+255 766 431 675 /+255 656 620 725
MADHARA YA DAWA ZA HOSPITALI ZA NGUVU ZA KIUME
Dawa za HOSPITALI ZA kuongeza nguvu za kiume zinapatikana sehemu nyingi sana kama vile hospitali, "pharmacy" na maduka ya dawa muhimu. Zipo katika kampuni tofauti tofauti mfano, erecto, vega, n.k.
Dawa hizi hutumiwa zaidi na wanaume wasioweza kusimamisha uume vizuri kwa lengo la kumuwezesha kukidhi haja zake kwa mwenza wake wa kike.
Lakini pia zimekuwa zikitumiwa na vijana wengi kwa lengo la kumkomoa mwanamke au wengine hufanya kwa kuiga kutoka kwa waigizaji video za ngono hasa za wazungu.

Kuhusu Viagra
Viagra haimfanyi mtu kupata hamu ya ngono bali yenyewe hufanya kazi endapo tu mtu anapokuwa na hamu ya kufanya ngono.
Tugusie kidogo juu ya namna uume unavyoweza kusimama.
Pindi mwanaume anapopata hamu ya kufanya ngono, mishipa ya fahamu iliyoko katika misuli ya uume hutoa "chemicals" zinazoitwa "nitric oxide" ambazo huamrisha viamshi (enzymes) kuzalisha kemikali nyingine tena zinazoitwa "messenger cyclic guanosidem monophosphate.
Hali hii huifanya misuli laini ya uume kujiachia na kutanuka ambapo matokeo yake huiruhusu damu kuingia vizuri katika mishipa midogomidogo iliyoko katika uume (cappilaries), hapo ndipo uume unakuwa umesimama vizuri.
Hivyo basi, Viagra hufanya kazi ya kusawazisha kiwango cha hii kemikali inayoitwa "Cyclic guanosine Monophosphate."

Madhara ya vidonge vya Viagra
Kwa mara ya kwanza dawa hii ilitumika kutibu tatizo la presha, lakini ilionyesha maajabu pale ilipoonekana kuwafanya wagonjwa kuwa na nguvu nyingi za kusimamisha maumbile yao ya uzazi. Baada ya hapo zikazuiliwa kutumika mahospitalini lakini baadae zikafanyiwa uchunguzi na zikaanza rasmi kutumika kwa wanaume wenye matatizo ya kusimamisha.
Kipindi hicho watu wenye matatizo ya kusimamisha walikuwa wakipewa dawa hii chini ya uangalizi wa daktari huku wakipewa ushauri wa kutosha kwamba wataweza kusimamisha na hivyo saikolojia hiyo ikawakaa na wakasimamisha lakini baada ya muda fulani, mgonjwa wa tatizo hurudi katika hali yake ya kutosimamisha.

Madhara

Hatari ya kupoteza uhai
Mtu anayetumia vidonge hivi bila ushauri wa daktari huku akiwa na matatizo mengine ya kiafya kama presha yuko hatarini kupoteza uhai wake. Hii ndiyo maana mara kadhaa unasikia kwenye vyombo vya habari ya kwamba mwanaume kafia nyumba ya kulala wageni (Guest House) akiwa na mwanamke. Aslimia kubwa ya vifo hivi huwa ni matumizi ya dawa hizi.
Utegemezi
Matumizi makubwa ya dawa hizi hufanya tatizo kuwa kubwa zaidi kwa sababu dawa hizi humfanya mtu kusimamisha kwa muda tu kwani akihitaji kufanya mapenzi siku nyingine inampasa ameze tena. Hali hii ya kuzimeza kila wakati inamfanya kuwa tegemezi (dependant) na kumfanya azidi kuongeza dozi zingine na mwisho wa siku hutengeneza sumu mwilini na kuua kabisa nguvu za kiume.
Kuwa kiziwi
Madhara mengine ni kupoteza uwezo wa kusikia (ukiziwi). Mtu anayetumia dawa hizi anaweza kujikuta hasikii vizuri au hata hasikii kabisa. Masikio yamekufa.
Kuwa kipofu
Madhara mengine ni kupoteza uwezo wa kuona au kuwa kipofu kabisa. Watumiaji wa dawa hizi wengi wameripotiwa kuwa vipofu ghafla au kuwa kuanza shida ya kuwa kipofu kidogo kidogo, hatimaye mtu anakuwa kipofu KABISA.

KOSA KUBWA WANALOFANYA WANAUME WENGI
Wanaume wengi wanapokumbwa na shida ya nguvu za kiume hukimbilia kubugia dawa za kuongeza nguvu za kiume, na siyo kutibu chanzo cha tatizo. Hili ni KOSA KUBWA sana!
Ni kosa kubwa kukurupuka kubugia dawa za nguvu za kiume bila kujua chanzo cha tatizo na bila kujua hiyo dawa inakwenda kutibu eneo au kitu gani mwilini. Kwa njia hiyo, utamaliza miaka hata zaidi ya 100 na hata miaka elfu moja na hautapona!
Upungufu wa nguvu za kiume lazima utibiwe kuanzia chanzo cha tatizo; kwa maana ya kwamba mzizi wa tatizo sharti ung'olewe kwanza!
Mathalani, kama tatizo ni la homoni ijulikane kwanza; kama ni tatizo la tezi ijulikane kwanza, kisha matibabu sahihi yaelekezwe katika maeneo hayo. Hayo ndiyo matibabu, na si vinginevyo.
Hebu zingatia mfano kichwani mwako kwanza, upungufu wa nguvu za kiume unaweza kutokana na kisukari kwa mwanaume huyu, au shinikizo la damu la kupanda (HIGH BLOOD PRESSURE) kwa mwanaume yule; au shida ya tezidume kwa mwanaume mwingine au shida ya kihomoni (HORMONAL IMBALANCE) kwa wanaume wengine, basi vipi iingie akilini kwamba wote hao watatibiwa kwa dawa aina moja? Watu wengi sana wameelewa kimakosa sana ndiyo maana hata matibabu yamekuwa ni tatizo kubwa sana kwao.
Kosa lingine wanalofanya wanaume wengi ni kukimbilia dawa za kikemikali. Dawa hizi si kwamba hazitibu tu chanzo cha tatizo bali pia zina madhara mengi sana kiafya pia. Nini ambacho hufanya mwilini dawa hizi? Dawa hizi hufanya kazi ya kuulazimisha moyo kusukuma damu kuingia katika uume, kwa kua-activate nitric oxide. Matokeo yake ni kwamba, viungo ambavyo ni vigonjwa vitalazimika kufanya kazi huku vikiwa ni vigonjwa, na hatimaye vitadhoofika kabisa. Kama ambavyo wewe unakuwa mgonjwa unalazimishwa kufanya kazi. Mara ya kwanza unaweza kufanya, lakini mara nyingine unaweza kushindwa kabisa, na hata kuumia zaidi. Hiki ndicho kinachotokea kwa wahanga wengi wa madawa ya kikemikali. Atakwambia, “Nilijaribu kutumia mara kadhaa ikawa inasimama lakini baadaye haikusimama kabisa, hata kama nikitumia siwezi kabisa.”

nani anaweza kutibu nguvu za kiume
Kuna watu wengi sana hivi leo wanaodai kutibu nguvu za kiume. Ukweli wa mambo ni kwamba siyo kweli! Ni watu wachache sana wenye uwezo wa kutibu tatizo la kuishiwa nguvu za kiume. Na ni watu wachache sana wenye kuelewa matibabu sahihi.
Utakuta mtu au kampuni inatangaza dawa ya aina moja kuwatibu watu wote wenye matatizo ya nguvu za kiume. Tabia hii pia imejengeka kwa baadhi ya watu, hunipigia simu au kuniandikia baruapepe na kuniuliza moja kwa moja, "Daktari, dawa za nguvu za kiume ni shilingi ngapi?"
Hii ni dalili kwamba watu hawajui maana ya kupungukiwa nguvu za kiume. Na hawajui nguvu za kiume ni nini? Na kwa kutokujua huwafanya waendelee kuteseka. Tatizo la nguvu za kiume, haliwezi kutibiwa kwa njia hiyo hata siku moja.
Ndugu wapendwa, mimi siuzi dawa, nafanya matibabu. Kwa nini? Kila mwanamume ana sababu na chanzo chake cha kupungua nguvu za kiume. Kama wanaume 100 waliopungukiwa nguvu za kiume watajipanga mstari kwa daktari mjuzi na mtaalamu, basi kila mgonjwa atakuwa na sababu yake na chanzo chake cha kupungukiwa nguvu za kiume tofauti kabisa na mwingine. Na hivyo, kila mgonjwa atapewa dawa yake ya kipekee kabisa tofauti na mwingine.
Sasa itashangaza kuona huyu kapungukiwa nguvu za kiume kutokana na mishipa ya ateri kutofanya kazi vizuri, na yule kapungukiwa nguvu za kiume kutokana na kuvimba kwa tezidume, ati wote wapate dawa aina moja! Hiki ndicho kinachofanyika na watu wengi wamepoteza pesa na muda kwa matibabu kama haya yasiyokuwa na maana.
Yahitajika daktari mtaalamu aliyebobea katika mfumo wa uzazi wa mwanaume na mfumo wa mkojo, na anayeujua utendaji wa mwili wa binadamu kwa ujumla. Huyu ndiye anayeweza kutibu tatizo la nguvu za kiume. Yaani, daktari ambaye anajua vizuri ndani na nje utendaji wa figo, ini, moyo n.k; ama awe ni daktari wa tiba asilia au daktari wa tibakemikali (yaani daktari wa hospitali) siyo kila mtu tu au kila daktari. Hata kama utakwenda kwenye hospitali kubwa yoyote duniani unayoijua, na ukagonga hodi katika chumba cha daktari, ukamwambia, "Nina tatizo la upungufu au kuishiwa nguvu za kiume," atakurifaa kwa daktari maalumu aliyebobea katika mfumo wa uzazi wa mwanaume na mfumo wa mkojo. Hata kwa madaktari wa tiba asilia, hali ni hivyo hivyo, lazima ukutane na ambaye amebobea katika mfumo wa uzazi wa mwanaume.

Dalili za kujua kuwa umeathirika na dawa za Viagra
- Maumivu ya misuli.
- Kupata shida ya upumuaji.
- Maumivu ya kichwa.
- Maumivu ya macho au kulegea kwa macho.
- Kupiga chafya ovyo ovyo.
- Kuvurugika kwa tumbo mara baada ya kula chakula.
- Mafua.
- Kupata shida ya usingizi.
- Ngozi kuwa na joto lisilo la kawaida.
- Maumivu ya masikio.
- Kichefuchefu.
- Ulimi kuwa mwekundu kuliko kawaida.
- Kushindwa kumwaga mbegu hata ukifanya tendo la ndoa kwa muda mrefu.
- Kuona dunia imebadilika rangi.
- Kuwa na hali ya wasiwasi bila ya sababu yeyote.
- Maumivu kifuani.
- Kutokuona sawa sawa.
- Njaa ya kupita kiasi.
- Kuongezeka kwa ukubwa wa mboni ya jicho.
- Kutokwa jasho sana.
- Maumivu ya mgongo.
- Kutopendelea mwanga mkali.
- Uchovu wa bila sababu. nk.
matibabu ya uhakika kutoka zephania life herbal clinic
Utaratibu wetu ni kwamba hatumtibu mgonjwa mpaka tufanye mahojiano naye kwa kina juu ya historia ya afya yake kwa ujumla. Kama yuko nje ya Mwanza, tutahojiana naye kwa simu, kama yuko Mwanza basi anaweza kuja moja kwa moja kwenye kliniki yetu. Kama yuko nje ya nchi, tutahojiana naye kwa njia ya email/au WhatsApp.
Kupitia mahojiano hayo ndiyo tunaweza kufahamu chanzo cha tatizo lake, na pia tunaweza kumshauri kufanya vipimo kama tutaona kuna umuhimu wa kufanya hivyo. Lengo ni kwamba, tunahitaji kumtibu mgonjwa kuanzia chanzo cha tatizo, ni kwa njia hiyo tu ndipo anaweza kupona kabisa tatizo lake.
Matibabu yetu ya kutibu matatizo ya nguvu za kiume humaanisha kwamba; tunatibu matatizo yote yanayosababisha kupungua nguvu za kiume. Tunatibu shida zote zinazoathiri utendaji wa tezidume, tunatibu matatizo ya homoni mwilini, tunatibu tatizo la kufunga choo (constipation) na madhara yaliyoletwa mwilini, tunatibu kitambi/unene na madhara yake, tunatibu madhara ya kujichua, tunatibu presha ya kupanda na kushuka, tunatibu kabisa kisukari na mtu anapona kabisa (dawa yetu hii ya kisukari pia imepimwa na kuthibitishwa na Mkemia Mkuu wa Serikali); tunatibu saratani ya tezidume kabla haijakomaa sana, tunatibu maumivu ya mgongo/kiuno na vyanzo vyake; tunatibu vidonda vya tumbo na mtu anapona kabisa, tunatibu matatizo yote ya moyo, tunatibu presha ya kupanda; tunatibu matatizo ya figo na ini na magonjwa yote ambayo ni sababu ya kupungua nguvu za kiume.
Hivyo, unapotibu nguvu za kiume, unatibu afya yako kwa ujumla, kinyume na watu wanavyofikiri kwamba labda nguvu za kiume ni ule uume tu!! NGUVU ZA KIUME ZIKO NDANI! Na kuna viungo na vipengele mbalimbali zaidi ya 100 vinavyofanya kazi kwa ushirikiano mkubwa ili kukupatia nguvu za kiume.

TUNATUMA DAWA MAHALA POPOTE ULIPO
Tunatuma dawa mahala popote mtu alipo ndani na nje ya nchi. Kwa watu walio ndani ya nchi, mzigo huchukua siku 3-5 hadi kukufikia. Na kwa watu walio nje ya nchi mzigo huchukua siku 5-7 ambapo mizigo yote tunatuma kwa DHL; tunavyo vibari vya kusafirisha.
VIDEO| Sababu za kukosa hamu ya tendo la ndoa
BAADHI YA MAGONJWA NA TABIA ZINAZOATHIRI VIUNGO NA VITU MABALIMBALI MWILINI VINAVYOHUSIKA NA NGUVU za kiume
Kuna tabia na magonjwa mbalimbali zaidi ya 200
ambayo hudhuru viungo na vitu mbalimbali ndani ya mwili vinavyohusika na
nguvu za kiume. Hapa tumekuwekea baadhi ya magonjwa na tabia. Bofya kwenye
maneno "Soma hapa zaidi," uweze kufahamu ni kwa namna gani
ugonjwa husika husababisha kupungua nguvu za kiume.

KUJICHUA
Kujichua ni tendo linaloua kabisa nguvu za kiume; huvuruga homoni, mishipa ya neva, tezi n.k. SOMA ZAIDI |
KITAMBI
Kitambi kina madhara mengi kiafya ikiwa ni pamoja na kubadilisha homoni ya kiume kuwa ya kike na hivyo kupunguza nguvu za kiume. SOMA ZAIDI |
KISUKARI
Kisukari hudhuru mishipa ya damu, mishipa ya neva, homoni, figo n.k, na hivyo kupunguza nguvu za kiume. SOMA ZAIDI |
mishipa ya neva
Ugonjwa unaodhuru mishipa ya neva kama vile Parkinson’s disease, kifafa n.k, hupunguza nguvu za kiume. SOMA ZAIDI |
kufunga choo
Kusukuma choo kwa nguvu muda mrefu hudhuru misuli iitwayo “Pelvic Floor Muscles” na hivyo kupunguza nguvu za kiume. SOMA ZAIDI |
matatizo ya ini
Matatizo ya ini husababisha kupungua nguvu za kiume kwa sababu hudhuru utendaji wa baadhi ya homoni mwilini. SOMA ZAIDI |
ngiri
Ngiri hudhuru mishipa ya neva iliyo kwenye uume na homoni ya testestoron na hivyo kupunguza nguvu za kiume. SOMA ZAIDI |
presha ya kupanda
Presha ya kupanda hudhuru mzunguko wa damu, homoni, mishipa ya neva na hivyo kufanya nguvu za kiume kupungua. SOMA ZAIDI |
uvutaji sigara
Uvutaji wa sigara hudhuru mishipa ya damu ya ateri na hivyo kusababibisha nguvu za kiume kupungua. SOMA ZAIDI |
baiskeli
Uendeshaji wa basikeli muda mrefu hudhuru mishipa ya neva kwenye korodani na hivyo kupunuguza nguvu za kiume. SOMA ZAIDI |
upasuaji
|
pombe
Pombe huleta mabadiliko makubwa kwa kuvuruga utendaji wa vitu vingi mwilini na hivyo kupunuguza nguvu za kiume. SOMA ZAIDI |
viagra
Watu wengi hukurupuka kutumia Viagara na jamii ya Viagara, si tiba kabisa na huchangia sana kuua nguvu za kiume. SOMA ZAIDI |
tezidume
Kuvimba kwa tezidume au saratani hudhuru utendaji wa tezi hiyo muhimu na hivyo kupunguza nguvu za kiume. SOMA ZAIDI |
ULAJI MBAYA
Ulaji mbaya hudhuru na kuharibu utendaji wa mifumo ya mwili, na hivyo kupelekea maradhi mengi na upungufu wa nguvu za kiume. SOMA ZAIDI |
kuchelewa kulala
Usingizi huchaji upya akili na mwili. Kukosekana kwake hudhoofisha mwili na hivyo kupunguza nguvu za kiume. SOMA ZAIDI |
msongo wa mawazo
Msongo wa mawazo ni hatari kwa afya yako. Hupandisha baadhi ya kemikali na kusababisha nguvu za kiume kupungua. SOMA ZAIDI |
compyuta
Kutumia komputa muda mrefu hupunguza nguvu za kiume kutokana na mionzi, pia kuweka laptop kwenye miguu ni hatari. SOMA ZAIDI |
vidonda vya tumbo
Vidonda vya tumbo hupunguza nguvu za kiume kwa kudhuru viungo na vitu vinavyohusika na nguvu: vilivyo karibu yake. SOMA ZAIDI |
mionzi ya simu
Matumizi mabaya ya simu huingiza mionzi mingi mwilini na hivyo kupunguza nguvu za kiume na kudhuru afya zetu. SOMA ZAIDI |
ukosefu wa mazoeziKutofanya mazoezi ni hatari sana kwa afya yako. Mifumo mingi mwilini hudhurika na hivyo nguvu za kiume kupungua. SOMA ZAIDI |
maumivu ya kiuno
Uti wa mgongo hasa eneo la kiuno ndiyo kituo kikuu. Shida yoyote kwenye eneo hilo hupunguza nguvu za kiume. SOMA ZAIDI |
magonjwa ya figo
Figo zina mchango muhimu sana katika nguvu za kiume. Shida yoyote katika figo husababisha nguvu za kiume kupungua. SOMA ZAIDI |
matatizo ya homoni
Matatizo ya kihomoni ndani ya mwili ni sababu kubwa kwa wanaume wengi kupungukiwa nguvu za kiume. SOMA ZAIDI |
MAKALA MAALUMU
|
TAMBUA JINSI NGUVU ZA KIUME
ZINAVYOTIBIWA KITAALAMU
dawa zetu ni za
Asili
Dawa zetu zinatokana na mimea tiba na matunda kutokana na miti ambayo imethibitika kisayansi kuwa ina uwezo wa mkubwa wa kutibu matatizo mbalimbali ya kiafya ikiwa ni pamoja na matatizo ya nguvu za kiume kwa uhakika mkubwa.
|
kuThibitishwa kwa
Mkemia
Kwa kuwa tumejikita katika kuhudumia wagonjwa kwa matibabu ya uhakika; baadhi ya dawa zetu nyingi zimepimwa na kuthibitishwa na Mkemia Mkuu wa Serikali kuwa ni nzuri hazina madhara yoyote. Na zingine ziko kwenye mchakato.
|
matibabu yetu ni
Uhakika
Matibabu yetu ni ya uhakika, si ya kubahatisha. Tunatibu hadi mgonjwa apone kabisa. Tunatibu kuanzia chanzo cha tatizo. Tunamtibu mgonjwa mahala popote alipo ndani na nje ya nchi. Usipopona unarudishiwa nusu ya gharama au yote.
|
BAADHI YA DAWA ZETU
Zifuatazo ni baadhi ya dawa zetu zinazotibu nguvu za kiume kwa uhakika mkubwa sana
BODY COMPLEX
Inarekebisha mifumo ya mwili, na kutibu magonjwa mengi.
|
BALIJAAM
Inatibu uregevu wa uume na kufika haraka kileleni.
|
EXPORERE
Inaimarisha stamina ya mwili na kukufanya urudie zaidi.
|
magonjwa mengine tunayotibu kwa uhakika mkubwa
Dr. Khamisi Ibrahim Zephania ni daktari bingwa aliyebobea
katika kutibu matatizo ya nguvu za kiume, na madhara ya kujichua. Anatibu kuanzia chanzo cha tatizo. Anatibu
hadi tatizo lako liishe kabisa. Ni matibabu
ya uhakika wala si ya kubahatisha.
+255 766 431 675/+255 656 620 725
WHATSAPP: +255 766 431 675
EMAIL: [email protected]

Click to set custom HTML
ONYO: Ni marufuku kunakili makala hizi, hatua kali za kisheria zitachukuliwa. Baadhi ya watu wana tabia ya "kukopi" na "kupesti" masomo haya kisha kutupia kwenye blogu zao na kujifanya wanaweza kutibu matatizo ya nguvu za kiume ilihali hawawezi chochote. Kutibu upungufu wa nguvu za kiume sio rahisi vile watu wanavyofikiri. Inahitaji utaalamu na ubobezi wa hali ya juu sana katika mfumo wa uzazi wa mwanamume. Sio kubugia dawa tu. Nawe mgonjwa kuwa makini sana; epuka kutapiliwa.