Tabia Na Magonjwa Yanayosababisha Upungufu Wa Nguvu Za Kiume
Kuna magonjwa mengi na tabia nyingi sana zinazosababisha upungufu wa nguvu za kiume. Ndani ya mwili kuna vitu zaidi 100 vinavyoshughulika na nguvu za kiume. Na kuna maradhi na tabia zaidi ya 300 zinaweza kudhuru vitu vinabyohusika na nguvu za kiume.
Nguvu za kiume ni mchakato mpana unaohusisha ubongo, homoni, hisia, neva, misuli na mishipa ya damu, n.k. Upungufu wa nguvu za kiume unaweza kutokea kutokana na tatizo lolote kati ya haya. Vivyo hivyo, mafadhaiko na wasiwasi wa afya ya akili unaweza kusababisha au kuzidisha shida ya nguvu za kiume.
Wakati mwingine mchanganyiko wa masuala ya kimwili na kisaikolojia husababisha upungufu wa nguvu za kiume. Kwa mfano, hali ndogo ya kimwili ambayo inapunguza mwitikio wako wa mapenzi inaweza kusababisha wasiwasi kuhusu kusimika uume.