FOMU YA MASWALI
+Historia na Afya Yako kwa Ujumla
Weka majibu sahihi ili kutusaidia kukupatia majibu yaliyo sahihi kabisa kulingana na tatizo lako. Maswali haya yanagusa kila eneo la mwili linalohusika na nguvu za kiume. Majibu yako yatatusaidia kujua ni eneo gani mwilini limeleta shida na hivyo, tutakupa ushauri sahihi wa chakula ambao utakwenda kutibu eneo husika, na hivyo kumaliza kabisa tatizo lako la nguvu za kiume.