ZEPHANIA LIFE HERBAL CLINIC
  • Home
    • Home - Eng
  • About
  • Service
  • Contact
  • Kipanda Uso, Sababu, Dalili Na Matibabu Sahihi
  • Hatari Za Kiafya Za Uzito Mkubwa Na Tiba Yake
  • Dawa ya Asili ya Bawasiri
  • ujuh
  • Pumu (Asthima): Sababu, Dalili, na Tiba Asili Iliyothibitishwa Kisayansi
  • BAWESI: Natural Hemorrhoid Remedy for Internal & External Healing

MADHARA YA KISUKARI

Madhara ya kisukari na ufumbuzi wake

Madhara ya kisukari

Madhara yaletwayo na kisukari mwilini

Athari za ugonjwa wa kisukari ni kuanzia kichwa hadi vidole. Madhara ya kisukari ni makubwa sana mwilini. Inaweza kuchukua kazi kubwa na nzito kudhibiti ugonjwa wa kisukari, lakini kama utafanikiwa HAKIKA ni jambo la thamani ya kubwa sana katika maisha yako.
 
Ugonjwa wa kisukari usiodhibitiwa humaanisha kuwa viwango vyako vya sukari kwenye damu ni vya juu sana. Na unaweza kuwa na dalili kama vile kukojoa mara nyingi zaidi, kuwa na kiu kingi, na kuwa na matatizo mengine yanayohusiana na kisukari chako. 

Ikiwa hautafanya bidii ya kushughulikia kutibu kisukari, unaweza kujiweka mwenyewe katika shida nyingi sana za kiafya.

Ugonjwa wa kisukari unaweza kuathiri karibu kila kiungo katika mwili wako, ikiwa ni pamoja na:
  • Moyo na mishipa ya damu
  • Macho
  • Figo
  • Mishipa
  • Njia ya utumbo
  • Ufizi na meno
  • Nguvu za kiume

Moyo na mishipa ya damu

Matatizo ya moyo na kisukari
Ugonjwa wa moyo na mishipa ya damu ni matatizo ambayo huwapata mara kwa mara watu wengi ambao hawawezi kuudhibiti barabara ugonjwa wa kisukari. Mgonjwa wa kisukari ana uwezekano mkubwa wa kuwa na matatizo ya moyo na kiharusi kuliko watu ambao hawana kisukari.

Uharibifu wa mishipa ya damu au uharibifu wa neva unaweza pia kusababisha matatizo ya miguu ambayo inaweza kusababisha kukatwa, licha ya kwamba hali hii hutokea mara chache sana, lakini ni vizuri sana kuchua hatua mapema sana za kudhibiti ugonjwa wa kisukari. Kwa sababu watu wenye kisukari wana uwezekano wa mara kumi kuondolewa vidole vyao vya miguu na na kukatwa miguu kuliko wale wasio na ugonjwa huo.

Dalili na Matibabu

Huenda usione dalili za tahadhari zitakazokuonyesha kuwa uko karibu kupata mshtuko wa moyo au kiharusi. Matatizo ya mishipa mikubwa ya damu kwenye miguu yako yanaweza kusababisha michubuko ya miguu, mabadiliko ya rangi ya ngozi, na ganzi hali ambayo itapelekea hisia za kuhisi maumivu kuwa ndogo.

Kupitia dawa yetu hii iitwayo DIABEZE NATURAL, lishe na mazoezi kunaweza kukusaidia kuepuka matatizo hayo, au kuyazuia yasiwe mabaya zaidi ukiwa nayo; au kuyamaliza kabisa.

Macho

kisukari kinavyodhuru macho
Kisukari ndicho kisababishi kikuu cha upotezaji wa macho kuona. Inaweza kusababisha matatizo ya macho, ambayo baadhi yanaweza kusababisha upofu ikiwa haitatibiwa:
  • Glakoma
  • Mtoto wa jicho
  • Ugonjwa wa kisukari retinopathy, ambayo inahusisha mishipa midogo ya damu machoni pako

Dalili na Matibabu

Matatizo ya kuona au kupoteza uwezo wa kuona ghafla. Unatakiwa kufanya uchunguzi wa macho wa mara kwa mara na dawa yetu ya Diabeze Natural  utaweza kuzuia hadi 90% ya upofu unaohusiana na ugonjwa wa kisukari.

Ugonjwa wa figo

Ugonjwa wa figo na kisukari
Ugonjwa wa kisukari ndio sababu kuu ya kushindwa kwa figo kufanya kazi kwa watu wengi wenye shida za figo.

Dalili na matibabu

Kwa kawaida unaweza usione mapema dalili zozote za ugonjwa wa figo unaohusiana na kisukari. Katika hatua za baadaye inaweza kufanya miguu yako kuvimba.

Mishipa

Mishipa na kisuakri
Unapokaa na kisukari kwa muda mrefu, viwango vya juu vya sukari kwenye damu vinaweza kudhuru mishipa yako. Takriban asilimia 70 ya watu wenye kisukari hupata aina hii ya uharibifu.
  • Mishipa iliyodhurika iliyoharibiwa na kisukari inaweza kusababisha maumivu na kuchoma au kupoteza hisia kwenye miguu yako. Kawaida huanza na vidole vyako. Inaweza pia kuathiri mikono yako na sehemu zingine za mwili.
  • Mishipa ya neva zinazodhibiti viungo vyako vya ndani. Dalili ni pamoja na matatizo ya kushindwa kufanya tendo la ndoa, matatizo ya usagaji chakula (hali inayoitwa gastroparesis), matatizo ya kuhisi mkojo wakati kibofu kimejaa, kizunguzungu na kuzirai, au kutojua wakati sukari yako iko chini.
  • Mishipa kwenye misuli iliyodhuriwa na kisukari  husababisha maumivu makali au kuungua na maumivu makali kwenye nyonga na paja ikifuatiwa na udhaifu katika misuli ya paja. Hii ni hali ya nadra (yaani hutokea mara chache sana).

Dalili na Matibabu

Maumivu na kuchoma au kupoteza hisia kwenye miguu yako. Kawaida huanza na vidole vyako. Inaweza pia kuathiri mikono yako na sehemu zingine za mwili. Dalili ni pamoja na matatizo ya kushindwa kufanya tendo la ndoa, matatizo ya usagaji chakula (hali inayoitwa gastroparesis), matatizo ya kuhisi mkojo wakati hakuna mkojo, kizunguzungu na kuzirai, au kutojua wakati sukari yako iko chini. Maumivu makali au kuungua na maumivu makali kwenye nyonga na paja ikifuatiwa na udhaifu katika misuli ya paja. Hii ni hali ya nadra (yaani hutokea mara chache sana).

Meno

kisukari na meno
Kuwa na kisukari kunakuweka katika hatari kubwa ya kupata ugonjwa wa fizi .

Dalili na Matibabu

Fizi zako zinaweza kuwa nyekundu na kuvimba na kuvuja damu kwa urahisi. Kupitia dawa hii ya Diabeze Natural utaweza kuidhibiti kabisa sukari yako, unapafualu kudhibiti sukari basi uharibifu katika meno utapungua au kuisha kabisa. Ni vizuri pia kutembelea daktari wako wa meno kwa ujili ya uchunguzi kama kuna shida yoyote. Na unatakiwa kutunza meno yako vizuri kila siku kwa kupiga mswaki, kuoshea kwa dawa ya kuosha kinywa, unaweza kuepuka matatizo ya fizi na kukatika kwa kwa meno

Dawa ya uhakika inayoponyesha kisukari

Diabeze Natural

Dawa ya kisukari
Diabeze Natural ni dawa ya uhakika sana inayotibu ugonjwa wa kisukari na kumaliza tatizo kabisa. Dawa hii inakwenda kushughulika na kongosho na kulifanya lifanye kazi vizuri sana. Pia, huifanya insulin iweze kufungua milango ya seli. Dozi ni chupa sita, na unatumiwa popote ulipo. Dawa hii imepimwa na mkemia mkuu wa serikali Lab No. 811/2019. Haina madhara yoyote kwa mtumiaji.

Dawa hii inatibu na kuponyesha kabisa madhara mengi yanayoletwa na kisukari mwilini, ikiwa ni pamoja na madhara ya kisukari kwa mwanaume, madhara ya kisukari kwa mwanamke, madhara ya ugonjwa wa kisukari kwa mama mjamzito, na madhara yanayoletwa na dawa za kisukari za hospitali. Unapotumia dawa hii kama una shida za macho, au miguu kuwaka na kufa ganzi, au kuchoka sana, au shida za meno, vichomi, kutosikia vizuri, kila kitu kitakaa vizuri kabisa.

WASILIANA NASI POPOTE ULIPO
Zephania Life Herbal Clinic
Kisesa, jijini Mwanza.

SIMU:
+255 766 431 675/+255 656 620 725

WHATSAPP:
+255 766 431 675

EMIAL:
[email protected]

Msikilize Dr. Khamisi Ibrahim Zephania akifafanua juu ya madhara ya kisukari na ufumbuzi wake




NI MATIBABU YA UHAKIKA


Diabeze Natural

Usiendelee Kuteseka Kabisa Na Kisukari

Pata Dawa Ya Uhakika

WASILIANA NASI HAPA

Zephania Life Herbal Clinic


Hours

M-F: 7am - 9pm

Telephone

+255 766 431 675
+255 656 620 725

Email

[email protected]
  • Home
    • Home - Eng
  • About
  • Service
  • Contact
  • Kipanda Uso, Sababu, Dalili Na Matibabu Sahihi
  • Hatari Za Kiafya Za Uzito Mkubwa Na Tiba Yake
  • Dawa ya Asili ya Bawasiri
  • ujuh
  • Pumu (Asthima): Sababu, Dalili, na Tiba Asili Iliyothibitishwa Kisayansi
  • BAWESI: Natural Hemorrhoid Remedy for Internal & External Healing