Kukosa Hamu Ya Tendo La Ndoa - Sababu Na Matibabu Sahihi
Kukosa hamu ya mapenzi au kwa lugha nyingine kukosa hamu ya tendo la ndoa (kwa Kiingereza: Low Sexual Libido) ni hali ambayo huwatokewa wanaume wengi sana, wakubwa kwa vijana. Tatizo hili halitokei vivi hivi. Lina sababu nyingi sana.