UGONJWA WA NGIRI
Jinsi ugonjwa wa ngiri unavyoathiri nguvu za kiume
Ngiri hujulikana pia kama “Hernia” kwa Kiingereza. Ugonjwa wa mshipa wa ngiri ni matokeo anayopata mtu kutokana na misuli au kuta za tishu mwilini zinazoshikilia au kubeba viungo fulani mwilini kupoteza uimara wake. Au kuta hizo kuwa na uwazi na kupelekea viungo hivyo kutoshikiliwa vizuri katika sehemu vinapostahili kuwepo.
Tunaweza kuufahamu zaidi ugonjwa wa ngiri kama hali inayotokea katika mwili ambapo sehemu fulani ya nyama ya viungo mbalimbali vya mwili hujipenyeza kupitia sehemu iliyo dhaifu ya mwili na kutokeza upande wa pili. Sehemu inayoathiriwa mara nyingi ni maeneo ya tumbo, kokwa, pumbu na kadhalika ambapo baadhi ya viungo vya mwili vilivyomo tumboni hujipenyeza kupitia vitundu vinavopitisha mishipa ya fahamu inayohudumia kokwa (Spesmatic Cord), hivyo baada ya kujipenyeza huteremka hadi ndani ya korodani hali ambayo hukamilisha kuwepo kwa ugonjwa wa mshipa wa ngiri.
Sehemu ambazo Ngiri inaweza kutokea ni pamoja na maeneo ya:
Aina za Ngiri:
Ugonjwa wa mshipa wa ngiri unaweza kujitokeza maeneo mbalimbali ya mwili na aina ya ngiri hutegemea na sehemu ngiri ilipojitokeza.
1. Ngiri maji – Hii ni aina ya ngiri ijulikanayo pia kwa kitaalamu kama (hydrocele)
2. Ngiri kavu (Hernia) – hujulikana pia kama ‘fermoral hernia’ kwa wanawake na huitwa ‘scrotal hernia’ kwa wanaume
3. Ngiri ya kwenye kifua – hujulikana pia kitaalamu kama ‘hiatus hernia’
4. Ngiri ya tumbo – hujulikana pia kama ‘abdominal hernia’
5. Ngiri ya kwenye kitovu – hujulikana pia kama ‘umbilical hernia”
6. Ngiri ya sehemu ya haja kubwa – hujulikana pia kama ‘anal hernia’
Dalili za aina zote za ngiri hazitofautiani sana na ngiri hujitokeza bila maumivu yoyote ingawa kuna baadhi ya ngili hua na maumivu makali hutegemea ngiri ilivotokeza.
Ngiri ya kwenye kinena
Ingiri ya kwenye kinena ambayo kitaalamu huitwa 'inguinal hernia' hutokea wakati tishu laini hujitokeza kupitia eneo la udhaifu au kasoro katika misuli yako ya chini ya tumbo. Mara nyingi huwa karibu na eneo la kinena. Mtu yeyote anaweza kupata henia hii, lakini ni kawaida zaidi kwa wanaume kuliko wanawake.
Upasuaji sio lazima kila wakati, lakini henia kwa ujumla henia inasumbua sana bila hiyo. Katika baadhi ya matukio, henia isiyotibiwa inaweza kuwa hatari ya kutishia maisha. Ingawa kuna madhara na hatari zinazohusiana na upasuaji, watu wengi wana matokeo mazuri.
Nini husababisha ngiri ya kinenani?
Sababu ya ngiri ya kinenani haijulikani, lakini inaweza kuwa ni matokeo ya maeneo dhaifu katika ukuta wa tumbo. Ulegevu unaweza kuwa kutokana na kasoro zilizopo wakati wa kuzaliwa au mwili kuingiliwa na sumu baadaye katika maisha.
Baadhi ya sababu za hatari zinazoweza kusababisha kutokeza henia ya kinenani ni pamoja na:
Watu wazima na watoto wanaweza kupata henia ya kinenani. Wanaume wana uwezekano mkubwa zaidi wa kupata henia ya kinenani. Watu wenye historia ya ngiri wanakuwa katika hatari kubwa zaidi ya kuwa na ngiri nyingine pia. Ngiri ya pili hutokea kwa upande mwingine.
Je! ni zipi dalili za henia ya kinena?
Dalili za ngiri ya kwenye kinena zinajumuisha maumivu au, shinikizo, hasa wakati wa kuinua kitu, au kukohoa. Dalili hizi kawaida hupungua wakati wa kupumzika. Wanaume pia wanaweza kuwa na uvimbe katika eneo la ngiri.
Je, unahitaji upasuaji?
Kwa kawaida upasuaji haupendekezwi kama henia haijasababisha tatizo. Hata hivyo, ni muhimu kutambua kwamba wangonjwa wengi hutibiwa kwa upasuaji, wachache sana hupona kwa dawa. Daktari wako anaweza kupendekeza upasuaji kama:
Hernia inaweza kuwa hatari sana ikiwa matumbo yako yamepotoka au kupigwa. Ikiwa hii itatokea, unaweza kuwa na:
Ikiwa una dalili hizi yoyote, wasiliana na daktari wako mara moja. Hii ni hali inayohatarisha maisha inayohitaji upasuaji wa dharura.
Je, ngiri huathiri nguvu za kiume?
Kama ngiri bado ni ndogo. Haiwezi kuathiri chochote katika nguvu za kiume. Hata hivyo, henia ambayo imeshakuwa kubwa inaweza kuathiri nguvu za kiume - - huathiri utendaji wa mishipa ya neva iliyo kwenye uume/korodani na hali ya homoni. Ukosefu wa homoni ya testosterone inaweza kusababisha upungufu wa nguvu za kiume. Upasuaji wa ngiri unaweza kusababisha shida katika korodani kufanya uwezekano wa homoni ya testosterone kuwa chini. Hata hivyo, kwa sababu watu wengi wana korodani mbili, hata kama moja inaweza kuwa na shida, nyingine inaweza kuzalisha viwango vya kutosha vya homoni. Ngiri pia huweza kusababisha upungufu wa nguvu za kiume kutokana na kuharibu mishipa ya neva iliyo kwenye uume.

- Tumboni
- Eneo la kinena
- Eneo la paja kwa juu
- Eneo ambalo mtu amewahi kufanyiwa upasuaji siku za nyuma
- Kifuani n.k.

- Maji au shinikizo katika tumbo
- Kuinua nzito, kama vile 'weightlifting'
- Kufunga choo (kusukuma choo kwa nguvu nyingi wakati wa kujisaidia haja kubwa)
- Kikohozi cha muda mrefu
- Mimba
Watu wazima na watoto wanaweza kupata henia ya kinenani. Wanaume wana uwezekano mkubwa zaidi wa kupata henia ya kinenani. Watu wenye historia ya ngiri wanakuwa katika hatari kubwa zaidi ya kuwa na ngiri nyingine pia. Ngiri ya pili hutokea kwa upande mwingine.
Je! ni zipi dalili za henia ya kinena?
Dalili za ngiri ya kwenye kinena zinajumuisha maumivu au, shinikizo, hasa wakati wa kuinua kitu, au kukohoa. Dalili hizi kawaida hupungua wakati wa kupumzika. Wanaume pia wanaweza kuwa na uvimbe katika eneo la ngiri.
Je, unahitaji upasuaji?
Kwa kawaida upasuaji haupendekezwi kama henia haijasababisha tatizo. Hata hivyo, ni muhimu kutambua kwamba wangonjwa wengi hutibiwa kwa upasuaji, wachache sana hupona kwa dawa. Daktari wako anaweza kupendekeza upasuaji kama:
- hernia yako inakuwa kubwa
- maumivu yanaendelea au ongezeko
- una shida kufanya shughuli za kila siku
Hernia inaweza kuwa hatari sana ikiwa matumbo yako yamepotoka au kupigwa. Ikiwa hii itatokea, unaweza kuwa na:
- Homa
- Kiwango cha moyo kilichoongezeka
- Maumivu
- Kichefuchefu
- Kutapika
- Uvimbe kuwa giza
Ikiwa una dalili hizi yoyote, wasiliana na daktari wako mara moja. Hii ni hali inayohatarisha maisha inayohitaji upasuaji wa dharura.
Je, ngiri huathiri nguvu za kiume?
Kama ngiri bado ni ndogo. Haiwezi kuathiri chochote katika nguvu za kiume. Hata hivyo, henia ambayo imeshakuwa kubwa inaweza kuathiri nguvu za kiume - - huathiri utendaji wa mishipa ya neva iliyo kwenye uume/korodani na hali ya homoni. Ukosefu wa homoni ya testosterone inaweza kusababisha upungufu wa nguvu za kiume. Upasuaji wa ngiri unaweza kusababisha shida katika korodani kufanya uwezekano wa homoni ya testosterone kuwa chini. Hata hivyo, kwa sababu watu wengi wana korodani mbili, hata kama moja inaweza kuwa na shida, nyingine inaweza kuzalisha viwango vya kutosha vya homoni. Ngiri pia huweza kusababisha upungufu wa nguvu za kiume kutokana na kuharibu mishipa ya neva iliyo kwenye uume.
matibabu ya uhakika kutoka zephania life herbal clinic
Tunazo dawa za asili na mbadala za kutibu matatizo ya ngiri aina zote bila kupasua. Matibabu yetu ya ngiri huchukua mwezi mmoja hadi 4 kutegemea na ukubwa wa tatizo.
Matibabu yetu ya kutibu matatizo ya nguvu za kiume humaanisha kwamba; tunatibu matatizo yote yanayosababisha kupungua nguvu za kiume. Tunatibu shida zote zinazoathiri utendaji wa tezidume, tunatibu matatizo ya homoni mwilini, tunatibu tatizo la kufunga choo (constipation) na madhara yaliyoletwa mwilini, tunatibu kabisa kisukari na mtu anapona kabisa, tunatibu kitambi/unene na madhara yake, tunatibu madhara ya kujichua, tunatibu presha ya kupanda na kushuka, dawa yetu hii ya kisukari pia imepimwa na kuthibitishwa na Mkemia Mkuu wa Serikali LAB No....; tunatibu saratani ya tezidume kabla haijakomaa sana, tunatibu maumivu ya mgongo/kiuno na vyanzo vyake; tunatibu vidonda vya tumbo na mtu anapona kabisa, tunatibu matatizo yote ya moyo, tunatibu presha ya kupanda; tunatibu matatizo ya figo na ini na magonjwa yote ambayo ni sababu ya kupungua nguvu za kiume.
Hivyo, unapotibu nguvu za kiume, unatibu afya yako kwa ujumla, kinyume na watu wanavyofikiri kwamba labda nguvu za kiume ni ule uume tu!! NGUVU ZA KIUME ZIKO NDANI! Na kuna viungo na vipengele mbalimbali zaidi ya 100 vinavyofanya kazi kwa ushirikiano mkubwa ili kukupatia nguvu za kiume.

HONGOX
Dawa ya uhakika ya ngiri.
Inatibu ngiri aina zote. Ni dawa ya uhakika sana. Wasiliana nasi
|
TUNATUMA DAWA MAHALA POPOTE ULIPO
Tunatuma dawa mahala popote mtu alipo ndani na nje ya nchi. Kwa watu walio ndani ya nchi, mzigo huchukua siku 3-5 hadi kukufikia. Na kwa watu walio nje ya nchi mzigo huchukua siku 5-7 ambapo mizigo yote tunatuma kwa DHL; tunavyo vibari vya kusafirisha.
VIDEO| jinsi KUJICHUA kunavyoua nguvu za kiume kabisa
BAADHI YA MAGONJWA NA TABIA ZINAZOATHIRI VIUNGO NA VITU MABALIMBALI MWILINI VINAVYOHUSIKA NA NGUVU za kiume
Kuna tabia na magonjwa mbalimbali zaidi ya 200
ambayo hudhuru viungo na vitu mbalimbali ndani ya mwili vinavyohusika na
nguvu za kiume. Hapa tumekuwekea baadhi ya magonjwa na tabia. Bofya kwenye
maneno "Soma hapa zaidi," uweze kufahamu ni kwa namna gani
ugonjwa husika husababisha kupungua nguvu za kiume.

KUJICHUA
Madhara ya kujichuaKujichua ni tendo linaloua kabisa nguvu za kiume; huvuruga homoni, mishipa ya neva, tezi n.k. SOMA ZAIDI |
KITAMBI
Kitambi kina madhara mengi kiafya ikiwa ni pamoja na kubadilisha homoni ya kiume kuwa ya kike na hivyo kupunguza nguvu za kiume. SOMA ZAIDI |
KISUKARI
Kisukari hudhuru mishipa ya damu, mishipa ya neva, homoni, figo n.k, na hivyo kupunguza nguvu za kiume. SOMA ZAIDI |
mishipa ya neva
Ugonjwa unaodhuru mishipa ya neva kama vile Parkinson’s disease, kifafa n.k, hupunguza nguvu za kiume. SOMA ZAIDI |
kufunga choo
Kusukuma choo kwa nguvu muda mrefu hudhuru misuli iitwayo “Pelvic Floor Muscles” na hivyo kupunguza nguvu za kiume. SOMA ZAIDI |
matatizo ya ini
Matatizo ya ini husababisha kupungua nguvu za kiume kwa sababu hudhuru utendaji wa baadhi ya homoni mwilini. SOMA ZAIDI |
NGIRI
Ngiri hudhuru mishipa ya neva iliyo kwenye uume na homoni ya testestoron na hivyo kupunguza nguvu za kiume. SOMA ZAIDI |
presha ya kupanda
Presha ya kupanda hudhuru mzunguko wa damu, homoni, mishipa ya neva na hivyo kufanya nguvu za kiume kupungua. SOMA ZAIDI |
uvutaji sigara
Uvutaji wa sigara hudhuru mishipa ya damu ya ateri na hivyo kusababibisha nguvu za kiume kupungua. SOMA ZAIDI |
baiskeli
Uendeshaji wa basikeli muda mrefu hudhuru mishipa ya neva kwenye korodani na hivyo kupunuguza nguvu za kiume. SOMA ZAIDI |
upasuaji
|
pombe
Pombe huleta mabadiliko makubwa kwa kuvuruga utendaji wa vitu vingi mwilini na hivyo kupunuguza nguvu za kiume. SOMA ZAIDI |
viagra
Watu wengi hukurupuka kutumia Viagara na jamii ya Viagara, si tiba kabisa na huchangia sana kuua nguvu za kiume. SOMA ZAIDI |
tezidume
Kuvimba kwa tezidume au saratani hudhuru utendaji wa tezi hiyo muhimu na hivyo kupunguza nguvu za kiume. SOMA ZAIDI |
ULAJI MBAYA
Ulaji mbaya hudhuru na kuharibu utendaji wa mifumo ya mwili, na hivyo kupelekea maradhi mengi na upungufu wa nguvu za kiume. SOMA ZAIDI |
kuchelewa kulala
Usingizi huchaji upya akili na mwili. Kukosekana kwake hudhoofisha mwili na hivyo kupunguza nguvu za kiume. SOMA ZAIDI |
msongo wa mawazo
Msongo wa mawazo ni hatari kwa afya yako. Hupandisha baadhi ya kemikali na kusababisha nguvu za kiume kupungua. SOMA ZAIDI |
compyuta
Kutumia komputa muda mrefu hupunguza nguvu za kiume kutokana na mionzi, pia kuweka laptop kwenye miguu ni hatari. SOMA ZAIDI |
vidonda vya tumbo
Vidonda vya tumbo hupunguza nguvu za kiume kwa kudhuru viungo na vitu vinavyohusika na nguvu: vilivyo karibu yake. SOMA ZAIDI |
mionzi ya simu
Matumizi mabaya ya simu huingiza mionzi mingi mwilini na hivyo kupunguza nguvu za kiume na kudhuru afya zetu. SOMA ZAIDI |
ukosefu wa mazoeziKutofanya mazoezi ni hatari sana kwa afya yako. Mifumo mingi mwilini hudhurika na hivyo nguvu za kiume kupungua. SOMA ZAIDI |
maumivu ya kiuno
Uti wa mgongo hasa eneo la kiuno ndiyo kituo kikuu. Shida yoyote kwenye eneo hilo hupunguza nguvu za kiume. SOMA ZAIDI |
magonjwa ya figo
Figo zina mchango muhimu sana katika nguvu za kiume. Shida yoyote katika figo husababisha nguvu za kiume kupungua. SOMA ZAIDI |
matatizo ya homoni
Matatizo ya kihomoni ndani ya mwili ni sababu kubwa kwa wanaume wengi kupungukiwa nguvu za kiume. SOMA ZAIDI |
magonjwa mengine tunayotibu kwa uhakika mkubwa
matatizo ya ngozi
|
pumu
|
saratani
|
sickle-cell
|
fangasi za ukeni
|
kipanda uso
|
matatizo ya HEDHI
|
BAWASILI
|
BARIDI YABISA
|
MAKALA MAALUMU
|
BAADHI YA DAWA ZETU
Zifuatazo ni baadhi ya dawa zetu zinazotibu nguvu za kiume kwa uhakika mkubwa sana
BODY COMPLEX
Inarekebisha mifumo ya mwili, na kutibu magonjwa mengi.
|
BALIJAAM
Inatibu uregevu wa uume na kufika haraka kileleni.
|
EXPORERE
Inaimarisha stamina ya mwili na kukufanya urudie zaidi.
|
Dr. Khamisi Ibrahim Zephania ni daktari bingwa aliyebobea
katika kutibu matatizo ya nguvu za kiume na magonjwa sugu. Anatibu
hadi tatizo lako liishe kabisa. Ni matibabu
ya uhakika wala si ya kubahatisha.
SIMU:
+255 766 431 675
+255 656 620 725
WHATSAPP:
+255 766 431 675
EMAIL: [email protected]

MATIBABU YA UHAKIKA YA NGUVU ZA KIUME
Matibabu ya uhakika ya nguvu za kiume
Kupungua nguvu za kiume siyo ugonjwa, ni dalili ya ugonjwa. Kuna sababu zake ndani ya mwili. Sababu hizo ni nyingi mno, ni zaidi ya 100! Anatakiwa daktari mtaalamu aliyebobea katika uzazi, mifumo ya mkojo, anayelijua vizuri figo ndani na nje, ini na mifumo mingine ya mwili, ikiwa ni pamoja na kemia ya mwili. Na inatakiwa dawa iende kutibu chanzo cha tatizo. Ndicho tunachokifanya sisi. matibabu yetu ni ya uhakika. MAELEZO ZAIDI BOFYA HAPA.....
Faida 10 za kitunguu saumu
Vitunguu saumu ni viungo ambavyo vinatumika sana jikoni katika mapishi kwa karne nyingi. Mimea hii ina faida nyingi za kimatibabu kwa sababu ya asili yake ya antibacterial na antiseptic. Moja ya faida yake hasa kubwa ya vitunguu saumu ni kwa sababu ya kuwa na, Allicin. Imesheheni madini kama fosforasi, zinki, potasiamu, na magnesiamu. Vitamini C, K, Folate, niacin na thiamine pia hupatikana kwa wingi kwenye vitunguu saumu. MAELEZO ZAIDI BOFYA HAPA......
Dawa sahihi ya bawasiri
Ugonjwa wa bawasiri unatibika vizuri kama utazingatia mfumo wa vyakula na kubadili mtindo wa maisha na kupata dawa sahihi ya asili. Bawasiri ni ugonjwa unaonyima raha kwa watu wengi. Mbali na kunyima raha bawasiri inaweza kuleta shida kubwa sana kiafya. Fahamu kuhusu matibabu sahihi ya bawasiri. MAELEZO ZAIDI BOFYA HAPA.....
Jinsi tikiti maji linavyotibu nguvu za kiume
Dawa mbadala na vyakula vya asili na virutubisho ni vitu vilivyowavutia watu wengi sana kiasi ambacho sasa huwafanwa watu wengi kuhama kutoka kwenye dawa za kemikali au bandia na kutumia vitu asili kwa ajili ya matatizo ya kiafya. Kwa wanaume walio na tatizo la kukosa nguvu za kiume, kuna habari njema. Tikiti maji, kutokana na kiwango chake cha juu cha citrulline, limetangazwa kuwa ni ziaidi ya Viagra. KWA MAELEZO ZAIDI BOFYA HAPA.....
Dawa na matibabu sahihi ya vidonda vya tumbo
Tunatambua kwamba tuko katika zama ambazo elimu na maarifa yanazidi kupanuka kila kukicha. Elimu hiyo, na maarifa hayo hasa inapokuwa inahusisha mwili wa binadamu ambao ni moja ya amana kubwa aliyopewa binadamu, maadili, sheria na kanuni lazima zitawale. Vidonda vya tumbo kwa ujumla ni (benign) vidonda ambavyo vinaweza visiwe na madhara kama vitatibiwa vizuri lakini kama vitaachwa bila kutibiwa polepole vinaweza kuwa vidonda vinavyoweza kuleta kifo (malignant). KWA MAELEZO ZAIDI BOFYA HAPA.....
Peptica - inaponyesha kabisa vidonda vya tumbo
Peptica ni dawa ya uhakika sana inayotibu na kuponyesha vidonda vya tumbo vya aina zote. Ni mchanganyiko wa mimea tiba na matunda. Inaondoa gesi tumboni, inatibu shida ya tumbo kuunguruma, inamaliza kabisa shida ya kufunga choo, inatibu tatizo la kiungulia na kichefuchefu, inamliza kabisa maumivu ya tumbo, inatibu kutapika na kujisaidia damu, imesheheni madini, vitamini na virutibisho vyenye nguvu kubwa sana ya kupambana na vidonda vya tumbo. MAELEZO ZAIDI BOFYA HAPA.....
HJN - Dawa bora ya nguvu za kiume
HJN ni dawa bora sana ya kumaliza tatizo la nguvu za kiume. Dawa hii ni mchanganyiko wa miti 21 yenye uwezo mkubwa wa kutibu nguvu za kiume na ni nzuri sana na sana hasa kwa watu waliojichua (masturbation), wenye kisukari, presha, ngiri, vidonda vya tumbo. Ni dawa ambayo inatibu nguvu za kiume kabisa na kumaliza kabisa tatizo la nguvu za kiume, unakuwa kama haukuwahi kuwa na tatizo la nguvu za kiume kabisa maishani mwako. KWA MAELEZO ZAIDI BOFYA HAPA.....
Jitibu upungufu wa nguvu za kiume kwa chakula
Chakula ni tiba ya kila ugonjwa. Kama utatumia chakula vizuri basi unaweza kutibu magonjwa mengi sana. Katika kliniki yetu tunakuletea huduma ya kumaliza kabisa tatizo la upungufu wa nguvu za kiume kwa chakula na dawa za asili kulingana na chanzo na sababu ya tatizo lako. MAELEZO ZAIDI BOFYA HAPA.....
Dawa na matibabu sahihi ya chunusi
Matibabu yetu kutoka ZEPHANIA LIFE HERBAL CLINIC hulenga kuua bakteria wanaosababisha chunusi, kupunguza mafuta na kuzibua matundu ya kutolea mafuta ili mafuta yaweze kupita na kwenda nje ya ngozi. Malengo makuu ya dawa zetu mbili TUMUKSI NO. 1 & 2 ni: Kuua bakteria wanaosababisha chunusi, kupunguza mafuta juu ya ngozi na kuondoa mafuta yaliyoziba matundu ya mafuta, kuondoa uchafu wote na seli zilizokufa na kuziba matundu ya kutokea mafuta kwenye ngozi. KWA MAELEZO ZAIDI BOFYA HAPA.....
Kwa nini uume wako hausimami asubuhi?
Kujifunza zaidi juu ya nini husababisha uume kusimama asubuhi kunaweza kukusaidia kuelewa vizuri kile kinachotokea kwenye mwili wako pale panapokuwa na tatizo. Makala hii inaelezea sababu za uume kusimama asubuhi, na humaanisha nini unapokosa kuona uume wako umesimika asubuhi, na ni wakati gani unapaswa kuwa na wasiwasi? Na pia makala hii inaenda mbali zaidi, inatoa suluhisho la tatizo. Twende pamoja. KWA MAELEZO ZAIDI BOFYA HAPA....
Jinsi ngiri inavyoathiri nguvu za kiume
Henia inaweza kuathiri nguvu za kiume - huathiri utendaji wa mishipa ya neva iliyo kwenye uume/korodani na hali ya homoni. Ukosefu wa homoni ya testosterone inaweza kusababisha upungufu wa nguvu za kiume. Upasuaji wa ngiri pia unaweza kusababisha shida katika korodani kufanya uwezekano wa homoni ya testosterone kuwa chini. Ngiri pia huweza kusababisha upungufu wa nguvu za kiume kutokana na kuharibu mishipa ya neva iliyo kwenye uume. KWA MAELEZO ZAIDI BOFYA HAPA....
Detox - Dawa sahihi ya kuondoa sumu mwilini
Je, unahitaji kuondoa sumu mwilini mwako? Ndiyo. Miili yetu ina uwezo wa kuchuja na kuondoa bidhaa zisizohitajika, lakini sumu nyingi zinapolundikana mwilini zaidi na zaidi, viungo huchoka na hushindwa kabisa kuondoa sumu hiyo mwilini. Dawa yetu ya "DETOX" inaenda kuondoa sumu zote mwilini. MAELEZO ZAIDI BOFYA HAPA....
ONYO: Ni marufuku kunakili makala hizi, hatua kali za kisheria zitachukuliwa. Baadhi ya watu wana tabia ya "kukopi" na "kupesti" masomo haya kisha kutupia kwenye blogu zao na kujifanya wanaweza kutibu matatizo ya nguvu za kiume ilihali hawawezi chochote. Kutibu upungufu wa nguvu za kiume sio rahisi vile watu wanavyofikiri. Inahitaji utaalamu na ubobezi wa hali ya juu sana katika mfumo wa uzazi wa mwanamume. Sio kubugia dawa tu. Nawe mgonjwa kuwa makini sana; epuka kutapiliwa.