ZEPHANIA LIFE HERBAL CLINIC
  • Home
    • Home - Eng
  • About
  • Service
  • Contact
  • Kipanda Uso, Sababu, Dalili Na Matibabu Sahihi
  • Hatari Za Kiafya Za Uzito Mkubwa Na Tiba Yake
  • Dawa ya Asili ya Bawasiri
  • ujuh
  • Pumu (Asthima): Sababu, Dalili, na Tiba Asili Iliyothibitishwa Kisayansi
  • BAWESI: Natural Hemorrhoid Remedy for Internal & External Healing

kLINIKI MAALUMU YA NGUVU ZA KIUME

VIDEO| jinsi KUJICHUA kunavyoua nguvu za kiume kabisa

JINSI TIKITI MAJI LINAVYOTIBU NGUVU ZA KIUME. NI ZAIDI YA VIAGRA!!

tikiti maji zaidi ya viagra
Tunakupatia ushauri wa kitaalamu namna ya kutumia tikiti maji kutibu upungufu wa nguvu za kiume kulingana na tatizo lako.

Hivi sasa katika zama hizi watu wanaishi maisha marefu lakini wagonjwa zaidi. Tunaishi miaka michache ya afya. Ikilinganishwa na miaka iliyopita, watu waliishi maisha yenye afya zaidi kuliko maradhi. Ni kama hatua moja mbele, hatua mbili nyuma.

Dawa mbadala na vyakula vya asili na virutubisho ni vitu vilivyowavutia watu wengi sana kiasi ambacho sasa huwafanwa watu wengi kuhama kutoka kwenye dawa za kemikali au bandia na kutumia vitu asili kwa ajili ya matatizo ya kiafya.

Kwa wanaume walio na tatizo la kukosa nguvu za kiume, kuna habari njema. Tikiti maji, kutokana na kiwango chake cha juu cha citrulline, limetangazwa kuwa ni Viagra asilia katika tafiti nyingi.

Kila sehemu ya mwili inahitaji damu ya kutosha ili kufanya kazi vizuri. Cholesterol inaweza kuziba mishipa katika viungo vyetu vya ndani na nje, na kusababisha aneurisms, mashambulizi ya moyo, kiharusi, kushindwa kwa figo, kuzorota kwa uti wa mgongo na kutofanya kazi vizuri kwa tendo la ndoa.
 
Kimsingi, asidi ya amino, citrulline, hufanya kazi sana kama Viagra na kupanua mishipa ya damu, na kukidhi hitaji la uume kusimama barabara. Kwa kweli, baada ya kuliwa, citrulline kwenye tikiti maji hubadilika kuwa asidi ya amino, arginine, ambayo ni kitangulizi cha oksidi ya nitriki (NO). Oksidi ya Nitriki hupanua mishipa ya damu na kuongeza mtiririko wa damu kwenye uume, hivyo kusaidia katika uume kusimika vyema.

Baadhi ya tafiti zilizofanywa kwa wanaume wenye matatizo makubwa ya nguvu za kiume ili kuona athari za tikiti maji, zilionyesha matokeo mazuri. Ilibainika kuwa wanaume waliopewa virutubishi vya tikiti maji au citrulline walionyesha uboreshaji zaidi katika kusimama kwao kwa uume.

Jambo moja zuri kuhusu tikiti maji ni kwamba tunda hilo kwa kiasi kikubwa ni salama na halina madhara makubwa. Mtu yeyote aliye tayari kuangalia athari zake kama Viagra anaweza kula tunda au juisi yake kwa usalama bila wasiwasi wowote wa kupata athari mbaya.

Wasiliana nasi katika kliniki yetu kukujulisha namna ya kutumia tikiti maji kulingana na changamoto inayokukabili ya nguvu za kiume.

+255 766 431 675/+255 656 620 725

Utafiti mwingine ulifanyika kwa panya walioathirika na kukosa nguvu za kiume kutokana na mtiririko mdogo wa damu kwenda kwenye uume (arteriogenic erectile dysfunction). Pia ilionyesha kuwa virutubisho vya maji ya citrulline vilisaidia panya hao kuboresha usimamo wa uume zao zaidi ya wale hawakupewa virutubisho vya maji ya citrulline.

Matokeo ya utafiti pia yalibainisha kuwa panya hao hawakuwa na madhara yoyote, ikiwa ni pamoja na kuongezeka kwa uzito. Hii ilisaidia watafiti kuhitimisha kuwa citrulline ina uwezo wa kuboresha mtiririko wa damu, kwa hivyo kuboresha kwa ufanisi wa upungufu wa nguvu za kiume kutokana na mtiririko dhaifu wa damu kwenda kwenye uume.

Ni muhimu kuelewa kwamba tikiti maji inaweza kuwa tiba ya uwezekano kama Viagra. Pia, huenda isionyeshe matokeo yoyote muhimu au kuongeza msukumo wa ngono kwa wanaume ambao walishindwa kunufaika na Viagra au kwa wale walio na ugonjwa sugu au wanaokabiliwa na matatizo makubwa ya upungufu wa nguvu za kiume.

Zaidi ya hayo, kiasi cha tikiti maji kinachohitajika kuwa na athari kama ya Viagra kwenye upungufu wa nguvu za kiume bado hakijajulikana.
 
Kwa kuwa tikiti maji halina madhara makubwa, wanaume ambao wanatafuta njia mbadala za asili za Viagra wanaweza kulichagua kama tiba ya masuala ya kusimamisha uume na kufikia afya bora ya tendo la ndoa. Walakini, ni bora kupata ushauri sahihi, namna ya kutumia tikiti maji kwa ajili ya kusimama barabara kwa uume, siyo kujilia tu. Unaweza usipate tija yoyote. Na sio kwamba wagonjwa wote wenye changamoto ya nguvu za kiume watanufaika na tikiti maji. Pata ushauri kwanza katika kliniki yetu.
Picture

ZEPHANIA LIFE HERBAL CLINIC
Tunatoa ushauri sahihi wa namna ya kutumia tikiti maji kulingana na tatizo lako. Wasiliana nasi kwa simu: 0766431675/0656620725.

matibabu ya uhakika kutoka zephania life herbal clinic

Utaratibu wetu ni kwamba hatumtibu mgonjwa mpaka tufanye mahojiano naye kwa kina juu ya historia ya afya yake kwa ujumla. Kama yuko nje ya Mwanza, tutahojiana naye kwa simu, kama yuko Mwanza basi anaweza kuja moja kwa moja kwenye kliniki yetu. Kama yuko nje ya nchi, tutahojiana naye kwa njia ya email/au WhatsApp.

Kupitia mahojiano hayo ndiyo tunaweza kufahamu chanzo cha tatizo lake, na pia tunaweza kumshauri kufanya vipimo kama tutaona kuna umuhimu wa kufanya hivyo. Lengo ni kwamba, tunahitaji kumtibu mgonjwa kuanzia chanzo cha tatizo, ni kwa njia hiyo tu ndipo anaweza kupona kabisa tatizo lake.

Matibabu yetu ya kutibu matatizo ya nguvu za kiume humaanisha kwamba; tunatibu matatizo yote yanayosababisha kupungua nguvu za kiume. Tunatibu shida zote zinazoathiri utendaji wa tezidume, tunatibu matatizo ya homoni mwilini, tunatibu tatizo la kufunga choo (constipation) na madhara yaliyoletwa mwilini, tunatibu kitambi/unene na madhara yake, tunatibu madhara ya kujichua, tunatibu presha ya kupanda na kushuka, tunatibu kabisa kisukari na mtu anapona kabisa (dawa yetu hii ya kisukari pia imepimwa na kuthibitishwa na Mkemia Mkuu wa Serikali); tunatibu saratani ya tezidume kabla haijakomaa sana, tunatibu maumivu ya mgongo/kiuno na vyanzo vyake; tunatibu vidonda vya tumbo na mtu anapona kabisa, tunatibu matatizo yote ya moyo, tunatibu presha ya kupanda; tunatibu matatizo ya figo na ini na magonjwa yote ambayo ni sababu ya kupungua nguvu za kiume. 

Hivyo, unapotibu nguvu za kiume, unatibu afya yako kwa ujumla, kinyume na watu wanavyofikiri kwamba labda nguvu za kiume ni ule uume tu!! NGUVU ZA KIUME ZIKO NDANI! Na kuna viungo na vipengele mbalimbali zaidi ya 100 vinavyofanya kazi kwa ushirikiano mkubwa ili kukupatia nguvu za kiume. Ushauri wa chakula utaendana na chanzo cha tatizo lako.

UMUHIMU WA VITAMINI D KWA NGUVU ZA KIME

SOMA HAPA

ZITAMBUE DAWA ZA KUSIMAMISHA UUME KAMA MSUMARI. NI DAWA AINA TANO ZA UHAKIKA SANA. ZINATIBU TATIZO LA UUME KUSIMAMA KWA UREGEVU.

BOFYA HAPA

BAADHI YA MAGONJWA TUNAYOTIBU KWA UHAKIKA MKUBWA

DAWA YA UHAKIKA YA KUZUIA KUFIKA HARAKA KILELENI
Picture

sickle-cell

Picture

fangasi za ukeni

Picture

kipanda uso

DAWA YA UHAKIKA YA KUZUIA KUFIKA HARAKA KILELENI
Picture

matatizo ya HEDHI

Picture

BAWASILI

Picture

BARIDI YABISA

DAWA YA UHAKIKA YA KUZUIA KUFIKA HARAKA KILELENI
Picture

matatizo ya ngozi

Picture

pumu

Picture

saratani

DAWA YA UHAKIKA YA KISUKARI. IMEPIMWA NA
KUTHIBITISHWA NA MKEMIA MKUU WA SERIKALI.

MAELEZO ZAIDI BOFYA HAPA

BAADHI YA DAWA ZETU

Zifuatazo ni baadhi ya dawa zetu zinazotibu nguvu za kiume kwa uhakika mkubwa sana
Picture

BODY COMPLEX

Inarekebisha mifumo ya mwili, na kutibu magonjwa mengi.
SOMA ZAIDI
Picture

BALIJAAM

Inatibu uregevu wa uume na kufika haraka kileleni.
SOMA ZAIDI
Picture

EXPORERE

Inaimarisha stamina ya mwili na kukufanya urudie zaidi.
SOMA ZAIDI

dawa zetu ni za

Asili
Dawa zetu zinatokana na mimea tiba na matunda kutokana na miti ambayo imethibitika kisayansi kuwa ina uwezo wa mkubwa wa kutibu matatizo mbalimbali ya kiafya ikiwa ni pamoja na matatizo ya nguvu za kiume kwa uhakika mkubwa.

kuThibitishwa kwa

Mkemia
Kwa kuwa tumejikita katika kuhudumia wagonjwa kwa matibabu ya uhakika; baadhi ya dawa zetu nyingi zimepimwa na kuthibitishwa na Mkemia Mkuu wa Serikali kuwa ni nzuri hazina madhara yoyote.  Na zingine ziko kwenye mchakato.

matibabu yetu ni

Uhakika
Matibabu yetu ni ya uhakika, si ya kubahatisha. Tunatibu hadi mgonjwa apone kabisa. Tunatibu kuanzia chanzo cha tatizo. Tunamtibu mgonjwa mahala popote alipo ndani na nje ya nchi. Usipopona unarudishiwa nusu ya gharama au yote.

TAMBUA JINSI NGUVU ZA KIUME
ZINAVYOTIBIWA KITAALAMU

Bofya Hapa

MAKALA MAALUMU

Je, wewe umewahi kujichua?Usiache kusoma hapa.
​

BAADHI YA MAGONJWA NA TABIA ZINAZOATHIRI VIUNGO NA VITU MABALIMBALI MWILINI VINAVYOHUSIKA NA NGUVU ZA KIUME

Kuna tabia na magonjwa mbalimbali zaidi ya 200
ambayo hudhuru viungo na vitu mbalimbali ndani ya mwili vinavyohusika na
nguvu za kiume. Hapa tumekuwekea baadhi ya magonjwa na tabia. Bofya kwenye
maneno "Soma hapa zaidi," uweze kufahamu ni kwa namna gani
ugonjwa husika husababisha kupungua nguvu za kiume.
Picture

maumivu ya kiuno

Uti wa mgongo hasa eneo la kiuno ndiyo kituo kikuu. Shida yoyote kwenye eneo hilo hupunguza nguvu za kiume.
SOMA ZAIDI
Picture

magonjwa ya figo

 Figo zina mchango muhimu sana katika nguvu za kiume. Shida yoyote katika figo husababisha nguvu za kiume kupungua.
SOMA ZAIDI
Picture

matatizo ya homoni

Matatizo ya kihomoni ndani ya mwili ni sababu kubwa kwa wanaume wengi kupungukiwa nguvu za kiume.
SOMA ZAIDI 
Picture

vidonda vya tumbo

Vidonda vya tumbo hupunguza nguvu za kiume kwa kudhuru viungo na vitu vinavyohusika na nguvu: vilivyo karibu yake.
SOMA ZAIDI
Picture

mionzi ya simu

Matumizi mabaya ya simu huingiza mionzi mingi mwilini na hivyo kupunguza nguvu za kiume na kudhuru afya zetu.
SOMA ZAIDI
Picture

ukosefu wa mazoezi

Kutofanya mazoezi ni hatari sana kwa afya yako. Mifumo mingi mwilini hudhurika na hivyo nguvu za kiume kupungua.
SOMA ZAIDI
Picture

kuchelewa kulala

Usingizi huchaji upya akili na mwili. Kukosekana kwake hudhoofisha mwili na hivyo kupunguza nguvu za kiume.
SOMA ZAIDI

Picture

msongo wa mawazo

 Msongo wa mawazo ni hatari kwa afya yako. Hupandisha baadhi ya kemikali na kusababisha nguvu za kiume kupungua.
SOMA ZAIDI

Picture

compyuta

Kutumia komputa muda mrefu hupunguza nguvu za kiume kutokana na mionzi, pia kuweka laptop kwenye miguu ni hatari.
SOMA ZAIDI
Picture

viagra

Watu wengi hukurupuka kutumia Viagara na jamii ya Viagara, si tiba kabisa na huchangia sana kuua nguvu za kiume.
SOMA ZAIDI

Picture

tezidume

 Kuvimba kwa tezidume au saratani hudhuru utendaji wa tezi hiyo muhimu na hivyo kupunguza nguvu za kiume.
SOMA ZAIDI

Picture

ULAJI MBAYA

Ulaji mbaya hudhuru na kuharibu utendaji wa mifumo ya mwili, na hivyo kupelekea maradhi mengi na upungufu wa nguvu za kiume.
SOMA ZAIDI
Picture

baiskeli

Uendeshaji wa basikeli muda mrefu hudhuru mishipa ya neva kwenye korodani na hivyo kupunuguza nguvu za kiume.
SOMA ZAIDI

Picture

upasuaji

Matibabu ya upasuaji huweza kudhuru mishipa ya neva na hivyo kupunuguza nguvu za kiume.
SOMA ZAIDI

Picture

pombe

Pombe huleta mabadiliko makubwa  kwa kuvuruga utendaji wa vitu vingi mwilini na hivyo kupunuguza nguvu za kiume.
SOMA ZAIDI

Picture

ngiri

Ngiri hudhuru mishipa ya neva iliyo kwenye uume na  homoni ya testestoron na hivyo kupunguza nguvu za kiume.
SOMA ZAIDI

Picture

presha ya kupanda

 Presha ya kupanda hudhuru mzunguko wa damu, homoni, mishipa ya neva na hivyo kufanya nguvu za kiume kupungua.
SOMA ZAIDI

Picture

uvutaji sigara

Uvutaji wa sigara hudhuru mishipa ya damu ya ateri na hivyo kusababibisha nguvu za kiume kupungua.
SOMA ZAIDI

Picture

mishipa ya neva

Ugonjwa unaodhuru mishipa ya neva kama vile Parkinson’s disease, kifafa n.k, hupunguza nguvu za kiume.
​
SOMA ZAIDI
Picture

kufunga choo

 Kusukuma choo kwa nguvu muda mrefu hudhuru misuli iitwayo “Pelvic Floor Muscles” na hivyo kupunguza nguvu za kiume.
​
​SOMA ZAIDI
Picture

matatizo ya ini

Matatizo ya ini husababisha kupungua nguvu za kiume kwa sababu hudhuru utendaji wa baadhi ya homoni mwilini.
​
SOMA ZAIDI
Picture

KUJICHUA

Kujichua ni tendo linaloua kabisa nguvu za kiume; huvuruga homoni, mishipa ya neva, tezi n.k.
SOMA ZAIDI


Picture

KITAMBI

Kitambi kina madhara mengi kiafya ikiwa ni pamoja na kubadilisha homoni ya kiume kuwa ya kike na hivyo kupunguza nguvu za kiume.
SOMA ZAIDI
Picture

KISUKARI

Kisukari hudhuru mishipa ya damu, mishipa ya neva, homoni, figo n.k, na hivyo kupunguza nguvu za kiume.
​
SOMA ZAIDI

VIDEO| Sababu za kukosa hamu ya tendo la ndoa

TUNATUMA DAWA MAHALA POPOTE ULIPO

Tunatuma dawa mahala popote mtu alipo ndani na nje ya nchi. Kwa watu walio ndani ya nchi, mzigo huchukua siku 3-5 hadi kukufikia. Na kwa watu walio nje ya nchi mzigo huchukua siku 5-7 ambapo mizigo yote tunatuma kwa DHL; tunavyo vibari vya kusafirisha.

FAHAMU NGUVU ZA KIUME ZINAVYOTIBIWA KITAALAMU

Usikurupuke kubugia dawa. Tambua chanzo cha tatizo.
BOFYA HAPA
Picture
Dr. Khamisi Ibrahim Zephania ni daktari bingwa aliyebobea
katika kutibu matatizo ya nguvu za kiume, na madhara ya kujichua. Anatibu kuanzia chanzo cha tatizo. Anatibu
hadi tatizo lako liishe kabisa. Ni matibabu
ya uhakika wala si ya kubahatisha.
+255 766 431 675/+255 656 620 725

WHATSAPP: +255 766 431 675
EMAIL: [email protected]

ONYO: Ni marufuku kunakili makala hizi, hatua kali za kisheria zitachukuliwa. Baadhi ya watu wana tabia ya "kukopi" na "kupesti" masomo haya kisha kutupia kwenye blogu zao na kujifanya wanaweza kutibu matatizo ya nguvu za kiume ilihali hawawezi chochote. Kutibu upungufu wa nguvu za kiume sio rahisi vile watu wanavyofikiri. Inahitaji utaalamu na ubobezi wa hali ya juu sana katika mfumo wa uzazi wa mwanamume. Sio kubugia dawa tu. Nawe mgonjwa kuwa makini sana; epuka kutapiliwa.

Zephania Life Herbal Clinic


Hours

M-F: 7am - 9pm

Telephone

+255 766 431 675
+255 656 620 725

Email

[email protected]
  • Home
    • Home - Eng
  • About
  • Service
  • Contact
  • Kipanda Uso, Sababu, Dalili Na Matibabu Sahihi
  • Hatari Za Kiafya Za Uzito Mkubwa Na Tiba Yake
  • Dawa ya Asili ya Bawasiri
  • ujuh
  • Pumu (Asthima): Sababu, Dalili, na Tiba Asili Iliyothibitishwa Kisayansi
  • BAWESI: Natural Hemorrhoid Remedy for Internal & External Healing