0766431675 /0656620725
PRESHA YA KUPANDA
Jinsi presha ya kupanda inavyoathiri nguvu za kiume
Presha ya kupanda au shinikizo la juu damu, kwa Kiingereza High Blood Pressure (au Hypertension), ni pale ambapo msukumo wa mtiririko kupitia mishipa ya damu wakati wote unakuwa juu.
Mara nyingi shinikizo la damu la kupanda au presha ya kupanda kama ambavyo wengi wanatamka, ni ugonjwa ambao unaweza usikuonyeshe dalili zozote kwa nje. Ndiyo maana ugonjwa huu ukapewa jina la bandia, ukaitwa muuaji wa kimya kimya (silent killer).
Kwa nini uliitwa Silent Killer? Kwa sababu hudhuru viungo vingi ndani ya mwili wako kwa kimya kimya bila kukuonyesha dalili zozote kwa nje jambo ambalo litakufanya uendelee kuumia bila ya wewe kutambua. Huua figo kimya kimya, hudhuru moyo na mishipa mbalimbali mwilini kimya kimya; wakati huo wewe utakuwa unadunda tu barabarani na kufanya kazi zako kama kawaaida bila kuhisi shida yoyote.
Imekuwa ikitokezea mara kadhaa watu wakienda hospitali kwa matatizo mengine ya kiafya, wanapopimwa hukutwa na presha ya kupanda. Hata watu ambao wamekuwa wakifika katika kliniki yangu na wengine kunipigia simu ninapofanya mahojiano nao ninapo washauri kupima presha baadhi yao hukutwa na presha na hapo hushangaa na kushtuka sana!
Kupungua nguvu za kiume
Uhusiano wa matatizo ya nguvu za kiume na presha ya kupanda ni mkubwa sana. Kwa nini kuna uhusiano mkubwa? Presha ya kupanda husababisha damu ndogo sana kutiririka ndani ya uume. Uume unatakiwa upokee damu ya kutosha tena yenye kuja kwa nguvu au kasi ili uweze kusimama vizuri na kwa uimara. Presha ya kupanda hudhuru kunyanzi za mishipa ya damu na hivyo kusababisha mishipa hiyo kukakamaa na njia yake ya kupitisha damu kuwa nyembamba zaidi (athererosclerosis). Presha ya kupanda husababisha mishipa ya ateri kushindwa kufunguka vizuri na hata kupelekea kupasuka.
Matatizo mengine ambayo huweza kusababishwa na presha ya kupanda
Mbali na upungufu wa nguvu za kiume, presha ya kupanda huweza kusababisha matatizo mengi ya kiafya.
Mshtuko wa moyo au kiharusi: Kama kuta za mishipa yako ya ateri zitaendelea kuumizwa na shinikizo la juu la damu, basi mishipa hiyo itadhurika, halikadhali ogani mbalimbali ndani ya mwili wako pia zitadhurika, na kupelekea kupata mshtuko wa moyo, au kiharusi, kutokana na kukakamaa kwa kwa mishipa ya ateri.
Kuvimba kwa mishipa ya damu:
Au mishipa yaweza kudhoofika na kuvimba (Aneurysm). Hali hiyo inaweza kusababisha mishipa kupasuka na kupoteza maisha. Kama shinikizo la damu litendelea kuwa juu kwa muda mrefu, misuli ya moyo ambayo hulazimika kusukuma damu katika hali hiyo huvimba, na hatimaye polepole misuli hiyo iliyovimba hushindwa kusukuma damu kwa mahitaji ya mwili (heart failure).
Matatizo ya figo:
Mishipa ya damu ndani ya figo hudhoofika kutokana na pressha ya kupanda, na hivyo figo hushindwa kufanya kazi zake vyema ipasavyo.
Macho kushindwa kuona:
Kutokana na shinikizo la damu la kupanda, mishipa ya damu ya kwenye macho pia hudhoofika na hivyo kusababisha mtu kushindwa kuona.
Tatizo la kuvunjavunja kemikali:
Mwili hushindwa kuvunja vunja kemikali (Metabolic syndrome) na hata kukosa kumbukumbu.

matibabu ya uhakika kutoka zephania life herbal clinic
Wakati ambapo dawa za hospitali haziitibu presha ya kupanda, dawa asilia zinafanya maajabu makubwa sana. Tunazo dawa ambazo zinatibu presha ya kupanda na kuisha kabisa. Tunazo dawa za presha ya kupanda (shinikizo la juu la damu), tunaitibu presha ya kupanda na kuisha kabisa, dalili za presha ya kupanda pia huisha kabisa. Kwa ujumla tunatibu kabisa hadi tatizo linaisha kabisa. Dawa zetu zinaangazia kwenye sababu za presha ya kupanda. Pia, tunakupa ushauri mpana juu ya namna na jinsi ya kuzuia presha ya kupanda. Dawa nyingi za kemikali zimefeli kabisa katika kumaliza tatizo la presha ya kupanda. Tiba asili ya presha ya kupanda, ndiyo tiba ambayo huweza kumaliza tatizo kabisa kwa usahihi. Dawa zetu zinakwenda moja kwa moja katika vyanzo na sababu iliyopelekea presha kupanda.
Dawa ya presha ya kupanda:
HEART COMPLEX NATURAL
Heart Complex Natural ni dawa ya uhakika sana inayotibu presha ya kupanda na tatizo kuisha kabisa. Dawa hii ni ya sili na ina mchanganyiko wa mimea tiba 17. Ni dawa ambayo haina madhara yoyote kwa mtumiaji. Hata mama mjamzito anatumia bila shida yoyote ile. Dozi ni chupa 5 hadi 10. Tunatuma dawa mahala popote mtu alipo. Wasiliana nasi kwa namba za simu: 0766431675/0656620725
USIENDELEE KABISA NA SHIDA YA PRESHA YA KUPANDA, PATA DAWA YA UHAKIKA YA KUTIBU KABISA NA KUPONYESHA PRESHA YA KUPANDA.
USIENDELEE KABISA NA SHIDA YA PRESHA YA KUPANDA, PATA DAWA YA UHAKIKA YA KUTIBU KABISA NA KUPONYESHA PRESHA YA KUPANDA.
TUNATUMA DAWA MAHALA POPOTE ULIPO
Tunatuma dawa mahala popote mtu alipo ndani na nje ya nchi. Kwa watu walio ndani ya nchi, mzigo huchukua siku 3-5 hadi kukufikia. Na kwa watu walio nje ya nchi mzigo huchukua siku 5-7 ambapo mizigo yote tunatuma kwa DHL; tunavyo vibari vya kusafirisha.
VIDEO| jinsi KUJICHUA kunavyoua nguvu za kiume kabisa
BAADHI YA MAGONJWA NA TABIA ZINAZOATHIRI VIUNGO NA VITU MABALIMBALI MWILINI VINAVYOHUSIKA NA NGUVU ZA KIUME
Kuna tabia na magonjwa mbalimbali zaidi ya 200
ambayo hudhuru viungo na vitu mbalimbali ndani ya mwili vinavyohusika na
nguvu za kiume. Hapa tumekuwekea baadhi ya magonjwa na tabia. Bofya kwenye
maneno "Soma hapa zaidi," uweze kufahamu ni kwa namna gani
ugonjwa husika husababisha kupungua nguvu za kiume.

KUJICHUA
Kujichua ni tendo linaloua kabisa nguvu za kiume; huvuruga homoni, mishipa ya neva, tezi n.k. SOMA ZAIDI |
KITAMBI
Kitambi kina madhara mengi kiafya ikiwa ni pamoja na kubadilisha homoni ya kiume kuwa ya kike na hivyo kupunguza nguvu za kiume. SOMA ZAIDI |
KISUKARI
Kisukari hudhuru mishipa ya damu, mishipa ya neva, homoni, figo n.k, na hivyo kupunguza nguvu za kiume. SOMA ZAIDI |
mishipa ya neva
Ugonjwa unaodhuru mishipa ya neva kama vile Parkinson’s disease, kifafa n.k, hupunguza nguvu za kiume. SOMA ZAIDI |
kufunga choo
Kusukuma choo kwa nguvu muda mrefu hudhuru misuli iitwayo “Pelvic Floor Muscles” na hivyo kupunguza nguvu za kiume. SOMA ZAIDI |
matatizo ya ini
Matatizo ya ini husababisha kupungua nguvu za kiume kwa sababu hudhuru utendaji wa baadhi ya homoni mwilini. SOMA ZAIDI |
ngiri
Ngiri hudhuru mishipa ya neva iliyo kwenye uume na homoni ya testestoron na hivyo kupunguza nguvu za kiume. SOMA ZAIDI |
presha ya kupanda
Presha ya kupanda hudhuru mzunguko wa damu, homoni, mishipa ya neva na hivyo kufanya nguvu za kiume kupungua. SOMA ZAIDI |
uvutaji sigara
Uvutaji wa sigara hudhuru mishipa ya damu ya ateri na hivyo kusababibisha nguvu za kiume kupungua. SOMA ZAIDI |
baiskeli
Uendeshaji wa basikeli muda mrefu hudhuru mishipa ya neva kwenye korodani na hivyo kupunuguza nguvu za kiume. SOMA ZAIDI |
upasuaji
|
pombe
Pombe huleta mabadiliko makubwa kwa kuvuruga utendaji wa vitu vingi mwilini na hivyo kupunuguza nguvu za kiume. SOMA ZAIDI |
kuchelewa kulala
Usingizi huchaji upya akili na mwili. Kukosekana kwake hudhoofisha mwili na hivyo kupunguza nguvu za kiume. SOMA ZAIDI |
msongo wa mawazo
Msongo wa mawazo ni hatari kwa afya yako. Hupandisha baadhi ya kemikali na kusababisha nguvu za kiume kupungua. SOMA ZAIDI |
compyuta
Kutumia komputa muda mrefu hupunguza nguvu za kiume kutokana na mionzi, pia kuweka laptop kwenye miguu ni hatari. SOMA ZAIDI |
vidonda vya tumbo
Vidonda vya tumbo hupunguza nguvu za kiume kwa kudhuru viungo na vitu vinavyohusika na nguvu: vilivyo karibu yake. SOMA ZAIDI |
mionzi ya simu
Matumizi mabaya ya simu huingiza mionzi mingi mwilini na hivyo kupunguza nguvu za kiume na kudhuru afya zetu. SOMA ZAIDI |
ukosefu wa mazoeziKutofanya mazoezi ni hatari sana kwa afya yako. Mifumo mingi mwilini hudhurika na hivyo nguvu za kiume kupungua. SOMA ZAIDI |
maumivu ya kiuno
Uti wa mgongo hasa eneo la kiuno ndiyo kituo kikuu. Shida yoyote kwenye eneo hilo hupunguza nguvu za kiume. SOMA ZAIDI |
magonjwa ya figo
Figo zina mchango muhimu sana katika nguvu za kiume. Shida yoyote katika figo husababisha nguvu za kiume kupungua. SOMA ZAIDI |
matatizo ya homoni
Matatizo ya kihomoni ndani ya mwili ni sababu kubwa kwa wanaume wengi kupungukiwa nguvu za kiume. SOMA ZAIDI |
MAKALA MAALUMU
|
dawa zetu ni za
Asili
Dawa zetu zinatokana na mimea tiba na matunda kutokana na miti ambayo imethibitika kisayansi kuwa ina uwezo wa mkubwa wa kutibu matatizo mbalimbali ya kiafya ikiwa ni pamoja na matatizo ya nguvu za kiume kwa uhakika mkubwa.
|
kuThibitishwa kwa
Mkemia
Kwa kuwa tumejikita katika kuhudumia wagonjwa kwa matibabu ya uhakika; baadhi ya dawa zetu nyingi zimepimwa na kuthibitishwa na Mkemia Mkuu wa Serikali kuwa ni nzuri hazina madhara yoyote. Na zingine ziko kwenye mchakato.
|
matibabu yetu ni
Uhakika
Matibabu yetu ni ya uhakika, si ya kubahatisha. Tunatibu hadi mgonjwa apone kabisa. Tunatibu kuanzia chanzo cha tatizo. Tunamtibu mgonjwa mahala popote alipo ndani na nje ya nchi. Usipopona unarudishiwa nusu ya gharama au yote.
|
BAADHI YA DAWA ZETU
Zifuatazo ni baadhi ya dawa zetu zinazotibu nguvu za kiume kwa uhakika mkubwa sana
BODY COMPLEX
Inarekebisha mifumo ya mwili, na kutibu magonjwa mengi.
|
BALIJAAM
Inatibu uregevu wa uume na kufika haraka kileleni.
|
EXPORERE
Inaimarisha stamina ya mwili na kukufanya urudie zaidi.
|
magonjwa mengine tunayotibu kwa uhakika mkubwa
Dr. Khamisi Ibrahim Zephania ni daktari bingwa aliyebobea
katika kutibu matatizo ya nguvu za kiume na magonjwa sugu. Anatibu
hadi tatizo lako liishe kabisa. Ni matibabu
ya uhakika wala si ya kubahatisha.
SIMU:
+255 766 431 675
+255 656 620 725
WHATSAPP:
+255 766 431 675
EMAIL: [email protected]

ONYO: Ni marufuku kunakili makala hizi, hatua kali za kisheria zitachukuliwa. Baadhi ya watu wana tabia ya "kukopi" na "kupesti" masomo haya kisha kutupia kwenye blogu zao na kujifanya wanaweza kutibu matatizo ya nguvu za kiume ilihali hawawezi chochote. Kutibu upungufu wa nguvu za kiume sio rahisi vile watu wanavyofikiri. Inahitaji utaalamu na ubobezi wa hali ya juu sana katika mfumo wa uzazi wa mwanamume. Sio kubugia dawa tu. Nawe mgonjwa kuwa makini sana; epuka kutapiliwa.