea mahala pa haja kubwa, sehemu ambayo ni ya faragha sana. Wengine huona aibu hata kueleza tatizo hili kwa daktari ama mhudumu wa afya. Ni mojawapo ya matatizo ya kiafya ambayo mara nyingi yanapompata mtu, inakuwa ni ngumu kwenda hospitali ili kupata tiba.
Bawasiri ni tatizo kubwa linawatokea wanaume kwa wanawake. Tatizo la bawasiri huwaathiri watu wote ila zaidi huwaathiri watu wazima kuliko watoto na inakadiriwa kuwa karibu 50% ya watu wote wako katika hatari ya kupata tatizo hili katika umri wa miaka 40 mpaka 50. Mara nyingi tatizo hili huwapata watu kuanzia umri wa miaka 25 – 70. Ila kwa sasa ugonjwa huu unawaathiri hata watoto wa umri wa chini kabisa. Hadi nusu ya idadi ya watu wanaweza kuwa na matatizo na hemoroidi kwa wakati fulani maishani mwao.

Aina za bawasiri
Bawasiri ni moja ya magonjwa maarufu zaidi yanayoathiri mfumo wa chakula hususan njia ya haja kubwa.
Kama ambavyo nimshaeleza hapo juu, bawasiri ni mishipa ambayo hujulikana kama ‘hemorrhoidal veins’ na kazi yake kubwa ni kusafirisha damu kwenda kwenye moyo. Mishipa hii pia inaweza kuchomoza katika eneo lolote kati ya haya mawili na hapo ndipo tunapopata aina kuu mbili za ugonjwa huu.
Hemoroidi za ndani na za nje zinaweza kujitokeza kwa namna tofauti; hata hivyo, watu wengi wanaweza kuwa na zote mbili: Bawasiri ya ndani na bawasiri ya nje.
Licha ya kwamba bawasiri inaweza kusababisha kuvuja damu na kuhatarisha maisha, hata hivyo kuvuja damu na kusababisha upungufu wa damu (anemia) ni nadra sana kutokea. Na uvujaji wa damu unaohatarisha maisha ni nadra sana pia kutokea.
Watu wengi wanaweza kuona aibu wanapokumbana na tatizo na mara nyingi hutafuta matibabu tu wakati hali inapozidi. Bawasiri za ndani kutoka kwa pleksasi kubwa ya hemoroidi na za nje kutoka kwa pleksasi ndogo ya hemoroidi. Mstari wa denteti hugawanya sehemu zote mbili ya hemoroidi.

Bawasiri ya ndani
Hemoroidi za ndani ni zile ambazo huanza kutokea juu ya mstari wa denteti. Huwa zimefunikwa na kolamu ya epitheliumu ambayo haina maumivu risepta inayopitisha hisia. Ziliainishwa mwaka wa 1985 katika viwango vinne kwa kuzingatia daraja au kiwango cha prolapsi.
Aina hii ya bawasiri hutokea ndani ya mfereji wa haja kubwa na haiambatani na maumivu hivyo kuwafanya wengi kutotambua kuwa wana tatizo hili. Bawasiri za ndani (internal piles ) ni zile zinazotokea kwenye eneo la ndani lililo zaidi ya sentimenta 2-3 kutoka kwenye tundu la kutolea kinyesi – kwenye eneo la juu la anal canal.
Bawasiri za ndani kwa kawaida hazina maumivu kama tulivyooleza kwa sababu sehemu ya juu ya anal canal haina nyuzi za neva za maumivu. Hemoroidi za ndani kwa kawaida hujitokeza kwa uwekundu uliyo ng’aavu, bila maumivu kuvuja damu kwa rektamu wakati wa au kufuatia kusonga kwa utumbo. Damu hufunika kinyesi, hali inayoitwa kinyesi kilicho na damu, huwa kwenye karatasi ya chooni (kwa wale wanaotumia karatasi kujisafisha), au hudondoka katika bakuli ya choo. Kinyesi chenyewe kwa kawaida huwa chenye rangi.
Dalili zingine zinaweza kuwa ni pamoja na kutoka kwa ute, kuzungukia mkundu ikiwa utashuka kupitia mkundu, muwasho, na kutoweza kuzuia kinyesi. Hemoroidi za ndani kwa kawaida huwa na maumivu tu ikiwa zitakuwa na thrombasi au nekrotiki. Bawasiri ya ndani (internal hemorrhoids) kwa kawaida, aina hii ya bawasili hutokea ndani katika puru. Aina hii ni mara chache kusababisha dalili, lakini kama itadumu kwa muda mrefu inaweza kuchubuka na kusababisha damu kidogo kuvuja wakati wa haja kubwa.
Pia bawasiri ya ndani inaweza kua kubwa na kuchomoza kama nyama kwenye mlango wa haja kubwa. Bawasiri za ndani hupangwa kwa kiwango (grade), grade 1 hadi 4 kulingana na madhara na ukubwa wa tatizo:

- Kiwango I: Hakuna prolapsi. Mishipa tu ya damu inayoonekana. Bawasiri kutotoka katika mahali pake (iliyosimama). Hii ni daraja la kwanza - ambapo bawasiri haitoki mahali pale panapohusika. Ni uvimbe mdogo kwenye ngozi inayotanda anal canal kwa ndani. Ni uvimbe ambao hauonekani au huwezi kuugusa kutokea nje. Bawasiri za aina hii huwapata watu wengi. Bawasiri hizi huweza kukua na kuingia kundi la pili – Grade 2 (kiwango cha 2).
- Kiwango II: Kuna prolapsi mtu anapoketi lakini inapungua yenyewe. Bawasiri inayotoka wakati wa haja kubwa kurudi yenyewe baada ya kumaliza kujisaidia. Bawasiri hizi ni kubwa zaidi. Huweza kujitokeza na kuchungulia nje ya tundu la haja kubwa wakati ukijisaidia lakini hurudi ndani mara moja baadaye.
- Kiwango III: Kuna prolapsi mtu anapoketi na huhitaji kupunguzwa kwa mkono. Bawasiri inayotoka wakati wa haja kubwa na hairudi yenyewe baada ya kujisaidia mpaka mwathirika airudishe mwenyewe. Ni bawasiri zinazoning’inia nje ya tundu la haja kubwa wakati ukielekea msalani. Unaweza kuvisikia kama vinjinyama kimoja au zaidi vinavyoning’inia nje ya tundu. Ni vijinyama ambavyo unaweza kuvisukumizia ndani kwa kidole.
- Kiwango IV: Kuna prolapsi na haiwezi kupunguzwa kwa mkono. Bawasiri inayotoka wakati wa haja kubwa na ni vigumu mtu kuirudisha baada ya kumaliza kujisaidia. Ni vijinyama ambavyo huning’inia wakati wote nje ya tundu la haja kubwa na huwezi kuvisukumizia kwa ndani kwa kidole. Mara nyingine vinaweza kuwa vibonge vikubwa vya nyama.
Bawasiri ya nje
Hemoroidi za nje ni zile zinazotokea chini ya denteti au mstari wa pektineti. Zimefunikwa kwa karibu na anodemu na kwa umbali na ngozi, zote huwa na hisia za maumivu na halijoto.
Aina hii ya bawasiri hutokea katika eneo la mwisho kabisa la mfereji wa haja kubwa na mara nyingi huambatana na maumivu na muwasho (kuwasha) kwa ngozi katika sehemu ya haja mkubwa. Bawasiri za nje (exteranl piles) ni zile zinazotokea kwenye eneo lililo chini yake, eneo la chini la anal canal. Bawasiri za nje zaweza kuwa na maumivu kwa sababu eneo la chini la anal canal lina uwingi wa nyuzi za neva za maumivu.
Mara nyingi mishipa hiyo ya damu (ya vena) hupasuka na damu huganda na kusababisha hali iitwayo thrombosed hemorrhoids kitaalamu.
Ikiwa hazina thrombasi, hemoroidi za nje zinaweza kusababisha matatizo machache. Hata hivyo, zinapokuwa na thrombasi, zinaweza kuwa na maumivu sana. Hata hivyo, maumivu haya huisha kwa muda wa siku 2 - 3 . Lakini, uvimbe unaweza kuchukua wiki chache kupotea. Kishikizo cha ngozi kinaweza kubaki baada ya kupona. Ikiwa hemoroidi ni kubwa na zinasababisha madhara, zinaweza kusababisha mwasho wa ngozi iliyo karibu na pia kwa mkundu.
Aina hii ya bawasiri ndiyo sumbufu zaidi kwa kua ndiyo imekua chanzo kikubwa cha uwasho na maumivu makali wakati wa haja kubwa. Mara nyingi bawasiri hii huonekana kama vijivimbe pembezoni mwa mlango wa haja kubwa na kawaida huwa na maumivu endapo vitaguswa.

Sababu na chanzo cha bawasiri
Kisababishi kamili cha hemoroidi hakijulikani. Baadhi ya vipengele vichangiapo ni pamoja na:
- Kufungika kwa choo au kuhara.
- Ukosefu wa mazoezi.
- Chakula kilicho na kiwango cha chini cha faiba
- Urithi (Jenetiki).
- Kutokuwepo kwa vali katika vena ya hemoroidi.
- Kuongezeka kwa umri.
- Unene.
- Kuketi chini kwa muda mrefu.
- Kikohozi kinachoendelea kwa muda mrefu.
- Misuli ya pelvisi kutofanya kazi.
- Kufanya mapenzi kinyume na maumbile.
- Wakati wa ujauzito, shinikizo kutoka mimba kwa fumbatio na ubadilishaji wa homoni hufanya mishipa ya hemoroidi kuwa kubwa. Ni nadra kwa wanawake wajawazito kuhitaji matibabu ya upasuaji, kwa sababu dalili huisha baada ya kuzaa.
- Kuzaa pia husabibisha ongezeko la shinikizo la ndani la fumbatio.
Usiendelee Kuteseka Na Ugonjwa Wa Bawasiri
Tunayo dawa inayotibu bawasiri bila kufanya upasuaji.
Popote ulipo unatumiwa dawa hii iitwayo Bawesi.

Dalili za ugonjwa wa bawasiri
Dalili za hemoroidi hutegemeana na mahali ilipo. Hemoroidi za ndani kwa kawaida hujitokeza kwa kinyesi kilicho na damu bila maumivu, ilhali hemoroidi za nje zinaweza kutoa dalili chache au ikiwa zina thrombasi maumivu na uvimbe katika sehemu ya mkundu. Watu wengi hurejelea kimakosa dalili yoyote inayotokea karibu na sehemu ya rektamu ya mkundu kuwa "hemoroidi."
Siyo kila unapoona kuna damu inavuja ni bawasiri
Unapoona kuna damu inavuja mahala pa haja kubwa ama unapotoa haja, nenda haraka hospitali kwa ajili ya uchunguzi zaidi. Hasa kama tatizo ni linakutokea kwa mara ya kwanza. Kuvuja kwa damu kwenye sehemu ya haja kubwa inaweza kuwa ni dalili za Saratani ya utumbo mpana.
Dalili za bawasiri hutofautiana. Wakati mwingine hakuna dalili zinazojitokeza na mtu anaweza asijue kuwa ana bawasiri. Dalili ya kawaida kabisa ni kutokwa na damu wakati ukienda kujisaidia haja kubwa. Damu huonekana iliyo mbichi, nyekundu, juu ya toilet tissue, kwenye sahani ya choo au ikiwa imekizunguka kinyesi.
Bawasiri huweza kuchomoza na kuning’inia nje. Mara nyingi unaweza kuzisukuma na vidole zikarudi ndani baada ya kujisaidia. Lakini bawasiri zilizofikia hali mbaya huning’inia moja kwa moja nje na huwezi kuzisukuma ndani.
Bawasiri ndogo za ndani kwa kawaida hazina maumivu. Bawasiri kubwa huweza kutoa majimaji, kuwa na maumivu, na kuwasha. Majimaji yatokayo yanaweza kuchubua eneo linalolizunguka tundu la haja kubwa. Unaweza kuwa na hisia za kuwa na haja kubwa au kuwa hujamaliza vizuri haja zako ukiwa unatoka msalani.
Matokeo mabaya ya bawasiri zinazoning’inia ni kuwa zinaweza zikajifinyanga na kusababisha damu kushindwa kupita kuelekea kwenye bawasiri hizo, hali ambayo inaweza kuleta maumivu makali sana. Mara chache inaweza ikatokea kuwa damu ikaganda ndani ya bawasiri (thrombosis) hizo, hali ambayo huleta maumivu makali pia. Zifuatazo ni dalili za bawasiri:
Dalili za bawasiri zinaweza kuwa hatari au zisiwe hatari. Kama una dalili hatari kama vile kuvuja damu au kupata maumivu makali wakati wa haja kubwa, fika katika kituo chetu cha ZEPHANIA LIFE HERBAL CLINIC.

- Kinyesi kuchanganyika na damu wakati wa kujisaidia na kuwa na harufu mbaya.
- Maumivu wakati wa kujisaidia haja kubwa.
- Kutokwa na kinyesi bila kujitambua (kuvuja kinyesi).
- Kujitokeza kwa uvimbe katika eneo la tundu la haja kubwa (eneo la tundu mlango wa kutolea haja kubwa). Uvimbe huu unaanza kuota kama upele na huambatana na miwasho na maumivu makali.
- Ngozi katika eneo la tundu la haja kubwa kuwasha. Huu muasho unakuja kwa kujirudia mara kwa mara baada ya muda.
-Bawasir kutoka wakati wa kujisaidia haja kubwa. - Haja kubwa yaweza kujitokea mda wowote.
- Choo kuwa kigumu au muda mwingine kukosa choo kwa siku hata tatu.
- Maumivu makali ya kiuno na mgongo.
- Tumbo kujaa gesi mara kwa mara.
- Kutokushiba vizuri au kupata njaa baada ya muda mfupi kumaliza kula.
- Kukosa usingizi.
- Watu wengine macho kuwa mekundu.
- Kutokwa na kinyesi bila kujitambua (kuvuja kinyesi).
- Kukatishwa kwa haja kubwa na kurudi ndani wakati wa kujisaidia. Kitendo hiki huongeza msuguano katika mishipa ya ndani ya tundu la haja kubwa.
- Kujitokeza kwa kijinyama katika tundu la haja kubwa. Kinyama hiki kinaanzia ndani ya tundu la haja kubwa na kutokea nje ya tundu la haja kubwa. Hatua hii huashiria tatizo limesha kuwa kubwa na kwamba una hili tatizo la bawasiri kwa muda mrefu, na linaweza kusababisha vifo vya ghafla kwa sababu mishipa inayosafirisha damu ndio inakwanguliwa na mwishowe kuathirika.
Dalili za bawasiri zinaweza kuwa hatari au zisiwe hatari. Kama una dalili hatari kama vile kuvuja damu au kupata maumivu makali wakati wa haja kubwa, fika katika kituo chetu cha ZEPHANIA LIFE HERBAL CLINIC.
ZEPHANIA LIFE HERBAL CLINIC
Fika katika kliniki yetu au agiza dawa popote ulipo utatumiwa.
|
phone |
+255 766 431 675
+255 656 620 725 |
address |
Kisesa, Magu
Busweru - Mwanza |
Jinsi ya kujikinga na bawasiri
Njia nzuri ya kuzuia au kujikinga na bawasiri ni kufanya choo chako au kinyesi chako kuwa laini, kwamba kitapita kirahisi ukiwa unatoa haja kubwa.
Mambo kadhaa yamependekezwa ili kujikinga ni pamoja na kutojikaza unapoenda haja kubwa, kuepukana na choo iliyofungika au kuhara kwa kula chakula kilicho na kiwango cha juu cha faiba na kunywa vinywaji vingi au kula nyongeza ya faiba, na kupata mazoezi ya kutosha. Kutumia muda mchache ukienda haja kubwa, kutosoma ukiwa chooni , na pia kupunguza uzito kwa wale ambao wana uzito ulio mwingi zaidi na kuepukana na uinuaji wa vitu vizito.
Chanzo kikubwa cha tatizo hili ni matatizo ya mfumo wa umen’genyaji chakula kama kukosa choo kwa muda mrefu, kupata choo kigumu, kuharisha mara kwa mara na tumbo kujaa gesi, hivyo kwa kuzuia matatizo haya basi utakuwa umejikinga na bawasiri. Hivyo hakikisha unafanya yafuatayo:

Kula mboga za majani
Nafaka zisizokobolewa, matumizi ya vyakula vya nyuzinyuzi kwa wingi husaidia kuongeza ukubwa wa kinyesi na hivyo kurahisha utolewaji wake, kama mwanzo hukutumia vyakula vya nyuzinyuzi basi anza kuongeza taratibu kwenye mlo wako mpaka pale tumbo litakapozoea. Kama utaona unapata gesi nyingi tumboni basi punguza kidogo ulaji wa mboga za majani. Unapokula mboga za majani hufanya choo kiwe rahisi kupita na kuzuia kujikema (straining) wakati wa kujisaidia haja kubwa ambako kunakuweka hatarini kupata bawasiri au kusumbuliwa na bawasiri hata kama umeshapata.
Tumia machungwa kwa wingi
machungwa yana kiungo kinachoitwa flavonoids, kiungo hiki ni muhimu katika ustawi wa mishipa ya damu ya veins, mishipa hii ndio huathirika na kusababisha bawasiri.
Kunywa maji ya kutosha
Tumia kiu na rangi ya mkojo kama dalili ama kiashiria cha kiasi gani cha maji unatakiwa kunywa. Kama mkojo ni wa rangi ya njano inayokolea basi ni kiashiria kwamba mwili hauna maji ya kutosha na unatakiwa kunywa. Kunywa maji ya kutosha walau lita 3 kwa siku na vinywaji vingine isipokuwa pombe. Nyuzinyuzi na maji ya kutosha husaidia kulainisha choo chako na hivyo kurahisisha utolewaji wake bila kujikamua.
Nyuzilishe za dukani
Baadhi ya watu hawapati kiwango cha nyuzinyuzi kwenye chakula kinachohitajika hasa maeneo ya mjini na nchi zilizoendelea kutokana na gharama. Mwanamke anatakiwa kupata gramu 25 na mwanaume gramu 38 za nyuzinyuzi kila siku katika chakula wanachokula. Tafiti zinaonyesha kwamba nyuzilishe zinazopatikana kama dawa zinazouzwa kwenye maduka ya dawa husaidia kupunguza dalili za ugonjwa wa bawasiri. Uchunguzi umeonyesha kuwa virutubisho vya nyuzinyuzi, kama vile psyllium (Metamucil) au methylcellulose (Citrucel), huboresha dalili za jumla na kutokwa na damu kutoka kwa bawasiri. Lakini inashauriwa kama inawezekana kupata nyuzinyuzi hizi kutoka kwenye matunda na mbogamboga za majani kwani huwa hazina madhara.
Kama unatumia nyuzilishe hizi za kununua basi kumbuka kunywa maji mengi (glasi 6 hadi 8) au vinywaji vingine kila siku, vinginevyo nyuzinyuzi hizi zinaweza kusababisha choo kigumu au kusababisha tatizo la choo kigumu kuwa kubwa Zaidi.
Vyakula vya asili vyakula vya asili hukuepusha na shida inayoweza kusababisha bawasiri. Kula mlo kamili unaohusisha vyakula na matunda yenye nyuzinyuzi kama vile maharage, viazi vitamu, machungwa, parachichi, peasi, ndizi, peasi n. k.

Usichelewe kwenda haja kubwa
Pindi unapojiskia haja kubwa basi hakikisha unaenda mara moja kujisaidia pasipo kujizuia, kujichelewesha kunaweza baadaye kusababisha tatizo la kufunga choo (constipation).
Usikae muda mrefu chooni
Kukaa muda mrefu chooni huongeza mgandamizo katika eneo la chini kwenye mishipa ya damu na hivyo kukuongeza hatari ya kupata bawasiri. Tumia dakika 3 mpaka 5, ama subiri mpaka unapokuwa na haja, kama unajiskia kutoa uchafu lakini ukienda chooni kinyesi hakitoki basi tembea tembea ama fanya zoezi la Squats.
Usitumie nguvu nyingi kujikamua
tumia misuli ya tumbo kutoa haja taratibu. Unapotumia nguvu nyingi kujikamua husababisha presha ama shinikizo katika mishipa iliyo sehemu ya haja kubwa na hivyo kusababisha bawasiri.
Tumia choo cha kuchuchumaa
Miili yetu imeumbwa kutumia choo cha kuchuchumaa na si cha kukaa. Matumizi ya vyoo vya kukaa ni kujiweka katika hatari ya kupata bawasiri. Moja ya madhara ya choo cha kukaa kitakufanya utumie nguvu nyingi kujikamua. Tumi njia salama Kujisafisha
Matumizi ya toilet paper
Usitumie nguvu kubwa kujifuta kwa toilet paper ama wipes zingine baada ya kwenda haja, hii hufanya ngozi kulanika na kuvimba. Matumizi ya maji ni jambo jema sana kama ilivyo desturi ya Kiislamu.
Kama inawezekana jisafishe taratibu kwa kutumia maji bila sabuni, na kujifuta kwa taulo laini.
Kwa maeneo ambapo huwezi kutumia maji, basi tumia wipes laini zenye unyevunyevu kwa umakini.

Vuta pumzi
Vuta pumzi kisha shikilia pumzi yako wakati wa kujaribu kupitisha kinyesi kutengeneza shinikizo kubwa kwenye mishipa kwenye shimo la kutolea kinyesi puru ya chini.
Bawasiri ni ugonjwa unaoepukika kirahisi ikiwa mambo haya tuliyoeleza yatazingatiwa.
Bawesi No. 1
Bawesi No.2
Bawesi No. 1
Mchanganyiko wa mimea tiba na matunda
Dawa ya uhakika ya bawasiri
Inamaliza kabisa bawasiri ya ndani
Bawesi No. 2
Inamaliza kabisa bawasiri ya nje
Madhara yaliyoletwa na bawasiri
Inamaliza kabisa madhara yote yaliyoletwa na bawasiri
Wasiliana nasi popote ulipo
Utambuzi wa bawasiri
Hemoroidi hutambuliwa kwa uchunguzi wa kimwili (physical examination). Uchunguzi wa kutazama mkundu na maeneo yaliyo karibu na mkundu unaweza kutambua hemoroidi za nje au zile zilizoshuka. Uchunguzi wa rektamu unaweza kufanywa ili kutambua uwezekano wa tyuma (uvimbe), ya rektamu polipsisi, prosteti iliyo kubwa, au jipu.
Uchunguzi huu unaweza kutofaulu bila utulizaji unaofaa kwa sababu ya maumivu. Hata ingawa hemoroidi nyingi hazihusiani na maumivu. Udhibitishaji wa kutazama kwa hemoroidi za ndani unaweza kuhitaji anoskopu, kifaa cha bomba tupu kilicho na mwanga ulioshikishwa katika mwisho wa upande mmoja . Kunazo aina mbili za hemoroidi: Za nje na za ndani. Hizi zinatofautishwa na mahali zilipo kwa kuzingatia mstari wa denteti . Watu wengine wanaweza kuwa na aina zote mbili za dalili kwa wakati mmoja. Ikiwa maumivu yapo kuna uwezekano mkuu wa hali kuwa kupasuka kwa mkundu au hemoroidi ya nje kuliko ile ya ndani.

Utagunduaje una bawasiri?
Wakati mwingine inatokea unaweza kuwa na bawasili lakini usipate dalili na baada ya mfupi ugonjwa huweza kupotea wenyewe. Dalili moja kubwa ambayo wagonjwa wetu wengi huipata kwa wenye bawasili ya ndani ni kuvuja kwa damu inayoweza kuonekana kwenye toilet paper ama kinyesi.
Unapoona dalili kama hizi hakikisha unachukua hatua za haraka maana tayari umepata bawasiri. Kama una bawasiri ya nje basi unaweza kupata viashiria kama uwepo wa nundu nyekundu iliyojaa damu pembeni mwa mahala pa haja kubwa, kitaalamu huitwa thrombosed hemorrhids .
Huambatana na maumivu makali sana wakati wa kutoa haja. Kama utoaji wako wa haja ni wa kujikamua na kwenda haraka haraka, na kujisafisha kupita kiasi basi unaweza kuongeza tatizo, ianashauriwa kutotumia nguvu kubwa kujisaidia.

Madhara ya ugonjwa wa bawasiri
Madhara ya bawasiri ni mengi sana. Baadhi ya madahara ya bawasiri ni kama ifuatavyo:
- Upungufu wa damu (anemia). Upungufu wa damu. Japo ni mara chache kutokea, lakini upotezaji wa damu sugu kutokana na bawasiri unaweza kusababisha upungufu wa damu, ambayo hauna seli nyekundu za kutosha za damu kubeba oksijeni kwenye seli zako.
- Kupata tatizo la kutokuweza kuhimili choo. Kinyesi kutoka na kuvuja bila kujitambua na kusababisha kinyesi kunuka kinyesi muda wote.
- Kukupunguzia 'morali' ya kufanya kazi kutokana na maumivu hasa watu wanaokaa muda mrefu maofisini.
- Kukosa hamu ya tendo la ndoa kwa wanawake na kupungukiwa nguvu za kiume kwa wanaume.
- Kupungukiwa uwezo wa kufanya kazi kutokana na maumivu.
- Kupata tatizo la kisaikolojia (kuathirika kisaikolojia na hupelekea kutojiamini katika hadhara ya watu hasa pale miwasho inapoanza).
- Kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia haja kubwa na kusababisha mishipa ya sehemu ya haja kubwa kukwanguliwa. Kuna uwezekano mkubwa wa kupata saratani ya utumbo (Cancer) kwasababu kile kinyama kinakaa kama kidonda.
- Kuvuja damu, maumivu ya mda mrefu na hupelekea kushindwa kukaa.
- Maumivu ya mgongo ya mara kwa mara na kiuno.
- Bawasiri isipotibiwa inaweza hata kuplekea saratani (kansa).
MATIBABU YA BAWASIRI
Chakula
Matibabu ya awali kabisa ni kula chakula kilicho na faiba, kunywa maji mengi ya kutosha. Hii ndiyo tiba ya kwanza ya bawasiri ama mang'ondi. Tutakupatia ushauri sahihi wa chakula.
Makosa makubwa wanayofanya wagonjwa wa bawasiri: Kukimbilia matibabu ya upasuaji
Matibabu ya upasuaji kwa bawasiri si mazuri kabisa. Matibabu yote ya upasuji huhusishwa na kiwango fulani cha athari zikiwa ni pamoja na kuvuja damu, maambukizi ya wadudu (infection), msongo wa mkundu na kubakia kwa mkojo, kwa sababu ya kukaribiana kwa rektamu kwa neva zinazosafirishia kwa utumbo. Kunaweza pia kuwa na hatari ndogo ya kutoweza kuzuia kinyesi, hasa kile cha kiowevu.
Tiba iliyozoeleka ni kukatwa kinyama ambayo hutoelewa hospitali na kuendelea na lishe ya chakula. Hata hivyo tiba hii si nzuri kwasababu huwa haitibu chanzo cha tatizo hivyo huwa rahisi kujirudia. Na inaporudi hurudi vibaya kwa ukali sana na hivyo husumbua sana kutibika.
Operation kwa kukata sehemu iliyoota inafeli mara nyingi kutibu tatizo hili kutokana na kwamba tatizo hujirudia tena na tena.
Operation (kukata uvimbe uliojitokeza katika tundu la haja kubwa ili usiendelee kukua na kusababisha magonjwa mengine) tiba hii si ya kudumu kwani 78.09 ya wanaofanyiwa upasuaji huu hupatwa na changamoto ya kujirudia tena kwa bawasiri baada ya muda fulani hasa pale mgonjwa akosapo kinga tosha mwilini. Pia hupelekea maumivu makali kwa mgonjwa na kutokwa damu kwa mda mrefu hasa wakati wa kujisaidia na mara baada ya kujisaidia. Tiba hii huondoa uvimbe pekee na si kutibu chanzo cha tatizo na wala haiboreshi mfumo wa chakula kuanzia ndani ambako ndio hasa chanzo cha tatizo hili na kupelekea baadae tatizo hili kujirudia tena.

Tiba ya "binding"
Binding ni tiba inayotolewa kwa bawasiri za grade 2 au 3. Inaweza pia kutumika kutibu bawasiri za grade 1 pale ambapo hatua zingine zitakuwa hazikusaidia.
Daktari wa upasuaji hutumia vifaa maalumu kuzivuta bawasiri na kufunga 'rubber band' kwenye shina la bawasiri hizo. Kwa kufanya hivyo, damu haitafika kwenye bawasiri hizo, ambapo zitakufa baada ya siku chache. Kidonda hupona chenyewe na kuacha kovu.
Banding ya bawasiri za ndani mara nyingi haileti maumivu kwa sababu vishina vya bawasiri hizo huota kwenye eneo ambalo halina mishipa ya neva. Bawasiri hadi tatu huweza kutibiwa kwa njia hii kwa wakati mmoja.
Asilimia 20 ya bawasiri zilizotibiwa kwa njia hii huweza kuota upya siku za baadaye. Lakini tiba ya banding huweza kurudiwa tena. Uwezekano wa bawasiri kukurudia utakuwa mdogo kama tahadhari zitachukuliwa, ikiwa ni pamoja na kuacha kujikamua wakati wa haja kubwa.
Watu wachache huweza kupata madhara zaidi baada ya tiba hii, kama kutokwa na damu, matatizo ya kukojoa, maambukizi ya wadudu au kuota uvimbe kwenye eneo lililokuwa na bawasiri. Lakini, hatushauri hii tiba. Kwanza tumia dawa zetu za asili kutoka ZEPHANIA LIFE HERBAL CLINIC, Mwanza.

DAWA YA ASILI
TIBA SAHIHI YA UHAKIKA KUTOKA
ZEPHANIA LIFE HERBAL CLINIC
Ugonjwa wa bawasiri unatibika vizuri kama utazingatia mfumo wa vyakula na kubadili mtindo wa maisha na kupata dawa sahihi ya asili, Bawasiri ni ugonjwa unaonyima raha kwa watu wengi japo mgonjwa anaweza kuwa anaendelea kufanya shuguli zake kama kawaida, na hali hii hufanya wengi kutofanya uamzi wa haraka wa kutibu mapema na hatimaye tatizo linakuwa kubwa
Dawa hii Bawesi NO 1 ni dawa ya kutibu bawasiri ya ndani na nje, ni dawa ya kunywa ambayo inatibu bawasiri kutokea ndani.
- Dawa hii ya bawasiri huondosha kabisa maumivu, muwasho na kuondosha uvimbe wa kinyama cha bawasiri.
- Unapoitumia dawa hii (BAWESI NO. 1) kwenye tumbo tupu asubuhi husaidia sana kuboresha usagaji wa chakula.
- Dawa hii (Bawesi No 1) hutibu kuvimbiwa, kulainisha kinyesi na kurahisisha kupata choo bila maumivu.
- Dawa hii inapaswa kutumiwa mara 2-3 kwa siku ili kurekebisha utendaji wa mfumo wa usagaji chakula na pia kupunguza dalili zinazohusiana na bawasiri. Pia ni muhimu kunywa maji mengi.
- Hutibu na kumaliza kabisa tatizo la kufunga choo (kupata choo kigumu), tumbo kujaa gesi na kuunguruma na shida mbalimbali zinazohusu tumbo.
- Hutibu maumivu ya kiuno na mgongo.
- Imesheheni madini, vitamini na virutibisho vyenye nguvu kubwa sana ya kupambana na bawasiri na mfumo mbaya wa usagaji chakula.
Dawa hii Bawesi NO 2 ni dawa ya kutibu bawasiri ya nje, ni dawa ya kupaka ambayo inaondosha kabisa kinyama cha uvimbe wa bawasiri.
- Dawa ya bawasiri (BAWESI NO 2) ni dawa ya kupaka sehemu yenye yenye bawasiri.
- Hutuliza kulegeza misuli ya mkundu na pia kumaliza kabisa tatizo la muwasho.
- Dawa hii imesheheni madini ya uponyaji yenye nguvu kama antifungal, antibacterial na anti-inflammatory.
- Dawa hii ina uwezo wa ajabu wa kuondosha kabisa vinyama vya bawasiri vilivyovimba na kumaliza kabisa maumivu. Ni dawa ya uhakika sana kwa kutibu bawasiri ya nje.
- Hutibu na kuponyesha kabisa bawasiri inayovuja damu.
- Hupambana na bakteria walio kwenye bawasiri.
Dawa hizi mbili: BAWESI NO. 1 na BAWESI NO. 2 humaliza kabisa bawasiri ya ndani na nje.
- Kwa bawasiri ya ndani na nje au ya ndani tu au ya nje tu, tunashauri kutumia dawa hizi mbili zote BAWESI NO. 1 na BAWESI NO. 2 ili dawa kufanya kwa ufanisi mzuri zaidi na kumaliza shida ya bawasiri.
- Hata kama utaona nafuu kubwa kabla ya kumaliza dozi, tunashauri utumie dawa hadi kumaliza dozi yote ili tatizo lisijirudie tena (BAWESI NO 1 dozi ni chupa 1 -3 / BAWESI NO. 2 dozi ni chupa 1-3).
- Tunashauri kufuata utashauri wa kitaalamu tutakaokupatia ili matibabu yalete tija.
USIENDELEE KUTESEKA
Wasiliana Nasi kwa
Ushauri Na Matibabu
+255766431675 / +255656620725
Je, BAWESI inafaa kwa wagonjwa wa kisukari?
Baadhi ya dawa zinazotumiwa kutibu bawasiri (hemorrhoids) zinaweza kuwa na athari mbaya kwa viwango vya sukari ndani ya damu, na kwa hivyo, zinaweza kusababisha shida za kiafya kwa watu walio na ugonjwa wa kisukari ambao wanatumia dawa za ugonjwa wa kisukari. Dawa zetu hazina shida yoyote kwa mgonjwa wa kisukari.
Soma zaidi magonjwa yafuatayo
na jinsi tunavyoyatibu kwa uhakika zaidi:
SOMA ZAIDI MAKALA ZIFUATAZO>>
>>Madhara ya kujichua.
>>Makosa wanayofanya wanaume katika kutibu upungufu wa nguvu za kiume.
>>Dawa sahihi ya ugonjwa wa kisukari (Imepimwa na Mkemia Mkuu wa Serikali).
>>Njia nzuri za kutibu upungufu wa nguvu za kiume.
>>Faida za kitunguu saumu mwilini.
>>Maajabu ya tikiti maji - Ni zaidi ya Viagra!
>>Jinsi ngiri inavyoathiri nguvu za kiume.
>>Tambua jinsi nguvu za kiume zinavyotibiwa kitaalamu.
>>Matibabu sahihi ya nguvu za kiume.
>>Madhara ya kitambi kwa nguvu za kiume.
>>HJN: Dawa inayotibu na kumaliza kabisa tatizo la kupungua nguvu za kiume.
>>Faida 10 za kitunguu saumu mwilini.
>>Bawesi - Dawa sahihi ya bawasiri
>>Dawa na matibabu sahihi ya vidonda vya tumbo
>>Dawa na matibabu sahihi ya fangasi
>>Dawa na matibabu sahihi ya kuondoa sumu mwilini
>>Dawa na matibabu sahihi ya chunusi
>>Matibabu ya Saratani ya kibofu cha mkojo
>>Dawa nzuri ya asili ya saratani ya mifupa
>>Matibabu ya asili ya uvimbe kwenye ubongo
>>Matibabu ya asili ya saratani ya matiti kwa wanawake
>>Matibabu ya asili ya saratani ya matiti kwa wanaume