TUNATIBU UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME KWA CHAKULA
Chakula ni tiba ya kila ugonjwa. Kama utatumia chakula vizuri basi unaweza kutibu magonjwa mengi sana. Katika kliniki yetu tunakuletea huduma ya kumaliza kabisa tatizo la upungufu wa nguvu za kiume kwa chakula na dawa za asili kulingana na chanzo na sababu ya tatizo lako.
Jinsi tunavyotibu nguvu za kiume kwa chakula
Ikiwa wagonjwa wangebadilisha kile wanachokula, basi wangeacha kabisa kutumia dawa za hospitali. Wagonjwa wa kisukari, moyo, maumivu ya viungo, maumivu ya tumbo, n.k; moja kwa moja ni matokeo ya lishe mbaya. Nimetibu wagonjwa wa kisukari cha Aina ya pili kwa chakula, ndani ya miezi 6 wengi wamepona na wengine kupata nafuu kubwa sana. Halikadhalika wagonjwa wa maumivu ya viungo sugu, wagonjwa waliokuwa wanahitaji upasuaji wa moyo au upasuaji wa mishipa ya miguu na wengi wamepona kwa tibalishe. Magonjwa mengi husababishwa na chakula kibaya na huponywa na chakula kizuri.
Chochote unachokula kina athari nzuri ama mbaya kwenye afya yako. Na jinsi ulivyo ni kutokana na chakula unachokula. Mathalani kama utakula chakula kilichosindikwa na kuongezewa sukari na chumvi, ndani ya muda mfupi utakumbwa ama na ugonjwa wa kisukari au ugonjwa wa moyo au vyote viwili n.k.
Virutubisho mbalimbali vilivyo kwenye vyakula vimetengenezwa na MWENYEZI MUNGU Mwumbaji kwa ajili ya kukulinda na magonjwa mbalimbali. Kinyume chake, ukikosa virutubisho hivyo, basi maradhi kwako ni kitu cha kufikia. Mathalani kutopata vitamid C ya kutosha, vitamini D na folate huweza kusababisha moyo wako kupata shida, kinga ya mwili kupungua, na baadhi ya saratani. Wagonjwa wa saratani ya mapafu wanaokula kwa wingi vyakula vyenye Vitamini D ni rahisi sana kupata nafuu kubwa na hata kupona kabisa kuliko wagonjwa wanaopata vitamin D kwa kiwango kidogo sana.
Katika Kliniki yetu Zephania Life Herbal Clinic iliyoko jijini Mwanza, tunakuletea huduma bora kabisa na ya kipekee sana; ambapo TUNAKUTIBU tatizo la kupungua nguvu za kiume kwa chakula sahihi kulingana na tatizo lako na TUNAKUTIBU kwa dawa zetu za asili kulingana na sababu na chanzo cha tatizo lako. Mwungano wa chakula na dawa sahihi za asili hufanya kazi vizuri sana na kwa haraka sana katika kutibu na kumaliza kabisa tatizo la kupungua kwa nguvu za kiume.
Usikupruke kubugia dawa za nguvu za kiume pindi unapoona una tatizo. Ni kosa kubwa mnoo! Upungufu wa nguvu za kiume hautibiwi kwa dawa moja unawapa watu wote. Au kwa aina moja ya chakula ambacho ati kila mtu unamshauri chakula hicho hicho! Kila mtu na dawa yake na kila mtu na chakula chake. Mathalani huyu kapungukiwa nguvu za kiume kwa sababu homoni ya testpsteroni iko chini sana, lakini mwingine kwa sababu homoni hiyo hiyo iko juu sana. Au huyu kapungukiwa nguvu za kiume kwa sababu tezidume imevimba, lakini yule kapungukiwa nguvu za kiume kwa sababu misuli ya pelvic floor ni dhaifu; inaingiaje akilini watu wote hao uwape dawa za aina moja na chakula cha aina moja?
Katika kliniki yetu Zephania Life Herbal Clinic tunafanya uchunguzi kwanza, kujua sababu na chanzo kilichosababisha upungufu wa nguvu za kiume. Kisha tunakupangia chakula gani ule na chakula gani usile kulingana na tatizo lako. Kama kuna changamoto ya chakula fulani hakipatikani, basi utatujulisha ili tuweze kubadilisha hicho chakula. Usiendelee kupoteza PESA bure kwa matibabu ya nguvu za kiume yaliyozagaa mitaani yasiyo na tija kabisa.
Pata ushauri bora kabisa kutoka kwa Dr. Khamisi Ibrahim Zephania, daktari bingwa aliyebobea katika kutibu matatizo ya nguvu za kiume. Anakutibu hadi tatizo lako liishe kabisa. Ni matibabu ya uhakika na wala si ya kubahatisha. Tunakupatia ushauri wa kitaalamu sana wa tiba lishe juu ya tatizo lako la kupungukiwa kwa nguvu za kiume. Na mwisho wa matibabu ni kupona kabisa.

USIENDELEE KUTAABIKA
Chakula ndiyo kila kitu! Usidanganyike na dawa zisizo na tija wakati
unaweza kujitibia mwenyewe nyumbani na kwa njia rahisi mno ambayo itakupa faida
kubwa mno kiafya na kumaliza kabisa tatizo lako la nguvu za kiume
unaweza kujitibia mwenyewe nyumbani na kwa njia rahisi mno ambayo itakupa faida
kubwa mno kiafya na kumaliza kabisa tatizo lako la nguvu za kiume
Jinsi tunavyotibu upungufu wa nguvu za kiume kwa chakula
Ndani ya mwili kuna vitu na viungo zaidi ya 100 vinavyoshughulika na nguvu za kiume. Kitu ama kiungo kimojawapo kinapoleta shida nguvu za kiume hupungua. Kuna ubongo, mishipa ya neva ambayo imegawanyika parasympathetic nerve na sympathetic nerve, tezidume (prostate gland), misuli ya pelvic floor, ini, figo, homoni mbalimbali ziko zaidi ya 18 zinazohusika na nguvu za kiume, tezi dundumio, moyo, korodani, uti wa mgongo, n.k. Orodha ni ndefu sana.
Kuna maradhi kadhaa, vyakula tunavyokula, tabia na mtindo wa maisha vinavyoweza kupelekea viungo hivyo kutofanya kazi vizuri. Baaadhi ya maradhi hayo na tabia hizo ni kujichua/punyeto (masturbation); kisukari; presha ya kupanda; presha ya kushuka; uvutaji wa sigara; unywaji wa pombe; madawa ya kuleva; kufanya kazi kupita kiwango na kukosa muda wa kupumuzika; matatizo ya kukosa usingizi na kuchelewa kulala usiku.
Sababu zingine za kupungua nguvu za kiume ni kutokunywa maji ya kutosha, tatizo la kufunga choo hasa pale unapotumia nguvu nyingi kusukuma choo; kutofanya mazoezi; ukosefu wa kumbukumbu; uzito mkubwa/unene mkubwa; kitambi; kuvimba kwa tezidume (Benign Prostate Hyperplasia), n.k.
Sababu zingine ni saratani ya tezi dume (Prostate cancer), matibabu ya mionzi ya tezidume na upasuaji, ugonjwa unaoathiri vitendo na shughuli za mwili kama vile mwondoko na balansi (multiple sclerosis), ugonjwa ambao hudhuru mawasiliano ya ubongo na miondoko ikiwa ni pamoja na kutembea, kuongea na kuandika (parkinson’s disease), vyakula vya mafuta, vyakula vilivyowekewa homoni bandia za kike n.k.
Sababu zingine ni maumivu ya mgongo/kiuno; baadhi ya madhara {side effects} za madawa ya kemikali (madawa ya hospitali); kiharusi (stroke); upungufu katika utendaji wa kazi za gonadi (hypogonadism); uzalishaji mwingi wa homoni ya thyroid.
Sababu zingine ni kutozalishwa kwa homoni ya thyroid ya kutosha; ugonjwa unaoathiri uzalishaji wa homoni ya cortisol (cushing’s syndrome); ugonjwa wa kupinda uume (peyronie’s disease); kukakamaa kwa mishipa ya damu (atherosclerosis); orodha ni ndefu sana, ni zaidi ya 200.
Hivyo mwanaume anapopungua nguvu za kiume, ina maana kuna ugonjwa ndani ya mwili wake, au unaweza kuwa huo ugonjwa umeshadhihirika (umeshatokeza) kwa nje, au huo ugonjwa bado uko ndani ya mwili unamla na kummaliza kimyakimya kama yalivyo baadhi ya magonjwa ambapo baadaye hulipuka. Hii ndiyo maana kitaalamu tunasema kupungua nguvu za kiume siyo ugonjwa ni dalili ya ugonjwa. Yani unapopungua nguvu za kiume hiyo ni KENGELE YA TAHADHARI kwamba ndani ya mwili wako kuna kitu au vitu havifanyi kazi vyema. Hivyo, unaambiwa kuchukua haraka TAHADHARI kabla ya HATARI!
Hakuna dawa moja inayotibu upungufu wa nguvu za kiume kwa wagonjwa wote. Na hakuna ushauri wa chakula wa aina moja kwa wagonjwa wote. Kila mtu na sababu na chanzo chake cha kupungua nguvu za kiume, hivyo kila mtu na dawa yake na ushauri wake wa vyakula. Kuna matibabu ya hovyo kabisa yaliyozagaa mitaani yanayodaiwa kutibu upungufu wa nguvu za kiume. Unakuta mtu kaweka dawa moja kila mtu akija amepungukiwa nguvu za kiume anapewa hiyo dawa. Na huyo anayetibu hata hajui nguvu za kiume ni nini?
Katika kliniki yetu tunapokutibu upungufu wa nguvu za kiume, tunatibu magonjwa yaliyopelekea hali hiyo na tunatibu madhara yaliyoingizwa ndani ya mwili. Tunafanya uchunguzi kujua shida iko wapi. Angalia mfano hapa chini.

JITIBU CHA CHAKULA
NI MATI BABU YA UHAKIKA SANA
Usiendelee kuteseka na tatizo la uume kusimama kwa uregevu, kukosa hamu ya mapenzi, kufika haraka kileleni na kushindwa kurudia mzunguko wa pili. Maliza kabisa tatizo lako leo kwa gharama nafuu sana!
|
Mfano wa huduma yetu tunavyotibu nguvu za kiume
Ufuatao ni mfano wa jinsi tunavyotibu tatizo la nguvu za kiume. Hii ni fomu ya mmoja wa wagonjwa wetu (jina lake limehifadhiwa na mahali anapoishi na namba zake za simu kwa sababu ya kulinda faragha na siri za mgonjwa. Katika fomu hii mgonjwa ameulizwa maswali kadhaa juu ya afya yake, kupitia mahojiano hayo tumegundua sababu na vitu kadhaa ndani ya mwili ambavyo kwa asilimia 100 ndiyo sababu za kupungua kwake nguvu za kiume na tumempa ufafanuzi wa kutosha juu sababu na chanzo cha tatizo lake. Kisha tumempa USHAURI WA KITAALAMU wa tiba lishe na dawa sahihi kulingana na tatizo lake. Tazama hapa chini:
Maelezo ya mgonjwa File No. 1657/ZLHC/22
JINA: (XXX BIN XXX Jina Limehifadhiwa)
UMRI: Miaka 35
UZITO: 87kg
UREFU: 5.6FT
JINSIA: MME
UNAPOISHI: (Imehifadhiwa)
TAREHE: 6/7/2019
UMRI: Miaka 35
UZITO: 87kg
UREFU: 5.6FT
JINSIA: MME
UNAPOISHI: (Imehifadhiwa)
TAREHE: 6/7/2019
1. JE, NI SABABU IPI KUU MALALAMIKO YAKO?
Upungufu wa nguvu za kiume.
2. JE, HAMU YA MAPENZI IKO CHINI?
Ndiyo. Iko chini sana
3. JE, UUME UNASIMAMA KWA UREGEVU?
Ndiyo, wakati mwingine hausimami kabisa.
4. JE, UNAFIKA KILELENI NDANI YA DAKIKA NGAPI?
Haizidi dakika 2
5. JE, UNACHUKUA MUDA GANI KURUDIA MZUNGUKO WA PILI?
Siwezi kabisa, mpaka kesho yake
6. JE, KWA WIKI AMA MWEZI UNAFANYA MAPENZI MARA NGAPI?
Kwa wiki mara 2 au 3
7. JE, UNA KITAMBI?
Ndiyo nina kitambi ila siyo kikubwa sana.
8. JE, ULIWAHI KUJICHUA?
Ndiyo.
9. KWA MUDA GANI UMEJICHUA?
Kwa mwaka mmoja tu.
10. KWA WIKI AU MWEZI ULIKUWA UNAJICHUA MARA NGAPI?
Kwa wiki mara 2 wastani
11. JE, UNAHISI MAUMIVU YA KORODANI?
Hapana
12. JE, KORODANI ZIMESINYAA AU ZIMEREGEA?
Ndiyo, zimelegea sana kama za mzee.
13. JE, KIUNO AMA MGONGO VINAUMA?
Hapana
14. JE, ULISHAWAHI KUONA MAZIWA YANATOKA KWENYE MATITI?
Hapana
15. JE, BAADA YA KUFANYA MAPENZI UNAHISI MAUMIVU SEHEMU YOYOTE YA MWILI?
Hapana sihisi maumivu yoyote.
16. JE, UNACHOKA SANA NA BILA SABABU ZA MSINGI?
Ndiyo. Muda mwingi nachoka sana.
17. JE, UNAHISI MAUMIVU KWENYE TUMBO?
Ndiyo.
18. JE, HAYO MAUMIVU HAYO YA TUMBO NI YA GHAFLA NA MAKALI NA YANADUMU KWA MUDA GANI?
Ndiyo, napata maumivu ya ghafla na yanakuwa makali sana. Yanadumu kwa muda wa saa 5 au wakati mwingine kwa dakika chache tu.
19. JE, HAYO MAUMIVU YA TUMBO YAKO MAENEO GANI HASA?
Maumivu yanatokea katikati ya tumbo wakati mwingine yanapanda hadi kwenye bega.
20. JE, HAMU YA KULA UNAYO?
Ndiyo
21. JE, UNA TATIZO LA KUFUNGA CHOO (YAANI KUPATA CHOO KIGUMU)?
Hapana.
22. JE, UNAHISI KIUNGULIA AU KICHEFU CHEFU?
Kuna baadhi ya vyakula nikila nahisi kiungulia na pia mara ngingi nahisi kichefuchefu na kutapika.
23. JE, UNAFANYA MAZOEZI NA NI MAZOEZI GANI HASA NA KWA WIKI UNAFANYA MARA NGAPI?
Naruka kamba kwa wiki mara 3 au 4
24. JE, MATITI YAMEKUWA MAKUBWA KAMA YA MWANAMKE?
Hapana.
25. JE, MAJI UNAKUNYWA KIASI GANI KWA SIKU?
Wastani lita 2 kwa siku, siku nyingine 1 litre.
26. JE, UNAKOJOA MARA KWA MARA?
Nakojoa kawada tu.
27. JE, UNAPOKUNYWA MAJI GLASI MOJA, UNACHUKUA MUDA GANI KWENDA KUKOJOA?
Masaa 2 hivi.
28. JE, USIKU UNAAMKA MARA NGAPI KUKOJOA?
Mara 2 au mara 1.
29. JE, UNAPOKOJOA KUNA MAUMIVU YOYOTE?
Hapana sihisi maumivu yoyote baada ya kukojoa.
30. JE, UNAPOJISAIDIA HAJA NDOGO AU KUBWA ULISHAONA KITU KAMA SHAHAWA ZINATOKA ZENYEWEJE? Ndiyo ilishawahi kutokea mara chache sana na ilikuwa zamani.
31. JE, UNAMALIZA KUKOJOA UNAHISI MKOJO BADO HAUJAISHA VIZURI?
Hapana.
32. JE, UNAPOKOJOA MKOJO UNATOKA VIZURI BILA KUCHELEWA? AU UNAKAA KWANZA MUDA NDIPO UNATOKA?
Hapana sijawahi kuona tatizo hili.
33. JE, ULISHAWAHI KUJISAIDIA DAMU KWENYE HAJA NDOGO AU HAJA KUBWA?
Sina hakika.
35. JE, MACHO YANAONA VIZURI?
Ndiyo.
36. JE, UNAHISI MAUMIVU YA KICHWA YA MARA KWA MARA NA HASA UPANDE UPI?
Ndiyo, nasikia maumivu upande mmoja lakini mara nyingine ni pande zote nasikia.
37. UNAPOKOHOA MAUMIVU YA KICHWA YANAKUWAJE?
Yanakuwa makali zaidi.
38. JE, UNAPATA VIZURI USINGIZI?
Ndiyo, nalala kawaida na vizuri kabisa sina shida hiyo.
39. JE, KUMBUKUMBU ZIKO VIZURI?
Ndiyo.
40. JE, UNA MSONGO MKALI WA MAWAZO?
Ndiyo msongo wa mawazo uko juu sana.
41. JE, MIGUU INAVIMBA?
Hapana.
42. JE, UNA TATIZO LA KUTOSIKIA NJAA?
Zamani niliwahi kusikia hali hii kama miaka 3 iliyopita.
43. JE, ULISHAWAHI KUONA DAMU ZIKITOKA PUANI?
Hapana.
44. JE, UNAHIZI GANZI KWENYE UUME AU SEHEMU YOYOTE YA MWILI?
Huwa nahisi ganzi kwenye vidole na nahisi vidole kutetemeka hivi.
45, JE, GANZI HIYO INATOKEA GHAFLA?
Hapana
46. JE, MISULI HUWA INAKAKAMAA?
Ndiyo
47. JE, MACHO YANAVIMBA?
Hapana.
48. JE, UNAHISI KIZUNGUNGU?
Hapana.
49. JE, UNATUMIA POMBE AU SIGARA?
Natumia sigara na pombe lakini mnywaji sana.
50. JE, MAUMBILE YA UUME YAMESINYAA AU YAMEKUWA MADOGO TOFAUTI NA ZAMANI?
Ndiyo.
51. JE, UKIAMKA ASUBUHI MARA NYINGI UNAKUTA UUME UMESIMAMA AU UMEREGEA?
Mara nyingi umeregea ni mara chache sana kukuta umesimama.
52, JE, ULISHAWAHI KUTUMIA DAWA ZA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME ZA HOSPITALI?
Hapana. Ila nimeshatumia dawa nyingi za kienyeji ila sioni mafanikio yoyote kabisa.
53. JE, ULISHAPIMA SHINIKIZO LA DAMU AU KISUKARI?
Ndiyo. Sina kisukari wala presha.
54. JE, UNAHISI MAUMIVU YA KIFUA?
Hapana
55. JE, UNAKOSA PUMZI?
Hapana
56. JE, UNAPATA MAFUA MARA KWA MARA? NA HUCHUKUA MUDA GANI KUPONA?
Ndiyo nasumbuliwa na mafua mara kwa mara na huchukua muda mrefu kupona.
57. JE, KWA MWAKA UNAUGUA NIMONIA MARA NGAPI?
Zaidi ya mara 2.
58. JE, UMEONGEZEKA UZITO GHAFLA?
Hapana.
59. JE, ULISHAWAHI KUKOHOA DAMU?
Hapana haijawahi kutokea maishani.
60. JE, MOYO UNADUNDA HARAKA HARAKA VISIVYO KAWAIDA?
Hapana
61. JE, UKIPANDA NGAZI UNAJIHISI VIPI KWENYE KIFUA NA MOYO?
Moyo unaenda haraka na kuchoka.
62. JE, NI MAGONJWA GANI AMBAYO UMEWAHI KUUGUA MUDA MREFU?
Malaria ndiyo huwa inanisumbua mara kwa mara.
63. JE, UMEWAHI KUTUMIA DAWA ZOZOTE ZA HOSPITALI KWA MUDA MREFU? NI DAWA GANI HASA?
Dawa ambazo nimekuwa nikitumia mara kwa mara ni za malaria na hasa natumia mseto.
64. JE, KATIKA FAMILIA YENU KUNA MAGONJWA SUGU KAMA VILE KISUKARI, PRESHA, SHIDA ZA TEZIDUME, UZITO MKUBWA, N.K?
Baba alikuwa na presha ya kupanda.
65. JE, NGOZI INAWASHA?
Hapana.
66. ULISHAWAHI KUUGUA UGONJWA WOWOTE WA NGOZI?
Hapana.
67. JE, NGOZI NA MACHO YANABADILIKA KUWA YA NJANO (MANJANO)?
Hapana
68. JE, TATIZO LA NGUVU ZA KIUME LILIANZA LINI?
Zaidi ya miaka 4 iliyopita.
69. JE, TATIZO HILI LA KUPUNGUA KWA NGUVU ZA KIUME LILIANZA LILIANZA LINI NA ILITOKEA GHAFLA AU POLE POLE?
Pole pole.
70. JE, UNAHISI UDHAIFU KATIKA MIKONO?
Hapana.
71. JE, HUWA UNAHISI KIU KIKALI SANA?
Hapana.
72. JE, UNAPATA SHIDA YA KUONGEA?
Hapana! Naongea vizuri kabisa
73. JE, UNAHISI MAUMIVU YA TUMBO YANAYOAMBATANA NA TUMBO KUVIMBA?
Nahisi maumivu ya tumbo tu lakini halivimbi.
74. JE, UNAHISI MAUMIVU AU HALI YA KUTOSIKIA RAHA KWENYE MIKONO, TAYA NA SHINGO?
Mara chache sana kwenye taya zamani iliwahi kutokea nikawa najisikia vibaya, lakini hali iliisha yenyewe.
75. JE, ULISHAWAHI KUHISI KAMA UNATAKA KUCHANGANYIKIWA?
Hapana. Siajwahi kukumbwa na kadhia hii.
76. JE, NI AINA GANI YA MADAWA YA KULEVYA UNATUMIA AU ULISHAWAHI KUTUMIA?
Hapana sijawahi kutumia aina yoyote ya madawa ya kulevya.
77. JE UNA MAELEZO YOYOTE ZIADA?
Ndiyo nina maelezo ya zaidia. Ninapomaliza kufanya tendo la ndoa wakati mwingine nahisi kichefu chefu sana, nahisi kutapika. Lakini hiyo hali baada ya muda flani inaisha. Tatizo hili linanikosesha amani sana.

UCHUNGUZI NA UTAMBUZI WA TATIZO LA FULAN BIN FULAN
Ndugu XXX BIN XXX, kutokana na maelezo yako uliyotueleza kwenye fomu yetu ya maswali, tumegundua matatizo yafuatayo katika mwili wako, ambayo ndiyo sababu ya kupungua kwako kwa nguvu za kiume na hapa tunakupatia ufafanuzi juu ya kila tatizo:
- Una kipanda uso
- Kinga yako ya mwili ni dhaifu
- Una mawe kwenye nyongo
- Homoni ya testostoroni iko chini
- Shida ya tezi thyroid
SABABU ZA UPUNGUFU WAKO WA NGUVU ZA KIUME
Kipanda uso:
Kipanda uso hupunguza homoni ya dopamine ambayo ni muhimu sana kwa nguvu za kiume katika kuleta hamu ya mapenzi. Dopamine inapokuwa chini hamu ya mapenzi pia inakuwa chini.
Homoni ya testosteroni:
Ili uume usimame barabara panahitajika homoni ya testestoroni ya kutosha na hamu ya mapenzi. Kama vitu hivyo vitakuwa chini basi uume hautasimama vyema kabisa.
Kinga ya mwili:
Kama kinga ya mwili ni dhaifu basi viungo vingi vinavyohusika na nguvu za kiume pia vitakuwa dhaifu, hali ambayo hupelekea upungufu wa nguvu za kiume.
Kibofu nyongo:
Kibofu nyongo (gallbladder) ni kiungo ambacho hutunza nyongo inayozalishwa na ini. Nyongo ni majimaji ambayo husaidia mwili kumenge'enya mafuta. Kunapokuwa na mawe kwenye kibofu nyongo huzuia damu kutiririka kwenye uume, na hivyo hapo kusababisha kupungua kwa nguvu za kiume.
Shida ya tezi thairoidi:
Tezi yako thairoidi huzalisha homoni za thairoidi ambazo hufanya kazi muhimu sana kwa kila kiungo mwilini. Kunapotokea shida ya kuzalishwa chini sana uume unasimama kwa uregevu na kufika haraka kileleni au kuchelewa sana kufika kileleni kupita kiwango.

USHAURI NA MATIBABU
Ufuatao ni ushauri wa chakula kulingana na matatizo yako
Ndugu XXX BIN XXX, tunapokupatia ushauri wa chakula wa tatizo la nguvu za kiume, ushauri huu maana yake ni kutibu kuanzia chanzo cha ugonjwa. Ndugu XXX BIN XXX, kama tulivyokueleza hapo juu, tatizo lako linatokana na homoni ya testosteroni kuwa chini, mawe kwenye kibofu nyongo, kinga ya mwili kuwa dhaifu, kipanda uso, shida ya tezi thyroid. Ushauri huu wa chakula utakwenda kung'oa mzizi wa matatizo yako na kurekebisha vitu ambavyo vilikuwa vimeshaathirika mwilini.
Ndugu XXX bin XXX, kwa nini ushauri huu ni muhimu kwako?
Chakula hiki ni maalumu kulingana na tatizo lako ili kupata magnesium, potassimu na folate ambayo ni muhimu sana kwa afya kwa jumla. Chakula hiki kitakupatia vitamin B6 ambayo ni muhimu sana kwa kipanda uso. Chakula hiki kitakupatia vitamin C [90mg] kila siku ambayo ni muhimu sana kwa tatizo lako. Itakupatia vitamin E ambayo ni muhimu sana kwa ajili kurekebisha kinga ya mwili. Kama kuna vyakula ambavyo havipatikani katika mazingira yako au ni vigumu kuviandaa kulingana na kazi zako na mazingira yako, basi tujulishe mara moja, ili tuweze kubadilisha.

WIKI YA KWANZA
ASUBUHI
Tumia kijiko kimoja cha vinega kwenye maji glasi moja kila siku asubhi kabla hujala chochote. Fanya mazoezi asubuhi hadi jasho litoke. Tumia mafuta ya nyoyo. Loweka kitambaa kwenye mafuta ya nyoyo ya uvuguvu, kanda
kwenye tumbo.
SAA 4 ASUBUHI
Kula karanga mbichi ujazo wa kikombe cha chai. Kunywa maziwa fleshi glasi 1. Jitahidi unywe maziwa ya ng'ombe wa kienyeji.
MCHANA
Kula mboga za majani, samaki, na ugali wa dona. Baada ya dakika 45 kula parachichi tatu.
USIKU
Kula mkate wa atta. Supu samaki. Baada ya nusu saa kunywa juisi ya apple glasi moja.

WIKI YA PILI
WIKI YA TATU
WIKI YA NNE
Epuka kula mayai, refined sugar, vyakula vyenye mafuta mengi (saturated fat). Punguza uzito ufike kilo 70 kulingana na urefu wako. Hakikisha unalala walau masaa 7-8 na amka masaa yale yale kila siku.
Matibabu haya ya chakula, kulingana na uzito na ukubwa wa tatizo lako utaweza kuona mabadiliko ndani ya siku 7 - 14.
Matibabu haya ya chakula, kulingana na uzito na ukubwa wa tatizo lako utaweza kuona mabadiliko ndani ya siku 7 - 14.
Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
JE, VYAKULA HIVI VINAPATIKANA?
Watu wengi huuliza kama vyakula tunavyowashauri vinapatikana katika maeneo yao. Asilimia 99 ya vyakula hivi vinapatikana katika eneo lako. Na ni vyakula rahisi sana ambavyo wengi tunavipuuza ilihali vina uwezo mkubwa wa kumaliza tatizo lako la nguvu za kiume kwa asilimia 100. Kama vyakula tulivyokushauri havitapatikana kwako, basi tutakushauri vyakula vingine vyenye kupatikana eneo lako ambavyo vitakupa virutusho vile vile. Mathalani kama tumekushauri kutumia ini la kondoo kwa ajili ya kupata vitamin B12, basi tunaweza kukushauri kunywa maziwa ambayo pia ina vitamin B12 lakini tutakushauri unywe maziwa kiasi gani ili kuendana na vitamin B12 ya kwenye ini la kondoo.
JE, KUNA HAJA YA VIPIMO?
Kwa daktari ambaye ni mtaalamu na mbobezi katika masuala ya uzazi wa mwanaume na nguvu za kiume, tatizo la nguvu za kiume hutambuliwa kupitia dalili. Vitu vinavyohusika na nguvu za kiume, vinafanya kazi zingine za mwili. Mathalani katika mlolongo wetu wa maswali tunaweza kukuuliza je unapoteza kumbukumbu? Ukisema kumbukumbu ziko chini na unafika haraka kileleni, basi ni dalili wazi kwamba homoni ya serotonin. Lakini kama mwingine atasema hana shida ya kumbukumbu lakini korodani zimesinyaa na anafika kieleni haraka, basi huyu tatizo lake linatokana na homoni ya testosteroni kuwa chini. Kama kuna haja ya kupima tutakushauri upime nini katika hospitali yoyote iliyo karibu nawe. Baada ya kupima utatuletea majibu.
JE, DOZI NI YA SIKU NGAPI
Dozi ya matibabu inategemea tatizo la mtu. Lakini kwa tatizo la nguvu za kiume, mara nyingi dozi ni siku 10 hadi miezi 4 kutegemea uzito na ukubwa wa tatizo lako. Tunashauri sana na sana na kwa uzito na msisitizo mkubwa sana kumaliza dozi tuliyokupangia na kufuata taratibu zote tulizokuelekeza ili kupata matokeo mazuri. Kama una aleji na chakula fulani, unapaswa ueleze mapema pale tutakuuliza maswali yetu na tunaweka kwa wino mwekundu katika faili lako juu ya aleji uliyo nayo ili kuepuka changamoto zinazoweza kujitokeza kutokana na aleji yako. Kama utazingatia vizuri kabisa ushauri na dozi tuliyokupangia, suala la kupona tatizo la nguvu za kiume ni asilimia 100. Kwa maneno mengine kupona ni suala lisiloepukika.
BAADA YA KUPONA NAKULAJE?
Chakula bora ni afya njema. Baada ya kupona tutakusahauri chakula bora ili tatizo lako lisijirudie. Sio vizuri kula vyakula ambavyo vinaweza kuleta shida mwilini. Hivyo unaweza kuendelea na mlo kama kawaida lakini tadhari kubwa juu ya vyakula vibaya. Vyakula ni vyanzo vya shida nyingi sana za kiafya na hasa kwa tatizo la nguvu za kiume, vyakula vina mchango mkubwa sana katika kudhoofisha nguvu za kiume, na hata kuua kabisa nguvu hizo. Hivyo, baada ya kupona tutakupa ushauri uliokuwa bora kabisa kulingana na matatizo yako na sababu zilizopelekea upungufu wa nguvu za kiume. Hii ndiyo moja ya faida kubwa kufanya tiba kwenye kliniki yetu tunakupatia ushauri wa kitaalamu sana juu ya tatizo lako la nguvui za kiume.
JE, NI UHAKIKA KUPONA?
Matibabu kutoka katika kliniki yetu ZEPHANIA LIFE HERBAL CLINIC kwa njia ya tiba lishe na dawa asilia yana uhakika mkubwa wa kuponyesha tatizo lako kwa asilimia 100. Vyakula hivi vinaelekezwa kwako kulingana na tatizo lako. Kama umepungukiwa Vitamin E, unaelekezwa mlo sahihi (kwa kiwango maalumu na muda sahihi) utakaokupatia vitamin hiyo na dawa sahihi. Kinachosababisha upungukiwe nguvu za kiume ni baadhi ya virutubisho muhimu kupungua ndani ya mwili kwa sababu ya magonjwa na tabia kama vile kujichua na kadhalika. Siyo rahisi mtu kutopoana kama tumempa ushauri sahihi na dawa sahihi kulingana na tatizo lake. Watu wengi hawaponi kwa sababu watabibu wanaowatibu hawajui jinsi ya kutibu.
MATOKEO HUANZA MUDA GANI
Hili ni swali pia ambalo watu wengi hupenda kuuliza. Matokeo huanza kuonekana ndani ya wiki moja. Lakini itategemea uzito wa tatizo, sababu na chanzo cha tatizo. Mathalani mtu aliyejichua miaka 10 akaua kabisa mishipa ya parasympathetic nerve, kiasi ambacho akijsaidia haja ndogo (kukojoa) shahawa zinatoka zenyewe hawezi kulingana na mtu ambaye kapungua nguvu za kiume kwa sababu ya kuchelewa kulala. Kuanza kuona matokeo ama kupona hutegemea uzito, ukubwa wa tatizo, sababu na chanzo cha tatizo. Watu wengi wanatamani watumie dawa leo, kisha kesho au leo hii hii waone matokeo. Hayo si matibabu sahihi hata kidogo matibabu ya namna hiyo ndiyo yaliyoplekea wengi wasipone kabisa!
Matibabu ya Nguvu za Kiume kwa Chakula
Usiendelee kutaabika. Sasa unaweza kujitibu nguvu za kiume kwa urahisi.
Ni matibabu ya uhakika ya chakula. Siyo ya kubahatisha.
Ni matibabu ya uhakika ya chakula. Siyo ya kubahatisha.
Usiendelee kuteseka na tatizo la nguvu za kiume
Kuna matibabu mengi sana mitaani. Ni utitiri wa matibabu, lakini watu wengi mno wanaodai kutibu tatizo hili la nguvu za kiume hawajui chochote kabisa, wala hawajui nguvu za kiume ni nini.
Kupitia mahojiano hayo ndiyo tunaweza kufahamu chanzo cha tatizo lake, na pia tunaweza kumshauri kufanya vipimo kama tutaona kuna umuhimu wa kufanya hivyo. Lengo ni kwamba, tunahitaji kumtibu mgonjwa kuanzia chanzo cha tatizo, ni kwa njia hiyo tu ndipo anaweza kupona kabisa tatizo lake.
Tunakuletea mfumo bora kabisa wa kutibu tatizo la nguvu za kiume kwa njia ya rahisi sana ya chakula. Haya ni matibabu ya uhakika sana. Na hayabahatishi, ni ushauri sahihi sana ambao utatibu matatizo yote yanayosababisha kupungua nguvu za kiume, ikiwa ni pamoja na:
Hivyo, hivyo tunapokupatia ushauri wa kutibu upungufu wa nguvu za nguvu za kiume, maana yake tunakupatia USHAURI wa kutibu afya yako kwa ujumla, kinyume na watu wanavyofikiri kwamba, "labda nguvu za kiume zinatoka kwenye ule uume tu!! NGUVU ZA KIUME ZIKO NDANI! Na kuna viungo na vipengele mbalimbali zaidi ya 100 vinavyofanya kazi kwa ushirikiano mkubwa ili kukupatia nguvu za kiume. Maswali tutakayokuhoji kupitia fomu yetu ya maswali, inatusaidia kujua ni kiungo gani au sehemu gani mwilini imeleta shida.

- shida zote zinazoathiri utendaji wa tezidume
- matatizo ya homoni mwilini
- matatizo ya kufunga choo (constipation) na madhara yake yaliyoletwa mwilini
- kitambi/unene na madhara yake
- madhara ya kujichua
- presha ya kupanda na kushuka
- kisukari na madhara yake
- saratani ya tezidume
- ngiri aina zote
- bawasiri na madhara yake
- vidonda vya tumbo
- matatizo yote ya moyo
- matatizo ya figo na ini
- na magonjwa yote ambayo ni sababu ya kupungua nguvu za kiume.
Hivyo, hivyo tunapokupatia ushauri wa kutibu upungufu wa nguvu za nguvu za kiume, maana yake tunakupatia USHAURI wa kutibu afya yako kwa ujumla, kinyume na watu wanavyofikiri kwamba, "labda nguvu za kiume zinatoka kwenye ule uume tu!! NGUVU ZA KIUME ZIKO NDANI! Na kuna viungo na vipengele mbalimbali zaidi ya 100 vinavyofanya kazi kwa ushirikiano mkubwa ili kukupatia nguvu za kiume. Maswali tutakayokuhoji kupitia fomu yetu ya maswali, inatusaidia kujua ni kiungo gani au sehemu gani mwilini imeleta shida.
SASA NI WAKATI WAKO KUPATA USHAURI SAHIHI
Tumia fomu hii hapa kujibu maswali yote ili kutuwezesha kujua shida iko wapi mwilini iliyopelekea wewe kupungua nguvu za kiume. Tukishajua ni eneo gani limeleta shida ni rahisi sana kwako kupona. Tutakupa ushauri bora wa kitaalamu ambao utakwenda kumaliza kabisa tatizo lako kwa asilimia 100. Anza kujibu SASA.
NI MATIBABU YA UHAKIKA WALA SI YA KUBAHATISHA
Tumia fomu ya maswali kujibu maswali
Kupata ushauri sahihi
VIDEO| Sababu za kukosa hamu ya tendo la ndoa
BAADHI YA MAGONJWA NA TABIA ZINAZOATHIRI VIUNGO NA VITU MABALIMBALI MWILINI VINAVYOHUSIKA NA NGUVU za kiume
Kuna tabia na magonjwa mbalimbali zaidi ya 200
ambayo hudhuru viungo na vitu mbalimbali ndani ya mwili vinavyohusika na
nguvu za kiume. Hapa tumekuwekea baadhi ya magonjwa na tabia. Bofya kwenye
maneno "BOFYA HAPA," uweze kufahamu ni kwa namna gani
ugonjwa husika husababisha kupungua nguvu za kiume na tutakupatia soluhusho la uhakika kwa njia ya chakula.

KUJICHUA
Kujichua ni tendo linaloua kabisa nguvu za kiume; huvuruga homoni, mishipa ya neva, tezi n.k. Tatua tatizo hili kwa chakula BOFYA HAPA |
KITAMBI
Kitambi kina madhara mengi kiafya ikiwa ni pamoja na kubadilisha homoni ya kiume kuwa ya kike na hivyo kupunguza nguvu za kiume. Tatua tatizo hili kwa chakula BOFYA HAPA |
KISUKARI
Kisukari hudhuru mishipa ya damu, mishipa ya neva, homoni, figo n.k, na hivyo kupunguza nguvu za kiume. Tatua tatizo hili kwa chakula BOFYA HAPA |
mishipa ya neva
Ugonjwa unaodhuru mishipa ya neva kama vile Parkinson’s disease, kifafa n.k, hupunguza nguvu za kiume. Tatua tatizo hili kwa chakula sahihi. BOFYA HAPA |
kufunga choo
Kusukuma choo kwa nguvu muda mrefu hudhuru misuli iitwayo “Pelvic Floor Muscles” na hivyo kupunguza nguvu za kiume. Tatua tatizo hili kwa chakula sahihi. BOFYA HAPA |
matatizo ya ini
Matatizo ya ini husababisha kupungua nguvu za kiume kwa sababu hudhuru utendaji wa baadhi ya homoni mwilini. Tatua tatizo hili kwa chakula sahihi. BOFYA HAPA |
ngiri
Ngiri hudhuru mishipa ya neva iliyo kwenye uume na homoni ya testestoron na hivyo kupunguza nguvu za kiume. Tatua tatizo hili kwa chakula sahihi. BOFYA HAPA |
presha ya kupanda
Presha ya kupanda hudhuru mzunguko wa damu, homoni, mishipa ya neva na hivyo kufanya nguvu za kiume kupungua. Tatua tatizo hili kwa chakula sahihi. BOFYA HAPA |
uvutaji sigara
Uvutaji wa sigara hudhuru mishipa ya damu ya ateri na hivyo kusababibisha nguvu za kiume kupungua. Tatua tatizo hili kwa chakula sahihi. BOFYA HAPA |
baiskeli
Uendeshaji wa basikeli muda mrefu hudhuru mishipa ya neva kwenye korodani na hivyo kupunuguza nguvu za kiume. Tatua tatizo hili kwa chakula sahihi. BOFYA HAPA |
upasuaji
Matibabu ya upasuaji huweza kudhuru mishipa ya neva na hivyo kupunuguza nguvu za kiume. Tatua tatizo hili kwa chakula sahihi. BOFYA HAPA |
pombe
Pombe huleta mabadiliko makubwa kwa kuvuruga utendaji wa vitu vingi mwilini na hivyo kupunuguza nguvu za kiume. Tatua tatizo hili kwa chakula sahihi. BOFYA HAPA |
viagra
Watu wengi hukurupuka kutumia Viagara na jamii ya Viagara, si tiba kabisa na huchangia sana kuua nguvu za kiume. Tatua tatizo hili kwa chakula sahihi. BOFYA HAPA |
tezidume
Kuvimba kwa tezidume au saratani hudhuru utendaji wa tezi hiyo muhimu na hivyo kupunguza nguvu za kiume. Tatua tatizo hili kwa chakula sahihi. BOFYA HAPA |
ULAJI MBAYA
Ulaji mbaya hudhuru na kuharibu utendaji wa mifumo ya mwili, na hivyo kupelekea maradhi mengi na upungufu wa nguvu za kiume. Tatua tatizo hili kwa chakula sahihi. BOFYA HAPA |
kuchelewa kulala
Usingizi huchaji upya akili na mwili. Kukosekana kwake hudhoofisha mwili na hivyo kupunguza nguvu za kiume. Tatua tatizo hili kwa chakula sahihi. BOFYA HAPA |
msongo wa mawazo
Msongo wa mawazo ni hatari kwa afya yako. Hupandisha baadhi ya kemikali na kusababisha nguvu za kiume kupungua. Tatua tatizo hili kwa chakula sahihi. BOFYA HAPA |
compyuta
Kutumia komputa muda mrefu hupunguza nguvu za kiume kutokana na mionzi, pia kuweka laptop kwenye miguu ni hatari. Tatua tatizo hili kwa chakula sahihi. BOFYA HAPA |
vidonda vya tumbo
Vidonda vya tumbo hupunguza nguvu za kiume kwa kudhuru viungo na vitu vinavyohusika na nguvu: vilivyo karibu yake. Tatua tatizo hili kwa chakula sahihi. BOFYA HAPA |
mionzi ya simu
Matumizi mabaya ya simu huingiza mionzi mingi mwilini na hivyo kupunguza nguvu za kiume na kudhuru afya zetu. Tatua tatizo hili kwa chakula sahihi. BOFYA HAPA |
ukosefu wa mazoeziKutofanya mazoezi ni hatari sana kwa afya yako. Mifumo mingi mwilini hudhurika na hivyo nguvu za kiume kupungua. Tatua tatizo hili kwa chakula sahihi. BOFYA HAPA |
maumivu ya kiuno
Uti wa mgongo hasa eneo la kiuno ndiyo kituo kikuu. Shida yoyote kwenye eneo hilo hupunguza nguvu za kiume. Tatua tatizo hili kwa chakula sahihi. BOFYA HAPA |
magonjwa ya figo
Figo zina mchango muhimu sana katika nguvu za kiume. Shida yoyote katika figo husababisha nguvu za kiume kupungua. Tatua tatizo hili kwa chakula sahihi. BOFYA HAPA |
matatizo ya homoni
Matatizo ya kihomoni ndani ya mwili ni sababu kubwa kwa wanaume wengi kupungukiwa nguvu za kiume. Tatua tatizo hili kwa chakula sahihi. BOFYA HAPA |
MATIBABU YA UHAKIKA
|
JINSI NGUVU ZA KIUME
ZINAVYOTIBIWA
KITAALAMU KWA CHAKULA
Jibu maswali yote
KIFASAHA
Ingia katika fomu yetu ya maswali na jibu maswali yote kwa ufasaha. Weka maelezo ya ziada, fafanua kadiri uwezavyo juu ya changamto za afya yako. Majibu sahihi yatatuongoza sisi kukupa majibu sahihi kulingana na tatizo lako.
|
Kwa nini tunakuuliza
MASWALI?
Tunakuuliza maswali ili kujua kila kiungo kinachohusika na nguvu za kiume kinavyotenda kazi. Ndani ya mwili kuna vitu zaidi ya 100 vinavyohusika na nguvu za kiume. Vitu hivyo vinaposhindwa kufanya kazi yake vizuri upungufu wa nguvu za kiume hutokea.
|
matibabu yetu ni
Uhakika
Matibabu yetu ni ya uhakika, si ya kubahatisha. Tunatibu hadi mgonjwa apone kabisa. Tunatibu kuanzia chanzo cha tatizo. Tunamtibu mgonjwa mahala popote alipo ndani na nje ya nchi. Usipopona unarudishiwa nusu ya gharama au yote.
|
Dr. Khamisi Ibrahim Zephania ni daktari bingwa aliyebobea
katika kutibu matatizo ya nguvu za kiume, na madhara ya kujichua. Anatibu kuanzia chanzo cha tatizo. Anatibu
hadi tatizo lako liishe kabisa. Ni matibabu
ya uhakika wala si ya kubahatisha.
+255 766 431 675/+255 656 620 725
WHATSAPP: +255 766 431 675
EMAIL: [email protected]

Click to set custom HTML
Jitibu upungufu wa nguvu za kiume kwa chakula
ONYO: Ni marufuku kunakili makala hizi, hatua kali za kisheria zitachukuliwa. Baadhi ya watu wana tabia ya "kukopi" na "kupesti" masomo haya kisha kutupia kwenye blogu zao na kujifanya wanaweza kutibu matatizo ya nguvu za kiume ilihali hawawezi chochote. Kutibu upungufu wa nguvu za kiume sio rahisi vile watu wanavyofikiri. Inahitaji utaalamu na ubobezi wa hali ya juu sana katika mfumo wa uzazi wa mwanamume. Sio kubugia dawa tu. Nawe mgonjwa kuwa makini sana; epuka kutapiliwa.