Kliniki Maalumu ya Nguvu za Kiume
TAMBUA JINSI NGUVU ZA KIUME ZINAVYOTIBIWA KITAALAMU
MFUMO WA MATIBABU WA DAWA ZETU NAMNA ZINAVYOFANYA KAZI
Tunazo dawa aina nyingi sana kulingana na tatizo la mtu, utapewa dawa kulingana na tatizo lako. Dawa zetu ni za asili. Dawa za asili maana yake ni kwamba zinaoana na asili ya mwili, na si dawa za kemikali (ambazo mara nyingi zinapatikana hospitali). Dawa zetu zinatibu nguvu za kiume kwa usahihi kabisa:

- Zinatibu na kuondoa kabisa tatizo la hamu ya mapenzi. Kama wewe una tatizo la hamu ya mapenzi basi hapa ndipo pahala pake.
- Zinatibu tatizo la uume kusimama kwa uregevu. Inasimamisha uume kwa uimara sana, uume unakuwa kama msumari na haulegei wakati wa tendo mpaka wakati wa kumaliza tendo la ndoa.
- Zinatibu tatizo la uwahi kufika kileleni ambalo ndilo tatizo la wanaume wengi hasa vijana waliofanya masturbation (kujichua). Ina uwezo wa kuchelewesha kufika kileleni kiasi cha dakika 45 hadi 60.
- Zina uwezo wa kukufanya kurudia mzunguko wa pili ndani ya muda mfupi sana hata kama wewe ni mzee wa miaka 70. Na kwa kijana inafanya vizuri zaidi.
- Dawa hizi zitakufanya usichoke sana pale utakapomaliza kufanya tendo la ndoa.
ZEPHANIA LIFE HERBAL CLINIC
Wasiliana nasi kwa SIMU:
+255 766 431 675
+255 656 620 725
NI KOSA KUBWA KUKURUPUKA KUBUGIA DAWA ZA NGUVU ZA KIUME!
Kosa moja kubwa wanalofanya wanaume wengi (takribani asilimia 90% ya wanaume) ni kukurupuka kubugia dawa za nguvu za kiume mambo yanapoanza kwenda kombo kitandani bila kujua je dawa hiyo anayotumia ni dawa sahihi inayokwenda kutibu chanzo cha tatizo lake?
Mwanaume huyu awe kijana au mtu mzima anapoona tu amepungukiwa nguvu za kiume anaanza kupita mitaani au mitandaoni kutafuta dawa za nguvu za kiume. Hapo akiambiwa dawa hii inatibu nguvu za kiume na kupona kabisa ataingia mfukoni na kununua dawa. Matokeo yake kupona ni shida sana kwa sababu yawezekana kupungua kwake nguvu za kiume kumetokana na shida ya kutanuka kwa tezidume na kupungua kwa homoni ya testosterone, yeye kapewa dawa ya kusukuma damu kwenye mishipa ya uume tatizo ambalo hana kabisa. Utaona wauza dawa hawajui wanatibu nini na mgonjwa hajui chochote anachotakiwa kirekebishwe mwilini. Kwa hiyo wote wawili wamekutana vipofu kwa vipofu wanaongozana matokeo yake ni kudumbukia kwenye shimo.
Usikurupuke kubugia dawa yoyote ya nguvu za kiume. Ni kosa kubwa sana. Kwanza tambua KUPUNGUA NGUVU ZA KIUME NI NINI? Ndugu mtazamaji tunaposema mwanaume huyu amepungukiwa nguvu za kiume tuna maanisha nini? Ndani ya mwili wa mwanaume kuna vitu zaidi ya 100 vinavyoshughulika na nguvu za kiume. Baadhi ya vitu vinapoleta shida na hivyo kupelekea kushindwa kufanya kazi zake vizuri, hapo nguvu za kiume hupungua. Wewe mwanaume unapopata tatizo la upungufu wa nguvu za kiume tambua hayo ni matokeo ya baadhi ya vitu vilivyo ndani ya mwili wako kushindwa kufanya kazi zake vizuri. Usikurupuke kabisa kubugia dawa. Yaani unaweza kumaliza hata miaka 100 na usiweze kutibu tatizo la nguvu za kiume kabisa abadani!!
Naam!! Kama nilivyoeleza ndani ya mwili wa mwanaume kuna vitu zaidi ya 100 vinavyoshughulika na nguvu za kiume. Hapa nitataja baadhi ya vitu vichache sana ili wewe mgonjwa pia uweze kuwa ni daktari wa afya yako, walau upate idea ndogo:
Sasa daktari anapotaka kukutibu nguvu za kiume sharti awe na utaalamu wa mambo yafuatayo:

- Homoni ya testosterone - kuchochea hamu ya mapenzi na msisimko.
- Homoni ya serotonin - kuzuia kufika kileleni haraka
- Homoni ya dopamine - kuleta raha zaidi
- Homoni ya acytcloclin - kuchochea mzunguko wa damu kwenye uume
- Sensory Neurons - kupeleka hisia
- Motor neurons - kupelekea taarifa kwenye uti wa mgongo
- Moyo - kusukuma damu
- Mishipa ya ateri - kusafirisha damu kwenye uume
- Mishipa ya nevya ya parasympathetic - kusimamamisha uume na kufunga milango ya shahawa
- Kofia mbili za kwenye figo (adrenalin glands) kuzuia usichoke haraka
- Tezidume - kuzuia usifike haraka kileleni
- Kemikali ya Nitric Oxide inayokaa kwenye kuta za damu - kuleta msisimko wa mapenzi.
Sasa daktari anapotaka kukutibu nguvu za kiume sharti awe na utaalamu wa mambo yafuatayo:
- Ajue ni kiungo gani au ni kitu gani kimeleta shida mwilini.
- Ajue dawa sahihi ya kutibu kiungo au kitu hicho kilicholeta shida mwilini
- Ajue dozi sahihi ya kumpa mgonjwa.
- Awe na faili la mgonjwa afuatilie maendeleo ya mgonjwa kila baada ya muda fulani.
- Ajue ni vyakula gani sahihi vya kumshauri mgonjwa kulingana na sababu ya tatizo lake.
ZEPHANIA LIFE HERBAL CLINIC
Kwa ushauri na matibabu wasiliana nasi kwa SIMU:
+255 766 431 675 /+255 656 620 725
JINSI TUNAVYOKUTIBU TATIZO LA NGUVU ZA KIUME KWA OFA YA KIPEKEE KABISA.
Tunakutibu tatizo la nguvu za kiume kwa uhakika mkubwa sana. Mfumo wetu wa matibabu ni tofauti kabisa na wengine. Ni mfumo wa kipekee kabisa. Sisi hatuuzi dawa, tunafanya matibabu. Tunamtibu mgonjwa mpaka apone kabisa. Kwanza lazima tujue chanzo cha tatizo yaani tufahamu kitu kilicholeta shida mwilini. Kama shida iko kwenye tezidume au homoni fulani au misuli fulani. Tutafahamu vipi hili?
USHAURI WA VYAKULA
Tutampa mgonjwa ushauri wa vyakula kulingana na tatizo lake kulingana na vile tulivyofanya mahojiano. Kwa nini lazima tumshauri mgonjwa vyakula kulingana na tatizo lake? Sababu kuu ni kwamba...... Kama mgonjwa hatopewa ushauri sahihi wa vyakula na mtindo sahihi wa maisha itakuwa ngumu sana kumtibu nguvu za kiume. Mlo sahihi ni msaada mkubwa katika kutibu tatizo la nguvu za kiume.
KUFUATILIA MAENDELEO YA MGONJWA
Utararibu wetu ni kwamba kila wiki tunaangalia maendeleo ya mgonjwa ili kama anaendelea vibaya basi tumshauri zaidi na kubadilisha dawa kama kuna uhitaji huo.

JINSI DAWA ZETU ZINAVYOTIBU TATIZO LA KUKOSA HAMU YA MAPENZI.
Kupungua kwa homoni ya testestorone, utumiaji wa madawa ya hospitali kwa muda mrefu kwa asilimia kubwa ndiyo chanzo cha wanaume wengi kupungikiwa na hamu ya mapenzi.
Testosterone ni homoni ya mapenzi ambayo ina mchango mkubwa katika kazi nyingi mwilini. Kwa wanaume homoni hii ndiyo inayoamsha hisia za mapenzi (libido), na pia hufanya kazi zingine za mwili ikiwa ni pamoja na kujenga mifupa, kutawanya mafuta mwilini, kujenga misuli na nguvu, na uzalishaji chembe hai nyekundu za damu na shahawa (mbegu za uzazi)
Kuna tabia na magonjwa mengi sana ambayo huweza kusababisha upungufu wa homoni ya testestoroni na hivyo kusababisha upungufu wa hamu ya mapenzi.

- Tunazo dawa ambazo zitakupatia vitamini muhimu sana ambayo huweza kuongeza mtiririko wa damu kwenda kwenye uume na kukufanya uwe na afya nzuri ya tendo la ndoa.
- Tunazo dawa ambazo husaidia uzalishaji wa kemikali ya phenethylamine na serotonin ndani ya mwili wako, na kusababisha mwili kuwa na hisia za kimapenzi.
- Dawa zetu zinazotibu tatizo la kukosa hamu ya mapenzi zimesheheni madini ya chuma, vitamin c, vitamin E ambayo ni muhimu sana kwa afya ya tendo la ndoa, vitamin B6 na madini ya kopa, fatty acids vitu ambavyo huufanya mwili kuwa na uwezo wa kuleta hisia za mapenzi.
JINSI DAWA ZETU ZINAVYOTIBU TATIZO LA NGUVU ZA KIUME NA KUISHA KABISA
Dawa zetu zinaenda kwenye chanzo cha tatizo la mgonjwa. Dawa hizi zinatibu tatizo la uume kusimama kwa uregevu. Usimamaji barabara wa uume unahitahitaji utendaji mzuri wa mishipa ya vena, mishipa ya ateri, misuli laini, moyo, mishipa ya neva, impulses katika ubongo, uti wa mgongo, mirija miwili iliyo ndani ya uume iitwayo corpora carvenosa. Vitu hivi vinaweza kudhurika kutokana na maradhi na tabia mbalimbali, na hivyo uume hushindwa kusimika barabara. Lazima kwanza tatizo la mgonjwa lichunguzwe kwa umakini sana ijulikane shida iko wapi ili kujua ni aina gani ya dawa anazostahiki kupewa. Tunazo dawa aina nyingi zinazotibu tatizo la kupungukiwa kwa nguvu za kiume.
- Tunazo dawa zenye viambato ambavyo huifanya misuli laini ya mwili kutanuka, na hivyo kusaidia uume kusimama kwa uimara. Na hutanua mishipa ya damu. Kusimama kwa uume ni matokeo ya kutanuka kwa misuli laini (smooth muscles), kutanuka kwa mishipa ya ateri na mishipa ya vena kuzuia damu kutoka. Kama misuli yako laini ina shida, na mishipa ya ateri na mishipa ya vena huwezi kusimamisha uume, na uume ukisimama unawahi kuregea. Dawa hizi pia hutumika kutibu matatizo ya moyo, shida za kumbukumbu, presha ya kupanda, mapigo ya moyo kwenda haraka au bila mpangilio. Je, ni dalili ipi utajua misuli yako laini ina shida? Tunao utaalamu wa kujua kama misuli yako ni laini, mishipa yako ya ateri ina shida.
- Tunazo dawa ambazo huboresha mfumo wa uzalishaji homoni na kuinua utendaji wa hypothalumus na mfumo wa hisia zetu na tabia katika ubongo (limbic system) na izna msaada mkubwa katika kuzalisha homoni zinazohusika na uzazi wa mwanaume na nguvu. hypothalamus, ambayo imekaa kwenye ubongo, hutema homoni. Kama tutagundua kuwa kiwango cha cha homoni ya testosteroni kimekuwa chini kutokana na matatizo ya korodoni, au tatizo la hypothalamus au pituitary basi tunazo dawa za kukufaa sana ambazo ni za asili.
- Tunazo zenye mmea uitwao Cinnamomum cassia ambao kazi yake ni kutanua tishu za spongji (Corpora Carvenosa) zilizo ndani ya uume ili damu iingie na uume usimame barabara. Kama tishu hizi hazitanuki vizuri huwezi kusimamisha uume barabara kwa sababu damu ya kutosha aiingii vizuri ipasavyo.
- Tunazo dawa zenye msaada mkubwa sana katika kutibu tatizo la nguvu za kiume kutokana na watu waliopungua nguvu za kiume kutokana na msongo wa mawazo.
KWA USHAURI NA MATIBABU
WASILIANA NASI KWA SIMU
+255 766 431 675/+255 656 620 725
TUNATUMA DAWA MAHALA POPOTE ULIPO
Tunatuma dawa mahala popote mtu alipo ndani na nje ya nchi. Kwa watu walio ndani ya nchi, mzigo huchukua siku 3-5 hadi kukufikia. Na kwa watu walio nje ya nchi mzigo huchukua siku 5-7 ambapo mizigo yote tunatuma kwa DHL; tunavyo vibari vya kusafirisha.
VIDEO| jinsi KUJICHUA kunavyoua nguvu za kiume kabisa
BAADHI YA MAGONJWA NA TABIA ZINAZOATHIRI VIUNGO NA VITU MABALIMBALI MWILINI VINAVYOHUSIKA NA NGUVU ZA KIUME
Kuna tabia na magonjwa mbalimbali zaidi ya 200
ambayo hudhuru viungo na vitu mbalimbali ndani ya mwili vinavyohusika na
nguvu za kiume. Hapa tumekuwekea baadhi ya magonjwa na tabia. Bofya kwenye
maneno "Soma hapa zaidi," uweze kufahamu ni kwa namna gani
ugonjwa husika husababisha kupungua nguvu za kiume.

KUJICHUA
Kujichua ni tendo linaloua kabisa nguvu za kiume; huvuruga homoni, mishipa ya neva, tezi n.k. SOMA ZAIDI |
KITAMBI
Kitambi kina madhara mengi kiafya ikiwa ni pamoja na kubadilisha homoni ya kiume kuwa ya kike na hivyo kupunguza nguvu za kiume. SOMA ZAIDI |
KISUKARI
Kisukari hudhuru mishipa ya damu, mishipa ya neva, homoni, figo n.k, na hivyo kupunguza nguvu za kiume. SOMA ZAIDI |
mishipa ya neva
Ugonjwa unaodhuru mishipa ya neva kama vile Parkinson’s disease, kifafa n.k, hupunguza nguvu za kiume. SOMA ZAIDI |
kufunga choo
Kusukuma choo kwa nguvu muda mrefu hudhuru misuli iitwayo “Pelvic Floor Muscles” na hivyo kupunguza nguvu za kiume. SOMA ZAIDI |
matatizo ya ini
Matatizo ya ini husababisha kupungua nguvu za kiume kwa sababu hudhuru utendaji wa baadhi ya homoni mwilini. SOMA ZAIDI |
ngiri
Ngiri hudhuru mishipa ya neva iliyo kwenye uume na homoni ya testestoron na hivyo kupunguza nguvu za kiume. SOMA ZAIDI |
presha ya kupanda
Presha ya kupanda hudhuru mzunguko wa damu, homoni, mishipa ya neva na hivyo kufanya nguvu za kiume kupungua. SOMA ZAIDI |
uvutaji sigara
Uvutaji wa sigara hudhuru mishipa ya damu ya ateri na hivyo kusababibisha nguvu za kiume kupungua. SOMA ZAIDI |
baiskeli
Uendeshaji wa basikeli muda mrefu hudhuru mishipa ya neva kwenye korodani na hivyo kupunuguza nguvu za kiume. SOMA ZAIDI |
upasuaji
|
pombe
Pombe huleta mabadiliko makubwa kwa kuvuruga utendaji wa vitu vingi mwilini na hivyo kupunuguza nguvu za kiume. SOMA ZAIDI |
viagra
Watu wengi hukurupuka kutumia Viagara na jamii ya Viagara, si tiba kabisa na huchangia sana kuua nguvu za kiume. SOMA ZAIDI |
tezidume
Kuvimba kwa tezidume au saratani hudhuru utendaji wa tezi hiyo muhimu na hivyo kupunguza nguvu za kiume. SOMA ZAIDI |
ULAJI MBAYA
Ulaji mbaya hudhuru na kuharibu utendaji wa mifumo ya mwili, na hivyo kupelekea maradhi mengi na upungufu wa nguvu za kiume. SOMA ZAIDI |
kuchelewa kulala
Usingizi huchaji upya akili na mwili. Kukosekana kwake hudhoofisha mwili na hivyo kupunguza nguvu za kiume. SOMA ZAIDI |
msongo wa mawazo
Msongo wa mawazo ni hatari kwa afya yako. Hupandisha baadhi ya kemikali na kusababisha nguvu za kiume kupungua. SOMA ZAIDI |
compyuta
Kutumia komputa muda mrefu hupunguza nguvu za kiume kutokana na mionzi, pia kuweka laptop kwenye miguu ni hatari. SOMA ZAIDI |
vidonda vya tumbo
Vidonda vya tumbo hupunguza nguvu za kiume kwa kudhuru viungo na vitu vinavyohusika na nguvu: vilivyo karibu yake. SOMA ZAIDI |
mionzi ya simu
Matumizi mabaya ya simu huingiza mionzi mingi mwilini na hivyo kupunguza nguvu za kiume na kudhuru afya zetu. SOMA ZAIDI |
ukosefu wa mazoeziKutofanya mazoezi ni hatari sana kwa afya yako. Mifumo mingi mwilini hudhurika na hivyo nguvu za kiume kupungua. SOMA ZAIDI |
maumivu ya kiuno
Uti wa mgongo hasa eneo la kiuno ndiyo kituo kikuu. Shida yoyote kwenye eneo hilo hupunguza nguvu za kiume. SOMA ZAIDI |
magonjwa ya figo
Figo zina mchango muhimu sana katika nguvu za kiume. Shida yoyote katika figo husababisha nguvu za kiume kupungua. SOMA ZAIDI |
matatizo ya homoni
Matatizo ya kihomoni ndani ya mwili ni sababu kubwa kwa wanaume wengi kupungukiwa nguvu za kiume. SOMA ZAIDI |
MAKALA MAALUMU
|
dawa zetu ni za
Asili
Dawa zetu zinatokana na mimea tiba na matunda kutokana na miti ambayo imethibitika kisayansi kuwa ina uwezo wa mkubwa wa kutibu matatizo mbalimbali ya kiafya ikiwa ni pamoja na matatizo ya nguvu za kiume kwa uhakika mkubwa.
|
kuThibitishwa kwa
Mkemia
Kwa kuwa tumejikita katika kuhudumia wagonjwa kwa matibabu ya uhakika; baadhi ya dawa zetu nyingi zimepimwa na kuthibitishwa na Mkemia Mkuu wa Serikali kuwa ni nzuri hazina madhara yoyote. Na zingine ziko kwenye mchakato.
|
matibabu yetu ni
Uhakika
Matibabu yetu ni ya uhakika, si ya kubahatisha. Tunatibu hadi mgonjwa apone kabisa. Tunatibu kuanzia chanzo cha tatizo. Tunamtibu mgonjwa mahala popote alipo ndani na nje ya nchi. Usipopona unarudishiwa nusu ya gharama au yote.
|
BAADHI YA DAWA ZETU
Zifuatazo ni baadhi ya dawa zetu zinazotibu nguvu za kiume kwa uhakika mkubwa sana
BODY COMPLEX
Inarekebisha mifumo ya mwili, na kutibu magonjwa mengi.
|
BALIJAAM
Inatibu uregevu wa uume na kufika haraka kileleni.
|
EXPORERE
Inaimarisha stamina ya mwili na kukufanya urudie zaidi.
|
MATIBABU YA KISUKARI
PATA MATIBABU YA KISUKARI YA UHAKIKA. UNAPATA DOZI KAMILI NA UNATIBIWA HADI KUPONA KABISA!
ONYO: Ni marufuku kunakili makala hizi, hatua kali za kisheria zitachukuliwa. Baadhi ya watu wana tabia ya "kukopi" na "kupesti" masomo haya kisha kutupia kwenye blogu zao na kujifanya wanaweza kutibu matatizo ya nguvu za kiume ilihali hawawezi chochote. Kutibu upungufu wa nguvu za kiume sio rahisi vile watu wanavyofikiri. Inahitaji utaalamu na ubobezi wa hali ya juu sana katika mfumo wa uzazi wa mwanamume. Sio kubugia dawa tu. Nawe mgonjwa kuwa makini sana; epuka kutapeliwa. Dr. Khamisi khamisi Ibrahim Zephania ni daktari bingwa aliyebobea katika kutibu upungufu wa nguvu za kiume. Unatibiwa hadi tatizo lako kuisha kabisa. Ni matibabu ya uhakika wala si ya kubahatisha.