FAIDA 10 ZA KIAFYA ZA KITUNGUU SAUMU
Kitunguu saumu au kwa jina jingine huitwa kitunguu thumu (kwa jina la kisayansi: Allium sativum) ni aina ya tunguu la kulika ambalo hupandwa mahali pengi duniani. Kitunguu saumu kwa kiingereza: garlic.
Licha ya kwamba neno: “sativum” humaanisha “ya pori”, mimea ya spishi hii ambayo inamea porini pia inaoteshwa mashambani na bustani. Matunguu ya saumu hayako chini ya ardhi tu; mengine humea juu ya shina.
Kitunguu saumu kitiba kina matumizi mbalimbali. Kitunguu saumu kinatibu maradhi arobaini (40). Maradhi hayo kwa uchache ni kama yafuatayo: shinikizo la damu, baridi yabisi, kuondoa sumu mwilini, kisonono, minyoo, bawasiri, maradhi ya mgongo, kichocho, malaria, homa za matumbo na kadhalika.
Vitunguu saumu ni viungo ambavyo vinatumika sana jikoni katika mapishi kwa karne nyingi. Mimea hii ina faida nyingi za kimatibabu kwa sababu ya asili yake ya antibacterial na antiseptic. Moja ya faida yake hasa kubwa ya vitunguu saumu ni kwa sababu ya kuwa na, Allicin. Imesheheni madini kama fosforasi, zinki, potasiamu, na magnesiamu. Vitamini C, K, Folate, niacin na thiamine pia hupatikana kwa wingi kwenye vitunguu saumu. Zifauatazo ni faida za vitunguu saumu:

1. Huondoa kikohozi, mafua na shida za masikio
Vitunguu saumu vina uwezo wa kuzuia kikohozi na maambukizo ya mafua. Kula karafuu mbili za vitunguu saumu tumbo likiwa tupu ina faida kubwa.
Kwa upande wa matatizo ya sikio, vitunguu saumu na mafuta ya vitunguu saumu ni tiba ambayo unaweza kujitibia nyumbani kwa magonjwa ya masikio. Kitunguu saumu kimesheni "antibacterial." Viambato viliomo ndani kitunguu thumu (kitunguu saumu) vina uwezo mkubwa wa kuzuia bakteria mbalimbali zinazohusika na maambukizi ya sikio.
Hata hivyo, kuweka kitunguu saumu au mafuta ya kitunguu saumu kwenye sikio lako kunaweza kusababisha athari ya ngozi yenye uchungu na inapaswa kutumiwa kwa tahadhari.

2. Nzuri kwa afya ya moyo
Allicin, kompaundi inayopatikana kwenye kitunguu saumu inazuia vioksidishaji vya LDL (cholesterol mbaya). Hii hupunguza kiwango cha cholesterol na inaboresha afya ya moyo. Matumizi ya vitunguu saumu mara kwa mara hupunguza matukio ya kuganda kwa damu na kwa hivyo husaidia kuzuia thromboembolism.
Vitunguu saumu pia hupunguza shinikizo la damu (presha ya kupanda) hivyo ni nzuri kwa wagonjwa walio na shinikizo la damu. Kitunguu saumu husaidia kutanua mishipa iliyosinyaa.
Kwa wanaume, kitunguu saumu kina faida kubwa sana, kama itachanganywa kitunguu saumu na tangawizi, mchanganyiko huu ni mzuri sana kwa mwanaume kwa mwanaume aliyepungukiwa nguvu za kiume kutokana na shida za mfumo wa mzunguko wa damu. Humpa mwanaume stamina wakati wa tendo la ndoa na kuleta uchangamfu. Soma pia makala yetu zetu nyingine kuhusu nguvu za kiume:
madhara ya kujichua kiafya na nguvu za kiume, matibabu sahihi ya nguvu za kiume.

3. Inaboresha utendaji wa ubongo
Vitunguu saumu huendeleza afya ya ubongo kwa sababu ya antioxidant. Ni bora dhidi ya magonjwa ya neurodegenerative kama Alzheimer's na shida ya akili.
4. Inaboresha utumbo
Hutibu shida za mmeng'enyo wa chakula. Ina faida kubwa kwa utumbo mkubwa na utumbo mdogo na hupunguza kuvimba. Ulaji wa vitunguu saumu husaidia kuondoa minyoo tumboni. Jambo zuri ni kwamba huua bakteria wabaya na hulinda bakteria wazuri kwenye utumbo.
5. Inerekebisha sukari mwilini
Wale ambao wanakabiliwa na ugonjwa wa kisukari, vitunguu saumu ni msaada mkubwa sana kwao. Vitunguu saumu husaidia kurekebisha viwango vya sukari ndani ya damu.
>>Diabeze Natural - Dawa ya asili inayoponyesha kabisa kisukari, BOFYA HAPA>>
6. Huongeza kinga ya mwili na dawa ya maji machafu ukeni
Vitunguu saumu huongeza kinga ya mwili na huzuia uharibifu wa DNA. Zinc iliyo ndani ya vitunguu saumu hukuza kinga mwili. Vitamini C husaidia kupambana na maambukizo. Ina faida sana dhidi ya maambukizo ya macho na sikio kwa sababu ina antimicrobial. Kitunguu saumu kutokana na uwezo wake wa kinga kina faida kwa mwanamke ukeni ambapo hutibu shida za fangasi ukeni, huponyesha maji machafu yanayotoka ukeni. Hii ni moja ya faida kubwa sana ya kitunguu saumu kwa mwanamke.
7. Huboresha afya ya ngozi
Vitunguu saumu husaidia kuzuia chunusi na hupunguza makovu ya chunusi. Vidonda, vipele, na malengelenge vyote vinaweza kufaidika na utumiaji wa juisi ya vitunguu saumu. Pia inalinda dhidi ya miale ya UV na kwa hivyo inazuia kuzeeka haraka.
>>Dawa na matibabu sahihi ya chunusi, BOFYA HAPA>>
8. Inazuia saratani na vidonda vya tumbo
Kwa sababu ya kiwango kikubwa cha vioksidishaji, vitunguu saumu hulinda mwili dhidi ya shida za mapafu, kibofu cha mkojo, tumbo, ini na saratani ya utumbo mpana. Kuwemo kwa antibacterial ndani ya kitunguu saumu huzuia vidonda vya tumbo. Kitunguu saumu ni kinga bora sana ya sarani (cancer) na hata mgonjwa mwenye dalili za kansa (saratani).
>>Dawa na matibabu sahihi ya vidonda vya tumbo, BOFYA HAPA>>
9. Ni nzuri sana kwa kupunguza uzito
Vitunguu saumu hupunguza uundaji wa jeni inayohusika na uundaji wa seli za adipose ambazo huhifadhi mafuta. Pia huongeza thermogenesis mwilini na husababisha kuchoma mafuta zaidi na kupungua kwa LDL (cholesterol mbaya).
>>Fahamu zaidi uzito mkubwa/kitambi kinavyoua nguvu za kiume, BOFYA HAPA>>
10. Inapambana na UTI na inaboresha afya ya figo, na uzazi
Juisi safi ya vitunguu saumu ina uwezo wa kupunguza ukuaji wa bakteria wa E. Coli ambao husababisha maambukizo ya njia ya mkojo (UTI). Pia husaidia kuzuia maambukizi ya figo. Vitunguu saumu hupunguza maambukizo kwenye vidonda, kukuza ukuaji wa nywele, afya ya mfupa na afya ya ini. Ili kuleta matokeo mazuri ni vizuri zaidi kitunguu saumu kikitumiwa kikiwa kibichi. Faida nyingine ya kitunguu saumu ni kwenye kizazi kwa mwanaume: Vitunguu saumu vimesheheni "allicin" na "selenium." "Allicin" inaboresha mzunguko wa damu katika viungo vinavyohusika na tendo la ndoa na kulinda mbegu za uzazi (manii) kutokana na kuharibiwa. "Selenium" ni "anti-oxidant" ambayo inaboresha mwendo wa shahawa (motility). Kitunguu saumu kina faida kubwa sana kwa wanaume ambao wanachagamoto ya uzazi (ugumba).
>>Fahamu zaidi kuhusu UTI sugu na matibabu yake, BOFYA HAPA>>
Faida nyingine za kitunguu saumu
Kitunguu saumu sio tu kina faida nyingi kimwili lakini pia ni kiboko ya wachawi na mapepo mabaya kama vile majini mahaba n.k.
Hiki kiungo kimacholeta ladha kwenye vyakula vingi kilianza kutumika zamani sana kwenye nchi nyingi duniani.
Wamisri waliamini katika majini yanayonyonya, damu watoto wakitumia kichane cha vitunguu saumu kuwa "kinga watoto wao." Sehemu za China Malaysia n.k, wazazi hutumia kuwapaka watoto kitunguu saumu kwenye paji la uso kama kinga ya uchawi.
Huko Romania, wao husaga na kupakaza kwenye milango na madirisha ya nyumba zao, mageti na hata kwenye pembe za ng'ombe kwa ajili ya kufukuza wachawi na viumbe wachafu kulingana na nguvu ya ajabu iliyo ndani ya kitunguu saumu, na kwa uwezo wa MWENYEZI MUNGU viumbe wachafu na wachawi hutimua mbio. Majini mashetani, wachawi, washirikina na wanga wana mzio mkali na harufu ya kitunguu saumu.
Pia kinatumika katika kufukuza majini wabaya, pia ni miongoni mwa tiba kwa mtu aliyedhuriwa na jini, huondoa upepo mbaya wa mtu aliyekumbwa na shetani na pia husaidia kwa maradhi mbali mbali ya husda kwa watoto.
Lakini pia ili kumlinda marehemu aliyekuwa na dalili za kugeuka jini au kuzuia asichukuliwe kishirikina walimlisha/walimwekea vipande kadhaa vya kitunguu saumu mdomoni.
Baadhi ya nchi nyingi za wazungu walikuwa hawakijui kitunguu saumu. Miaka ya karibuni baadhi wameanza kufahamu umuhimu wa kitunguu saumu kwa kinga mbali mbali za magonjwa yanayowaathiri wanadamu.
Maajabu mengine ni ile nguvu ya kufukuza hata wadudu waharibifu majumbani na mashambani. Hakika kitunguu saumu kimevutia sana watengeneza madawa ya wadudu kukitumia katika viwanda vyao. Shukrani zote na Sifa Njema zinamstahiki MWENYEZI MUNGU Mtukufu kwa kuleta kitunguu saumu. Karibu kila mtihani kwetu binadamu jibu lipo kwenye mimea tatizo ni kujua kipi kina kazi ipi... MWENYEZI MUNGU ameweka maradhi na tiba zake.

MATIBABU YA UHAKIKA YA NGUVU ZA KIUME
Je, una tatizo la kupungua nguvu za kiume? Usihangaike! Kutana na Dr. Khamisi Ibrahim Zephania, daktari bingwa aliyebobea katika matibabu ya nguvu za kiume. Anatibu kuanzia chanzo cha tatizo. Anakutibu hadi tatizo lako kuisha kabisa. Ni matibabu ya uhakika wala si ya kubahatisha. MAELEZO ZAIDI BOFA HAPA.
VIDEO| jinsi KUJICHUA kunavyoua nguvu za kiume kabisa
BAADHI YA MAGONJWA NA TABIA ZINAZOATHIRI VIUNGO NA VITU MABALIMBALI MWILINI VINAVYOHUSIKA NA NGUVU za kiume
Kuna tabia na magonjwa mbalimbali zaidi ya 200
ambayo hudhuru viungo na vitu mbalimbali ndani ya mwili vinavyohusika na
nguvu za kiume. Hapa tumekuwekea baadhi ya magonjwa na tabia. Bofya kwenye
maneno "Soma hapa zaidi," uweze kufahamu ni kwa namna gani
ugonjwa husika husababisha kupungua nguvu za kiume.

KUJICHUA
Kujichua ni tendo linaloua kabisa nguvu za kiume; huvuruga homoni, mishipa ya neva, tezi n.k. SOMA ZAIDI |
KITAMBI
Kitambi kina madhara mengi kiafya ikiwa ni pamoja na kubadilisha homoni ya kiume kuwa ya kike na hivyo kupunguza nguvu za kiume. SOMA ZAIDI |
KISUKARI
Kisukari hudhuru mishipa ya damu, mishipa ya neva, homoni, figo n.k, na hivyo kupunguza nguvu za kiume. SOMA ZAIDI |
mishipa ya neva
Ugonjwa unaodhuru mishipa ya neva kama vile Parkinson’s disease, kifafa n.k, hupunguza nguvu za kiume. SOMA ZAIDI |
kufunga choo
Kusukuma choo kwa nguvu muda mrefu hudhuru misuli iitwayo “Pelvic Floor Muscles” na hivyo kupunguza nguvu za kiume. SOMA ZAIDI |
matatizo ya ini
Matatizo ya ini husababisha kupungua nguvu za kiume kwa sababu hudhuru utendaji wa baadhi ya homoni mwilini. SOMA ZAIDI |
ngiri
Ngiri hudhuru mishipa ya neva iliyo kwenye uume na homoni ya testestoron na hivyo kupunguza nguvu za kiume. SOMA ZAIDI |
presha ya kupanda
Presha ya kupanda hudhuru mzunguko wa damu, homoni, mishipa ya neva na hivyo kufanya nguvu za kiume kupungua. SOMA ZAIDI |
uvutaji sigara
Uvutaji wa sigara hudhuru mishipa ya damu ya ateri na hivyo kusababibisha nguvu za kiume kupungua. SOMA ZAIDI |
baiskeli
Uendeshaji wa basikeli muda mrefu hudhuru mishipa ya neva kwenye korodani na hivyo kupunuguza nguvu za kiume. SOMA ZAIDI |
upasuaji
|
pombe
Pombe huleta mabadiliko makubwa kwa kuvuruga utendaji wa vitu vingi mwilini na hivyo kupunuguza nguvu za kiume. SOMA ZAIDI |
viagra
Watu wengi hukurupuka kutumia Viagara na jamii ya Viagara, si tiba kabisa na huchangia sana kuua nguvu za kiume. SOMA ZAIDI |
tezidume
Kuvimba kwa tezidume au saratani hudhuru utendaji wa tezi hiyo muhimu na hivyo kupunguza nguvu za kiume. SOMA ZAIDI |
ULAJI MBAYA
Ulaji mbaya hudhuru na kuharibu utendaji wa mifumo ya mwili, na hivyo kupelekea maradhi mengi na upungufu wa nguvu za kiume. SOMA ZAIDI |
kuchelewa kulala
Usingizi huchaji upya akili na mwili. Kukosekana kwake hudhoofisha mwili na hivyo kupunguza nguvu za kiume. SOMA ZAIDI |
msongo wa mawazo
Msongo wa mawazo ni hatari kwa afya yako. Hupandisha baadhi ya kemikali na kusababisha nguvu za kiume kupungua. SOMA ZAIDI |
compyuta
Kutumia komputa muda mrefu hupunguza nguvu za kiume kutokana na mionzi, pia kuweka laptop kwenye miguu ni hatari. SOMA ZAIDI |
vidonda vya tumbo
Vidonda vya tumbo hupunguza nguvu za kiume kwa kudhuru viungo na vitu vinavyohusika na nguvu: vilivyo karibu yake. SOMA ZAIDI |
mionzi ya simu
Matumizi mabaya ya simu huingiza mionzi mingi mwilini na hivyo kupunguza nguvu za kiume na kudhuru afya zetu. SOMA ZAIDI |
ukosefu wa mazoeziKutofanya mazoezi ni hatari sana kwa afya yako. Mifumo mingi mwilini hudhurika na hivyo nguvu za kiume kupungua. SOMA ZAIDI |
maumivu ya kiuno
Uti wa mgongo hasa eneo la kiuno ndiyo kituo kikuu. Shida yoyote kwenye eneo hilo hupunguza nguvu za kiume. SOMA ZAIDI |
magonjwa ya figo
Figo zina mchango muhimu sana katika nguvu za kiume. Shida yoyote katika figo husababisha nguvu za kiume kupungua. SOMA ZAIDI |
matatizo ya homoni
Matatizo ya kihomoni ndani ya mwili ni sababu kubwa kwa wanaume wengi kupungukiwa nguvu za kiume. SOMA ZAIDI |
MAKALA MAALUMU
|
dawa zetu ni za
Asili
Dawa zetu zinatokana na mimea tiba na matunda kutokana na miti ambayo imethibitika kisayansi kuwa ina uwezo wa mkubwa wa kutibu matatizo mbalimbali ya kiafya ikiwa ni pamoja na matatizo ya nguvu za kiume kwa uhakika mkubwa.
|
kuThibitishwa kwa
Mkemia
Kwa kuwa tumejikita katika kuhudumia wagonjwa kwa matibabu ya uhakika; baadhi ya dawa zetu nyingi zimepimwa na kuthibitishwa na Mkemia Mkuu wa Serikali kuwa ni nzuri hazina madhara yoyote. Na zingine ziko kwenye mchakato.
|
matibabu yetu ni
Uhakika
Matibabu yetu ni ya uhakika, si ya kubahatisha. Tunatibu hadi mgonjwa apone kabisa. Tunatibu kuanzia chanzo cha tatizo. Tunamtibu mgonjwa mahala popote alipo ndani na nje ya nchi. Usipopona unarudishiwa nusu ya gharama au yote.
|
BAADHI YA DAWA ZETU
Zifuatazo ni baadhi ya dawa zetu zinazotibu nguvu za kiume kwa uhakika mkubwa sana
BODY COMPLEX
Inarekebisha mifumo ya mwili, na kutibu magonjwa mengi.
|
BALIJAAM
Inatibu uregevu wa uume na kufika haraka kileleni.
|
EXPORERE
Inaimarisha stamina ya mwili na kukufanya urudie zaidi.
|
magonjwa mengine tunayotibu kwa uhakika mkubwa
Dr. Khamisi Ibrahim Zephania ni daktari bingwa aliyebobea
katika kutibu matatizo ya nguvu za kiume na magonjwa sugu. Anatibu
hadi tatizo lako liishe kabisa. Ni matibabu
ya uhakika wala si ya kubahatisha.
+255 766 431 675/+255 656 620 725
WHATSAPP: +255 766 431 675
EMAIL: [email protected]

SOMA ZAIDI:
>>Umuhimu wa vitamini D kwa nguvu za kiume...
>>Dawa sahihi ya kutibu ugonjwa wa kisukari...
>>Dawa za kusimamisha uume kama msumari....
>>Ugonjwa wa ngiri na tiba yake...
>>Madhara ya kitambi kwa nguvu za kiume...
>>Matibabu ya uhakika ya nguvu za kiume..
>>Dawa Sahihi na Matibabu ya vidonda vya tumbo
>> Dawa Sahihi na matibabu ya fangasi ukeni
>>Dawa na matibabu sahihi ya kuondoa sumu mwilini
>>Dawa na matibabu sahihi ya chunusi
ONYO: Ni marufuku kunakili makala hizi, hatua kali za kisheria zitachukuliwa. Baadhi ya watu wana tabia ya "kukopi" na "kupesti" masomo haya kisha kutupia kwenye blogu zao na kujifanya wanaweza kutibu matatizo ya nguvu za kiume ilihali hawawezi chochote. Kutibu upungufu wa nguvu za kiume sio rahisi vile watu wanavyofikiri. Inahitaji utaalamu na ubobezi wa hali ya juu sana katika mfumo wa uzazi wa mwanamume. Sio kubugia dawa tu. Nawe mgonjwa kuwa makini sana; epuka kutapiliwa.