Zephania Life Herbal Clinic
  • Home
  • Contact
  • About
  • Service
  • Kliniki Maalumu ya Nguvu za Kiume - Tanzania
  • Namna Kitambi Kinavyosababisha Kupungua kwa Nguvu za Kiume na Kushusha Kiwango cha Testosterone
  • Ngiri ni Nini?
  • MASTER TEMPLATE 1
  • Mwongozo Kamili wa Nguvu za Kiume: Sababu za Kupungua, Dalili, Hatari na Njia Salama za Kuongeza Uwezo wa Kiume Kiasili
  • Tatizo la kufika kileleni mapema
  • Dawa na Tiba ya Kisukari ya Asili - Tanzania
ZLHC

zephania life herbal clinic

Kliniki maalumu ya nguvu za kiume

+255 766 431 675 /+255 656 620 725

JINSI UVUTAJI WA SIGARA UNAVYOATHIRI NGUVU ZA KIUME

Picture
Upungugu wa nguvu za kiume, unaweza kusababishwa na sababu mbalimbali za kimwili na kisaikolojia. Miongoni mwazo ni uvutaji wa sigara. Uvutaji sigara unaweza kuharibu mishipa yako ya damu, na hivyo kusababisha upungufu wa nguvu za kiume, kwa sababu ili uume usimike barabara inahitahitajika usambazaji bora wa damu wa ateri kwenye uume.
 
Sekta ya tumbaku hujitahidi sana kufanya uvutaji uonekane kuwa wa kuvutia. Kampuni kwa muda mrefu zimetumia mada za ngono katika utangazaji wa tumbaku kama mkakati wa kuongeza mvuto wa jumla wa bidhaa zao.
 
Lakini, kwa bahati mbaya kwa makampuni ya tumbaku, ukweli hauko upande wao. Mbali na kuvutia, uvutaji sigara unaweza kuathiri vibaya maisha ya ngono ya mtu.

Upungufu wa nguvu za kiume

Uvutaji sigara huharibu mzunguko wa damu kwa njia nyingi, na kusababisha shida nyingi za kiafya kama vile ugonjwa wa moyo, mshtuko wa moyo na kiharusi. Uvutaji wa sigara unaua kabisa nguvu za kiume.

Kusimama kwa uume kunawezekana tu wakati mishipa ya damu kwenye uume inapoongezeka na kujaa damu. Uvutaji sigara huvuruga mishipa ya damu katika eneo hilo la mwili, kumaanisha kitendo hicho hakiwezi kutokea kila mara. 

Hata kwa wanaume wenye umri mdogo kama miaka 20 sigara inaweza kabisa kuteketeza nguvu za kiume, ikiwa ni pamoja na kupunguza sana hamu ya tendo la ndoa.

Ugumba

Matumizi ya tumbaku yanaweza kuathiri vibaya uzazi kwa wanaume na wanawake. Wavutaji sigara wa kiume na wa kike wana takriban mara mbili ya kiwango cha ugumba kinachopatikana kwa wasiovuta. 

Uvutaji sigara unahusishwa na changamoto za uzazi kwa njia kadhaa. Uvutaji sigara huharibu DNA katika mayai na manii, jambo ambalo linaweza kusababisha matatizo ya uzazi. Aidha, wanawake wanaovuta sigara wanaweza pia kuwa na dirisha fupi la kupata mimba kwa sababu kemikali zinazopatikana katika bidhaa za tumbaku, ikiwa ni pamoja na nikotini, sianidi na monoksidi kaboni, huongeza kasi ya kupoteza mayai na kusababisha wavutaji kupata hedhi mapema kuliko wasiovuta. Upungufu wa nguvu za kiume uliotajwa hapo juu unaweza pia kuchangia kushindwa kushika mimba.

KOSA KUBWA WANALOFANYA WANAUME WENGI

Wanaume wengi wanapopungukiwa nguvu za kiume hukimbilia kutafuta dawa za kuongeza nguvu za kiume, na siyo kutibu chanzo cha tatizo. Hili ni KOSA KUBWA sana!

Ni kosa kubwa kukurupuka kubugia dawa za nguvu za kiume bila kujua chanzo cha tatizo na bila kujua hiyo dawa inakwenda kutibu eneo au kitu gani mwilini. Kwa njia hiyo, utamaliza miaka hata zaidi ya 100 na hata miaka elfu moja na hautapona! 

Upungufu wa nguvu za kiume lazima utibiwe kuanzia chanzo cha tatizo; kwa maana ya kwamba mzizi wa tatizo sharti ung'olewe kwanza! 

Mathalani, kama tatizo ni la homoni ijulikane kwanza; kama ni tatizo la tezi ijulikane kwanza, kisha matibabu sahihi yaelekezwe katika maeneo hayo. Hayo ndiyo matibabu, na si vinginevyo. 


Hebu zingatia mfano kichwani mwako kwanza, upungufu wa nguvu za kiume unaweza kutokana na kisukari kwa mwanaume huyu, au shinikizo la damu la kupanda (HIGH BLOOD PRESSURE) kwa mwanaume yule; au shida ya tezidume kwa mwanaume mwingine au shida ya kihomoni (HORMONAL IMBALANCE) kwa wanaume wengine, basi vipi iingie akilini kwamba wote hao watatibiwa kwa dawa aina moja? Watu wengi sana wameelewa kimakosa sana ndiyo maana hata matibabu yamekuwa ni tatizo kubwa sana kwao.

Kosa lingine wanalofanya wanaume wengi ni kukimbilia dawa za kikemikali. Dawa hizi si kwamba hazitibu tu chanzo cha tatizo bali pia zina madhara mengi sana kiafya pia. Nini ambacho hufanya mwilini dawa hizi? Dawa hizi hufanya kazi ya kuulazimisha moyo kusukuma damu kuingia katika uume, kwa kua-activate nitric oxide.  Matokeo yake ni kwamba, viungo ambavyo ni vigonjwa vitalazimika kufanya kazi huku vikiwa ni vigonjwa, na hatimaye vitadhoofika kabisa. Kama ambavyo wewe unakuwa mgonjwa unalazimishwa kufanya kazi. Mara ya kwanza unaweza kufanya, lakini mara nyingine unaweza kushindwa kabisa, na hata kuumia zaidi. Hiki ndicho kinachotokea kwa wahanga wengi wa madawa ya kikemikali. Atakwambia, “Nilijaribu kutumia mara kadhaa ikawa inasimama lakini baadaye haikusimama kabisa, hata kama nikitumia siwezi kabisa.”

matibabu ya uhakika kutoka zephania life herbal clinic

Utaratibu wetu ni kwamba hatumtibu mgonjwa mpaka tufanye mahojiano naye kwa kina juu ya historia ya afya yake kwa ujumla. Kama yuko nje ya Mwanza, tutahojiana naye kwa simu, kama yuko Mwanza basi anaweza kuja moja kwa moja kwenye kliniki yetu. Kama yuko nje ya nchi, tutahojiana naye kwa njia ya email/au WhatsApp.

Kupitia mahojiano hayo ndiyo tunaweza kufahamu chanzo cha tatizo lake, na pia tunaweza kumshauri kufanya vipimo kama tutaona kuna umuhimu wa kufanya hivyo. Lengo ni kwamba, tunahitaji kumtibu mgonjwa kuanzia chanzo cha tatizo, ni kwa njia hiyo tu ndipo anaweza kupona kabisa tatizo lake.

Matibabu yetu ya kutibu matatizo ya nguvu za kiume humaanisha kwamba; tunatibu matatizo yote yanayosababisha kupungua nguvu za kiume. Tunatibu shida zote zinazoathiri utendaji wa tezidume, tunatibu matatizo ya homoni mwilini, tunatibu tatizo la kufunga choo (constipation) na madhara yaliyoletwa mwilini, tunatibu kitambi/unene na madhara yake, tunatibu madhara ya kujichua, tunatibu presha ya kupanda na kushuka, tunatibu kabisa kisukari na mtu anapona kabisa (dawa yetu hii ya kisukari pia imepimwa na kuthibitishwa na Mkemia Mkuu wa Serikali); tunatibu saratani ya tezidume kabla haijakomaa sana, tunatibu maumivu ya mgongo/kiuno na vyanzo vyake; tunatibu vidonda vya tumbo na mtu anapona kabisa, tunatibu matatizo yote ya moyo, tunatibu presha ya kupanda; tunatibu matatizo ya figo na ini na magonjwa yote ambayo ni sababu ya kupungua nguvu za kiume. 

Hivyo, unapotibu nguvu za kiume, unatibu afya yako kwa ujumla, kinyume na watu wanavyofikiri kwamba labda nguvu za kiume ni ule uume tu!! NGUVU ZA KIUME ZIKO NDANI! Na kuna viungo na vipengele mbalimbali zaidi ya 100 vinavyofanya kazi kwa ushirikiano mkubwa ili kukupatia nguvu za kiume.

TUNATUMA DAWA MAHALA POPOTE ULIPO

Tunatuma dawa mahala popote mtu alipo ndani na nje ya nchi. Kwa watu walio ndani ya nchi, mzigo huchukua siku 3-5 hadi kukufikia. Na kwa watu walio nje ya nchi mzigo huchukua siku 5-7 ambapo mizigo yote tunatuma kwa DHL; tunavyo vibari vya kusafirisha.

VIDEO| Sababu za kukosa hamu ya tendo la ndoa

BAADHI YA MAGONJWA NA TABIA ZINAZOATHIRI VIUNGO NA VITU MABALIMBALI MWILINI VINAVYOHUSIKA NA NGUVU za kiume

Kuna tabia na magonjwa mbalimbali zaidi ya 200
ambayo hudhuru viungo na vitu mbalimbali ndani ya mwili vinavyohusika na
nguvu za kiume. Hapa tumekuwekea baadhi ya magonjwa na tabia. Bofya kwenye
maneno "Soma hapa zaidi," uweze kufahamu ni kwa namna gani
ugonjwa husika husababisha kupungua nguvu za kiume.
Picture

KUJICHUA

Kujichua ni tendo linaloua kabisa nguvu za kiume; huvuruga homoni, mishipa ya neva, tezi n.k.
SOMA ZAIDI


Picture

KITAMBI

Kitambi kina madhara mengi kiafya ikiwa ni pamoja na kubadilisha homoni ya kiume kuwa ya kike na hivyo kupunguza nguvu za kiume.
SOMA ZAIDI
Picture

KISUKARI

Kisukari hudhuru mishipa ya damu, mishipa ya neva, homoni, figo n.k, na hivyo kupunguza nguvu za kiume.
​
SOMA ZAIDI
Picture

mishipa ya neva

Ugonjwa unaodhuru mishipa ya neva kama vile Parkinson’s disease, kifafa n.k, hupunguza nguvu za kiume.
​
SOMA ZAIDI
Picture

kufunga choo

 Kusukuma choo kwa nguvu muda mrefu hudhuru misuli iitwayo “Pelvic Floor Muscles” na hivyo kupunguza nguvu za kiume.
​
​SOMA ZAIDI
Picture

matatizo ya ini

Matatizo ya ini husababisha kupungua nguvu za kiume kwa sababu hudhuru utendaji wa baadhi ya homoni mwilini.
​
SOMA ZAIDI
Picture

ngiri

Ngiri hudhuru mishipa ya neva iliyo kwenye uume na  homoni ya testestoron na hivyo kupunguza nguvu za kiume.
SOMA ZAIDI

Picture

presha ya kupanda

 Presha ya kupanda hudhuru mzunguko wa damu, homoni, mishipa ya neva na hivyo kufanya nguvu za kiume kupungua.
SOMA ZAIDI

Picture

uvutaji sigara

Uvutaji wa sigara hudhuru mishipa ya damu ya ateri na hivyo kusababibisha nguvu za kiume kupungua.
SOMA ZAIDI

Picture

baiskeli

Uendeshaji wa basikeli muda mrefu hudhuru mishipa ya neva kwenye korodani na hivyo kupunuguza nguvu za kiume.
SOMA ZAIDI

Picture

upasuaji

Matibabu ya upasuaji huweza kudhuru mishipa ya neva na hivyo kupunuguza nguvu za kiume.
SOMA ZAIDI

Picture

pombe

Pombe huleta mabadiliko makubwa  kwa kuvuruga utendaji wa vitu vingi mwilini na hivyo kupunuguza nguvu za kiume.
SOMA ZAIDI

Picture

viagra

Watu wengi hukurupuka kutumia Viagara na jamii ya Viagara, si tiba kabisa na huchangia sana kuua nguvu za kiume.
SOMA ZAIDI

Picture

tezidume

 Kuvimba kwa tezidume au saratani hudhuru utendaji wa tezi hiyo muhimu na hivyo kupunguza nguvu za kiume.
SOMA ZAIDI

Picture

ULAJI MBAYA

Ulaji mbaya hudhuru na kuharibu utendaji wa mifumo ya mwili, na hivyo kupelekea maradhi mengi na upungufu wa nguvu za kiume.
SOMA ZAIDI
Picture

kuchelewa kulala

Usingizi huchaji upya akili na mwili. Kukosekana kwake hudhoofisha mwili na hivyo kupunguza nguvu za kiume.
SOMA ZAIDI

Picture

msongo wa mawazo

 Msongo wa mawazo ni hatari kwa afya yako. Hupandisha baadhi ya kemikali na kusababisha nguvu za kiume kupungua.
SOMA ZAIDI

Picture

compyuta

Kutumia komputa muda mrefu hupunguza nguvu za kiume kutokana na mionzi, pia kuweka laptop kwenye miguu ni hatari.
SOMA ZAIDI
Picture

vidonda vya tumbo

Vidonda vya tumbo hupunguza nguvu za kiume kwa kudhuru viungo na vitu vinavyohusika na nguvu: vilivyo karibu yake.
SOMA ZAIDI
Picture

mionzi ya simu

Matumizi mabaya ya simu huingiza mionzi mingi mwilini na hivyo kupunguza nguvu za kiume na kudhuru afya zetu.
SOMA ZAIDI
Picture

ukosefu wa mazoezi

Kutofanya mazoezi ni hatari sana kwa afya yako. Mifumo mingi mwilini hudhurika na hivyo nguvu za kiume kupungua.
SOMA ZAIDI
Picture

maumivu ya kiuno

Uti wa mgongo hasa eneo la kiuno ndiyo kituo kikuu. Shida yoyote kwenye eneo hilo hupunguza nguvu za kiume.
SOMA ZAIDI
Picture

magonjwa ya figo

 Figo zina mchango muhimu sana katika nguvu za kiume. Shida yoyote katika figo husababisha nguvu za kiume kupungua.
SOMA ZAIDI
Picture

matatizo ya homoni

Matatizo ya kihomoni ndani ya mwili ni sababu kubwa kwa wanaume wengi kupungukiwa nguvu za kiume.
SOMA ZAIDI 

MAKALA MAALUMU

Je, wewe umewahi kujichua?Usiache kusoma hapa.
​

TAMBUA JINSI NGUVU ZA KIUME
ZINAVYOTIBIWA KITAALAMU

Bofya Hapa

dawa zetu ni za

Asili
Dawa zetu zinatokana na mimea tiba na matunda kutokana na miti ambayo imethibitika kisayansi kuwa ina uwezo wa mkubwa wa kutibu matatizo mbalimbali ya kiafya ikiwa ni pamoja na matatizo ya nguvu za kiume kwa uhakika mkubwa.

kuThibitishwa kwa

Mkemia
Kwa kuwa tumejikita katika kuhudumia wagonjwa kwa matibabu ya uhakika; baadhi ya dawa zetu nyingi zimepimwa na kuthibitishwa na Mkemia Mkuu wa Serikali kuwa ni nzuri hazina madhara yoyote.  Na zingine ziko kwenye mchakato.

matibabu yetu ni

Uhakika
Matibabu yetu ni ya uhakika, si ya kubahatisha. Tunatibu hadi mgonjwa apone kabisa. Tunatibu kuanzia chanzo cha tatizo. Tunamtibu mgonjwa mahala popote alipo ndani na nje ya nchi. Usipopona unarudishiwa nusu ya gharama au yote.

BAADHI YA DAWA ZETU

Zifuatazo ni baadhi ya dawa zetu zinazotibu nguvu za kiume kwa uhakika mkubwa sana
Picture

BODY COMPLEX

Inarekebisha mifumo ya mwili, na kutibu magonjwa mengi.
SOMA ZAIDI
Picture

BALIJAAM

Inatibu uregevu wa uume na kufika haraka kileleni.
SOMA ZAIDI
Picture

EXPORERE

Inaimarisha stamina ya mwili na kukufanya urudie zaidi.
SOMA ZAIDI

DAWA YA UHAKIKA YA KISUKARI. IMEPIMWA NA
KUTHIBITISHWA NA MKEMIA MKUU WA SERIKALI.

MAELEZO ZAIDI BOFYA HAPA

DAWA YA UHAKIKA YA KUZUIA KUFIKA HARAKA KILELENI

magonjwa mengine tunayotibu kwa uhakika mkubwa

Picture

matatizo ya ngozi

Picture

pumu

Picture

saratani

DAWA YA UHAKIKA YA KUZUIA KUFIKA HARAKA KILELENI
Picture

matatizo ya HEDHI

Picture

BAWASILI

Picture

BARIDI YABISA

DAWA YA UHAKIKA YA KUZUIA KUFIKA HARAKA KILELENI
Picture

sickle-cell

Picture

fangasi za ukeni

Picture

kipanda uso

Picture
Dr. Khamisi Ibrahim Zephania ni daktari bingwa aliyebobea
katika kutibu matatizo ya nguvu za kiume, na madhara ya kujichua. Anatibu kuanzia chanzo cha tatizo. Anatibu
hadi tatizo lako liishe kabisa. Ni matibabu
ya uhakika wala si ya kubahatisha.
+255 766 431 675/+255 656 620 725

WHATSAPP: +255 766 431 675
EMAIL: [email protected]

Click to set custom HTML
ONYO: Ni marufuku kunakili makala hizi, hatua kali za kisheria zitachukuliwa. Baadhi ya watu wana tabia ya "kukopi" na "kupesti" masomo haya kisha kutupia kwenye blogu zao na kujifanya wanaweza kutibu matatizo ya nguvu za kiume ilihali hawawezi chochote. Kutibu upungufu wa nguvu za kiume sio rahisi vile watu wanavyofikiri. Inahitaji utaalamu na ubobezi wa hali ya juu sana katika mfumo wa uzazi wa mwanamume. Sio kubugia dawa tu. Nawe mgonjwa kuwa makini sana; epuka kutapiliwa.

ZITAMBUE DAWA ZA KUSIMAMISHA UUME KAMA MSUMARI. NI DAWA AINA TANO ZA UHAKIKA SANA. ZINATIBU TATIZO LA UUME KUSIMAMA KWA UREGEVU.

BOFYA HAPA

UMUHIMU WA VITAMINI D KWA NGUVU ZA KIME

SOMA HAPA

Tikiti Maji ni zaidi ya VIAGRA. Tumia tikiti maji kujitibu upungufu wa nguvu za kiume

Bofya Hapa

Jinsi maji yanavyoweza kukurudishia nguvu za kiume

Bofya Hapa

Zephania Life Herbal Clinic


Hours

M-F: 7am - 9pm

Telephone

+255 766 431 675
+255 656 620 725

Email

[email protected]
  • Home
  • Contact
  • About
  • Service
  • Kliniki Maalumu ya Nguvu za Kiume - Tanzania
  • Namna Kitambi Kinavyosababisha Kupungua kwa Nguvu za Kiume na Kushusha Kiwango cha Testosterone
  • Ngiri ni Nini?
  • MASTER TEMPLATE 1
  • Mwongozo Kamili wa Nguvu za Kiume: Sababu za Kupungua, Dalili, Hatari na Njia Salama za Kuongeza Uwezo wa Kiume Kiasili
  • Tatizo la kufika kileleni mapema
  • Dawa na Tiba ya Kisukari ya Asili - Tanzania