Zephania Life Herbal Clinic
  • Home
  • About
  • Service
  • MAGONJWA
    • Nguvu za Kiume
    • BAWASIRI
    • Kisukari
    • Kipandauso
    • Fangasi Ukeni
  • Articles
    • Blog
  • Contact
  • Kitabu cha Kisukari: Mwongozo Kamili wa Kisukari na Udhibiti
  • Sababu 10 Zinazofanya Ushindwe Kabisa Kudhibiti Kisukari
  • Kwa Nini Sukari Yako Inabaki Juu Licha ya Kutumia Dawa?
Intro 60 chara

Kisukari Kinakutisha? Pata Suluhisho la Asili Lililothibitishwa!

Chupa 6 za dawa ya asili ya kisukari Diabeze Natural kutoka Zephania Life Herbal Clinic Tanzania, unga wa mitishamba unaotibu na kuponyesha kongosho, unaosaidia kushusha na kudhibiti kiwango cha sukari kwenye damu kwa wagonjwa wa kisukari.

Diabeze Natural kutoka Zephania Life Herbal Clinic hutibu kongosho, kudhibiti sukari mwilini na kushusha sukari kwa usalama. Dawa hii ya asili imepimwa na Mkemia Mkuu wa Serikali (Lab No. 811/2019) na haina madhara.


Wasiliana Nasi Sasa: 
Simu/WhatsApp: 
+255 766 431 675 +255 656 620 725
Upate ushauri na uanze tiba yako leo.

EMAIL:
[email protected]
[email protected]

SOMA ZAIDI


Soma pia Jinsi Diabeze Natural Inavyofanya Kazi Hatua kwa Hatua >>


DAWA YA ASILI YA KISUKARI
ILIYOTHIBITISHWA KISAYANSI
- TANZANIA

Dawa ya Asili ya Kisukari - Diabeze Natural - Zephania Life Herbal Clinic
Cheti Cha Mkemia Mkuu wa Serikali LAB NO. 811/2019

Diabeze Natural ni dawa ya asili ya kisukari iliyopimwa na kuthibitishwa na Mkemia Mkuu wa Serikali (LAB NO. 811/2019). Inatibu kongosho na kupunguza sukari mwilini kwa njia salama na ya asili. Dozi kamili ni chupa 6, zinazosaidia kurejesha uwiano wa sukari mwilini hatua kwa hatua. Inapatikana kupitia Zephania Life Herbal Clinic.

Pata tiba ya uhakika ya kisukari leo.

Simu/WhatsApp:
+255 766 431 675
+255 656 620 275.


EMAIL:
[email protected]
[email protected]


Soma Pia Jinsi ya Kutibu Kidonda cha Kisukari kwa Dawa ya Diabeze Natural >>


DAWA YA KISUKARI ILIYOTHIBITISHWA NA MKEMIA MKUU WA SERIKALI

DAWA YA KISUKARI ILIYOTHIBITISHWA NA MKEMIA MKUU WA SERIKALI

Jinsi Dawa ya Asili Diabeze Natural Inavyofanya Kazi Mwilini Kudhibiti na Kupunguza Kisukari

Dawa ya asili Diabeze Natural imeundwa kwa mchanganyiko wa mimea tiba yenye viambato vya kibaolojia (bioactive phytochemicals) vinavyosaidia kurekebisha mfumo wa metabolism ya sukari (glucose metabolism) mwilini. Dawa hii hufanya kazi katika mifumo kadhaa muhimu ya mwili ambayo inaathiri kiwango cha sukari kwenye damu. Zifuatazo ni hatua kuu jinsi Diabeze Natural inavyofanya kazi.

1. Kuamsha na Kulinda Seli za Kongosho (Pancreatic Beta Cells)

Kongosho (Pancreas) ni kiungo muhimu kinachozalisha homoni ya insulin, homoni inayosimamia usafirishaji wa sukari kutoka ndani ya damu kwenda kwenye seli. Katika wagonjwa wengi wa kisukari, hasa Diabetes Mellitus Type 2, seli maalum za kongosho zinazoitwa beta cells hupungua nguvu au huharibika kutokana na:
⬤ Oxidative stress (msongo wa oksidishaji)
⬤ Chronic inflammation (uvimbe wa muda mrefu)
⬤ Insulin resistance

Viambato vya Diabeze Natural vina antioxidants za mimea kama vile:

⬤ Thymoquinone (kutoka Nigella sativa)
⬤ Cinnamaldehyde (kutoka Cinnamomum verum)
⬤ Eugenol (kutoka Syzygium aromaticum)

Kemikali hizi husaidia:

⬤ Kulinda seli za beta zisiharibiwe
⬤ Kuongeza uwezo wa kongosho kuzalisha insulin
⬤ Kuboresha utoaji wa insulin (insulin secretion)

Matokeo yake ni kwamba sukari inayozunguka kwenye damu hupungua polepole na kwa usalama.


2. Kupunguza Insulin Resistance (Upinzani wa Insulin)

Moja ya sababu kubwa ya kisukari ni hali iitwayo insulin resistance. Hii ni hali ambapo seli za mwili (hasa misuli, ini na mafuta) hazitambui vizuri insulin. Hivyo hata kama insulin ipo mwilini, sukari bado hubaki kwenye damu. Viambato vya Diabeze Natural hufanya kazi kwa:
⬤ Kuongeza insulin sensitivity
⬤ Kuboresha insulin receptor signaling
⬤ Kuamsha protini muhimu iitwayo AMP-activated protein kinase (AMPK)

Protini ya AMPK ni kama switch ya kimetaboliki ya mwili, ambayo:

⬤ Huongeza matumizi ya glucose kwenye misuli
⬤ Hupunguza utengenezaji wa glucose kwenye ini
⬤ Huchochea matumizi ya nishati

Kwa njia hii, mwili huanza kutumia sukari iliyopo kwenye damu kama chanzo cha nishati, hivyo kiwango cha sukari hushuka.


3. Kupunguza Utengenezaji wa Sukari Kwenye Ini (Hepatic Gluconeogenesis)

Ini (liver) lina uwezo wa kutengeneza sukari mpya hata kama mtu hajala. Mchakato huu huitwa gluconeogenesis. Kwa wagonjwa wa kisukari, ini:
⬤ Hutengeneza sukari nyingi kupita kiasi
⬤ Hata wakati sukari tayari iko juu kwenye damu

Viambato vya Diabeze Natural husaidia:

⬤ Kuzuia kimeng’enya glucose-6-phosphatase
⬤ Kupunguza shughuli ya phosphoenolpyruvate carboxykinase (PEPCK)

Enzymes hizi mbili ndizo zinazoongoza utengenezaji wa sukari kwenye ini. Kwa kuzipunguza:

⬤ Ini hutengeneza sukari kidogo
⬤ Kiwango cha sukari kwenye damu hushuka kwa utaratibu

4. Kupunguza Ufyonzwaji wa Sukari Kwenye Utumbo

Baada ya kula chakula, sukari nyingi huingia mwilini kupitia utumbo mdogo (small intestine). Diabeze Natural ina viambato vinavyoweza kuzuia enzymes muhimu kama:
⬤ Alpha-amylase
⬤ Alpha-glucosidase

Enzymes hizi ndizo huvunja wanga kuwa sukari rahisi kama glucose.

Kwa kuzuia enzymes hizi:

⬤ Wanga huvunjwa polepole
⬤ Sukari inaingia kwenye damu taratibu
⬤ Hakutokei mlipuko (spike) ya sukari baada ya kula (postprandial hyperglycemia)

5. Kuboresha Matumizi ya Sukari Kwenye Misuli

Misuli ndiyo hutumia kiasi kikubwa cha glucose mwilini. Diabeze Natural huchochea:
⬤ GLUT4 transporters

Hizi ni protini zinazohamisha glucose kutoka kwenye damu kwenda ndani ya seli za misuli. Matokeo yake:

⬤ Sukari hupungua kwenye damu
⬤ Misuli hupata nishati zaidi
⬤ Uchovu wa mgonjwa hupungua

6. Kupunguza Madhara ya Kisukari (Diabetic Complications)

Kisukari kisipotibiwa vizuri huweza kusababisha madhara kama:
⬤ Diabetic neuropathy (mishipa ya fahamu kuharibika)
⬤ Diabetic nephropathy (figo kuharibika)
⬤ Diabetic retinopathy (macho kuharibika)
⬤ Cardiovascular diseases (magonjwa ya moyo)

Antioxidants zilizomo kwenye Diabeze Natural husaidia:

⬤ Kupunguza advanced glycation end products (AGEs)
⬤ Kulinda mishipa ya damu
⬤ Kuboresha mzunguko wa damu

Hivyo dawa hii haisaidii tu kupunguza sukari, bali pia kulinda viungo muhimu vya mwili dhidi ya madhara ya kisukari.


7. Kurekebisha Mfumo wa Metabolism ya Mwili

Kwa matumizi ya muda wa miezi 4, Diabeze Natural husaidia kurekebisha:
⬤ Glucose metabolism
⬤ Lipid metabolism
⬤ Hormonal balance

Ndiyo maana wagonjwa wengi huanza kuona maboresho kama:

⬤ Sukari kushuka taratibu
⬤ Kupungua kwa kiu kupita kiasi
⬤ Kupungua kwa kukojoa mara kwa mara
⬤ Kuongezeka kwa nguvu mwilini

Mabadiliko haya huanza kuonekana kwa baadhi ya wagonjwa ndani ya siku chache hadi wiki chache, kulingana na hali ya mgonjwa na kiwango cha kisukari.


Diabeze Natural hufanya kazi kwa njia nyingi kwa wakati mmoja (multi-target mechanism), ikiwa ni pamoja na:

⬤ Kulinda kongosho
⬤ Kuongeza utoaji wa insulin
⬤ Kupunguza insulin resistance
⬤ Kupunguza utengenezaji wa sukari kwenye ini
⬤ Kupunguza ufyonzwaji wa sukari kwenye utumbo
⬤ Kuongeza matumizi ya glucose kwenye misuli

Muunganiko huu wa hatua mbalimbali ndizo zinazofanya dawa hii ya asili kusaidia kudhibiti kisukari kwa njia ya asili na ya kimetaboliki.


Pata tiba ya uhakika ya kisukari leo.

Simu/WhatsApp:
+255 766 431 675
+255 656 620 275.


EMAIL:
[email protected]
[email protected]


Soma Pia: Jinsi Diabeze Natural Inavyomaliza kabisa Ganzi na Kuwaka Moto >>


Pata Ushauri na Dawa ya Asili ya Kisukari Leo

Ikiwa wewe au ndugu yako unasumbuliwa na kisukari au dalili zake, ni muhimu kuchukua hatua mapema kabla ugonjwa haujasababisha madhara makubwa kwa afya yako.

Katika kliniki yetu, Zephania Life Herbal Clinic – Mwanza Tanzania, tunatoa ushauri wa kitaalamu na tiba ya asili inayolenga kusaidia mwili kudhibiti kiwango cha sukari kwenye mikondo ya damu kwa kutumia mchanganyiko maalumu wa mimea tiba.

Moja ya dawa zetu ni Diabeze Natural, dawa ya asili ya kisukari ambayo:
  • Imetengenezwa kwa mchanganyiko maalumu wa mimea tiba
  • Imepimwa na kuthibitishwa na Mkemia Mkuu wa Serikali (LAB No. 811/2019)
  • Haina madhara kwa mtumiaji 
  • Dozi kamili ni ya miezi 4 (chupa 6)
  • Matokeo ya mwanzo yanaweza kuanza kuonekana ndani ya wiki 1-2

Katika kliniki yetu, wagonjwa pia hupatiwa ushauri wa lishe maalumu (menu ya chakula cha kisukari) kulingana na afya mgonjwa ili kusaidia kuongeza ufanisi wa matibabu na kusaidia mwili kudhibiti sukari kwa ufanisi zaidi.

Wasiliana Nasi Leo
Zephania Life Herbal Clinic
Mwanza – Tanzania

WhatsApp / Simu:
+255 766 431 675
+255 656 620 725


Pata ushauri na maelekezo ya matumizi ya Diabeze Natural leo na anza safari ya kudhibiti kisukari kwa njia salama na ya asili.


Soma Pia: Jinsi Diabeze Natural Inavyozuia na kutibu uharibifu wa figo (Diabetic Nephropathy) >>


Ushauri Maalumu wa Lishe kwa Wagonjwa wa Kisukari

Ushauri Maalumu wa Lishe kwa Wagonjwa wa Kisukari
Katika kliniki yetu, Zephania Life Herbal Clinic, tunaelewa kwamba kila mgonjwa wa kisukari ana hali ya afya tofauti. Ndiyo maana tunatoa ushauri wa lishe maalumu unaopangwa kulingana na afya ya mtu binafsi, badala ya kutumia mpango mmoja wa chakula kwa kila mtu.
Lishe sahihi ni nguzo muhimu katika kudhibiti kisukari. Uchaguzi wa vyakula unaofaa unaweza kusaidia kupunguza kiwango cha sukari kwenye mikondo ya damu, kuboresha kazi ya kongosho, na kupunguza hatari ya madhara makubwa kama magonjwa ya moyo, figo na mishipa ya fahamu. Hata hivyo, mahitaji ya lishe yanaweza kutofautiana kati ya mtu na mtu kulingana na hali ya afya, uzito wa mwili, umri, kiwango cha sukari kwenye damu, pamoja na uwepo wa magonjwa mengine.
Kupitia huduma yetu, wagonjwa hupatiwa mwongozo wa chakula uliobinafsishwa (personalized nutrition guidance) unaoonyesha vyakula vinavyofaa kula, vyakula vya kupunguza au kuepuka, pamoja na mpangilio sahihi wa milo ya kila siku. Lengo letu ni kusaidia mgonjwa kudhibiti sukari mwilini kwa njia salama, ya asili na endelevu.
Kwa kupata ushauri sahihi wa lishe, mgonjwa wa kisukari anaweza kuboresha afya yake, kuongeza nguvu za mwili na kupunguza hatari ya madhara ya ugonjwa kwa muda mrefu.
Wasiliana nasi leo kwa ushauri wa kitaalamu wa lishe kwa mgonjwa wa kisukari.

Zephania Life Herbal Clinic
Simu/WhatsApp:
+255 766 431 675
+255 656 620 725

EMAIL:
[email protected] 
[email protected]


Soma pia: Jinsi Dawa ya Kisukari, Diabeze Natural Inavyozuia Uharibifu wa Macho (Diabetic Retinopathy) >>


SEMINA YA ELIMU YA KISUKARI – ZEPHANIA LIFE HERBAL CLINIC

SEMINA YA ELIMU YA KISUKARI – ZEPHANIA LIFE HERBAL CLINIC
Je, wewe ni mgonjwa wa kisukari na tayari unapokea matibabu katika kliniki yetu, Zephania Life Herbal Clinic?

Tunayo habari njema kwako! Ili kuhakikisha wagonjwa wetu wanapata maarifa sahihi ya kudhibiti na kupambana na kisukari, tumetengeneza semina maalum ya kitaalamu ya elimu ya kisukari inayofanyika kila wiki.



SEMINA YA KILA JUMAPILI (Kwa Wagonjwa waliopo Mwanza)

Mahali: Ofisi za Zephania Life Herbal Clinic – Mwanza
Siku: Kila Jumapili
Muda: Saa 4:00 asubuhi hadi Saa 7:00 mchana

Katika semina hii wagonjwa wetu hupata elimu ya kina kuhusu:


Namna sahihi ya kudhibiti sukari
Lishe bora kwa mgonjwa wa kisukari
Vyakula vinavyopaswa kuepukwa kabisa
Namna ya kuzuia madhara ya kisukari kama figo, macho na neva
Mbinu za kuimarisha afya kwa tiba asilia

Maswali na majibu ya moja kwa moja na mtaalamu

Semina hii inalenga kumsaidia mgonjwa aelewe ugonjwa wake na aweze kuishi maisha bora bila hofu ya kisukari.



SEMINA YA ONLINE (Kwa Wagonjwa waliopo Mbali)

Kwa wagonjwa wetu waliopo nje ya Mwanza au nje ya Tanzania, tunatoa pia semina ya mtandaoni (Online Seminar).

Siku: Kila Jumatano
Muda: Saa 10:00 jioni hadi Saa 12:00 usiku

Kupitia semina hii utapata:


Elimu kamili ya kisukari ukiwa popote ulipo duniani
Mafunzo ya lishe, tiba na mtindo bora wa maisha
Mwongozo wa kupima na kufuatilia sukari ya damu nyumbani

Ushauri wa kitaalamu kutoka kwa Zephania Life Herbal Clinic


MUHIMU:
Semina hii ni maalum kwa wagonjwa wanaopata matibabu katika Zephania Life Herbal Clinic pekee.


ZEPHANIA LIFE HERBAL CLINIC
Elimu Sahihi – Tiba Sahihi – Afya Bora.

WhatsApp / Simu:
+255 766 431 675
+255 656 620 725

[email protected]
[email protected]

Soma Pia: Jinsi ya kudhibiti Presha ya Kupanda na Kisukari >>

PATA NAKALA YAKO YA KITABU

KITABU: “Mwongozo wa Wagonjwa wa Kisukari: Lishe, Tiba na Afya Bora.” Mwandishi: KHAMISI IBRAHIM ZEPHANIA
Kisukari ni ugonjwa unaohitaji uelewa sahihi wa lishe, mtindo wa maisha na matibabu ili mtu aweze kuishi maisha yenye afya na utulivu. Wagonjwa wengi hupata matatizo makubwa si kwa sababu ya kisukari pekee, bali kwa sababu hawapati elimu sahihi ya namna ya kudhibiti ugonjwa huu kila siku.

Kwa sababu hiyo, Zephania Life Herbal Clinic imeandaa kitabu maalumu cha elimu ya afya kinachoitwa:

“Mwongozo wa Wagonjwa wa Kisukari: Lishe, Tiba na Afya Bora.”

Kitabu hiki ni mwongozo kamili wa kitaalamu uliotengenezwa ili kumsaidia mgonjwa wa kisukari kuelewa vizuri ugonjwa wake na kujifunza namna bora ya kuudhibiti kwa njia salama.
---------------------



UTAJIFUNZA NINI NDANI YA KITABU HIKI?

Ndani ya kitabu hiki utapata maelezo muhimu sana kama:

Dalili za kisukari na namna ya kuzitambua mapema
Sababu zinazoweza kusababisha kisukari kuongezeka mwilini
Vyakula bora vinavyosaidia kudhibiti sukari ya damu
Vyakula vinavyopaswa kuepukwa kabisa na mgonjwa wa kisukari
Menu maalum ya chakula kwa mgonjwa wa kisukari
Namna sahihi ya kupima na kufuatilia sukari ya damu
Njia bora za kuzuia madhara ya kisukari kwa figo, macho na moyo
Ushauri wa kitaalamu wa kuishi maisha bora ukiwa na kisukari


Kitabu hiki kimeandaliwa kwa lugha rahisi kueleweka, lakini kikiwa na maelezo ya kitaalamu yenye kusaidia mgonjwa kufanya maamuzi sahihi kuhusu afya yake.
---------------------



KITABU HIKI KINATOLEWA BURE

Kitabu hiki kinatolewa BURE kabisa kwa wagonjwa wanaofanya matibabu katika Zephania Life Herbal Clinic na wanaotumia dawa ya asili ya kisukari:

Diabeze Natural

Wagonjwa wanaopata tiba kupitia kliniki yetu hupatiwa kitabu hiki ili waweze:

kuelewa vizuri ugonjwa wao

kufuata lishe sahihi

kudhibiti sukari ya damu kwa ufanisi zaidi

---------------------



KWANINI ELIMU HII NI MUHIMU?

Ukweli ni kwamba, hata mtu akipata dawa nzuri ya kisukari, bila elimu sahihi ya lishe na mtindo wa maisha, matokeo ya matibabu yanaweza kuchelewa au kuwa duni.

Ndiyo maana katika Zephania Life Herbal Clinic hatutoi tiba pekee, bali tunatoa pia elimu kamili ya afya ili mgonjwa aweze kupata matokeo bora zaidi.

---------------------



JINSI YA KUANZA MATIBABU

Ikiwa wewe au ndugu yako unasumbuliwa na kisukari na ungependa kupata:

ushauri wa kitaalamu

tiba ya asili ya kisukari

pamoja na kitabu hiki muhimu bure



Wasiliana nasi sasa.

WhatsApp / Simu:
+255 766 431 675
+255 656 620 725 

EMAIL:
[email protected]
[email protected]


---------------------

ZEPHANIA LIFE HERBAL CLINIC
Elimu Sahihi – Tiba Sahihi – Afya Bora.

Anza safari ya kudhibiti kisukari leo, na pata mwongozo huu muhimu wa afya bure unapopata matibabu kupitia kliniki yetu.




SOMA ZAIDI

Soma Pia: Makosa Yanayofanywa na Wagonjwa wa Kisukari Katika Lishe na Tiba >>

Jinsi Kisukari Kinavyoathiri Mishipa ya Neva


Msikilize Dr. K.I. Zephania akifafanua jinsi kisukari kinavyoathiri mishipa ya neva na afya ya mwili.
Dr. K.I. Zephania akifafanua jinsi kisukari kinavyoathiri mishipa ya neva na afya ya mwili.

MAKALA ZINAZOHUSIANA >>


⬤ Umuhimu wa Lishe Sahihi kwa Wagonjwa wa Kisukari >> 
⬤ Nafasi ya Nyuzinyuzi Katika Kudhibiti Kisukari >>
⬤ Umuhimu wa Protini Katika Lishe ya Mgonjwa wa Kisukari >>
⬤ Kwa Nini Mboga za Majani ni Muhimu kwa Wagonjwa wa Kisukari >>
⬤ Nafaka Zisizokobolewa na Kisukari >>
⬤ Matunda bora sana kwa mgonjwa wa kisukari >>
⬤ Menu ya Chakula kwa Mgonjwa wa Kisukari >>
⬤ Umuhimu wa Maji kwa Wagonjwa wa Kisukari >>
⬤ Kwa Nini Uzito Kupita Kiasi Huongeza Hatari ya Kisukari >>
⬤ Mchanganyiko wa Lishe Bora na Mtindo wa Maisha >>

BAADHI YA DAWA ZETU

HASH™ – Dawa ya asili ya pumu inayosaidia kufungua njia za hewa, kupunguza mashambulizi ya pumu na kuboresha upumuaji salama.

Hash - Dawa ya Pumu

HASH – Dawa ya asili ya pumu inayosaidia kufungua njia za hewa, kupunguza mashambulizi ya pumu na kuboresha upumuaji salama. SOMA ZAIDI >>
YeshutaX – Dawa ya asili ya kuongeza nguvu za kiume, kuimarisha uwezo wa kusimamisha uume, kuongeza stamina na kuimarisha afya ya uzazi wa mwanaume.

YeshutaX - Dawa ya Nguvu za kiume

YeshutaX™ – Dawa ya asili ya kuongeza nguvu za kiume, kuimarisha uwezo wa kusimamisha uume, kuongeza stamina na kuimarisha afya ya uzazi wa mwanaume.
SOMA ZAIDI >>


Heart Complex – Dawa ya asili inayosaidia kudhibiti presha ya kupanda, kuboresha mzunguko wa damu, na kuimarisha afya ya moyo kwa ujumla.

Heart Complex - Dawa ya Presha

Heart Complex™ – Dawa ya asili inayosaidia kudhibiti presha ya kupanda, kuboresha mzunguko wa damu, na kuimarisha afya ya moyo kwa ujumla. 
SOMA ZAIDI >>

PEPTICA
DAWA BORA YA VIDONDA VYA TUMBO

Peptica – Dawa ya asili inayoponyesha kabisa vidonda vya tumbo, kumaliza kabisa maumivu ya tumbo, kurekebisha mmeng’enyo wa chakula na kusaidia uponaji wa ukuta wa tumbo.
Peptica – Dawa ya asili inayoponyesha kabisa vidonda vya tumbo, kumaliza kabisa maumivu ya tumbo, kurekebisha mmeng’enyo wa chakula na kusaidia uponaji wa ukuta wa tumbo. 
SOMA ZAIDI
Detox – Dawa ya asili inayosaidia kuondoa sumu mwilini, kusafisha damu na ini, kuboresha mmeng’enyo wa chakula na kuimarisha afya ya mwili.

Detox - Dawa ya kutoa Sumu

Detox™ – Dawa ya asili inayosaidia kuondoa sumu mwilini, kusafisha damu na ini, kuboresha mmeng’enyo wa chakula na kuimarisha afya ya mwili. 
SOMA ZAIDI >>

MIG 4 – Dawa ya asili ya kusaidia kupunguza maumivu ya kipandauso, kutuliza mishipa ya fahamu na kupunguza mashambulizi ya maumivu ya kichwa.

MIG 4 - Dawa ya kipandauso

MIG 4™ – Dawa ya asili ya kusaidia kupunguza maumivu ya kipandauso, kutuliza mishipa ya fahamu na kupunguza mashambulizi ya maumivu ya kichwa.
SOMA ZAIDI >>

PRIMA™ – Dawa bora sana ya asili inayosaidia kuchelewesha kufika kileleni mapema, kuongeza stamina ya tendo la ndoa na kuboresha udhibiti wa nguvu za kiume.

PRIMA - Kufika Kileleni Mapema

PRIMA™ – Dawa bora sana ya asili inayosaidia kuchelewesha kufika kileleni mapema, kuongeza stamina ya tendo la ndoa na kuboresha udhibiti wa nguvu za kiume. 
SOMA ZAIDI >>

ZEPHAHAKAGA
DAWA YA KUMALIZA KABISA PRESHA YA KUPANDA

ZEPHAHAKAGA – Dawa ya asili inayotibu na kupnyesha kabisa presha ya kupanda, kuboresha mzunguko wa damu, kupunguza msongo wa moyo na kuimarisha afya ya moyo kwa ujumla.
ZEPHAHAKAGA – Dawa ya asili inayotibu na kupnyesha kabisa presha ya kupanda, kuboresha mzunguko wa damu, kupunguza msongo wa moyo na kuimarisha afya ya moyo kwa ujumla. 
SOMA ZAIDI
KAPNATU™ – Dawa ya asili inayosaidia kuimarisha afya ya figo, kusafisha mfumo wa mkojo na kusaidia utendaji bora wa figo.

KAPNATU - Dawa ya Figo

KAPNATU™ – Dawa ya asili inayosaidia kuimarisha afya ya figo, kusafisha mfumo wa mkojo na kusaidia utendaji bora wa figo. 
SOMA ZAIDI >>

BAWESI™ – Dawa ya asili inayosaidia kupunguza uvimbe na maumivu ya bawasiri, kusaidia uponaji wa mishipa ya haja kubwa na kuboresha afya ya mfumo wa mmeng’enyo.

BAWESI - Dawa ya Bawasiri

BAWESI™ – Dawa ya asili inayosaidia kupunguza uvimbe na maumivu ya bawasiri, kusaidia uponaji wa mishipa ya haja kubwa na kuboresha afya ya mfumo wa mmeng’enyo. 
SOMA ZAIDI >>

FANGAJU™ – Dawa ya asili inayosaidia kutibu fangasi ukeni, kupunguza muwasho na uchafu ukeni, na kurejesha afya ya uke kwa usalama.

FANGAJU - Dawa ya Fangasi Ukeni

FANGAJU™ – Dawa ya asili inayosaidia kutibu fangasi ukeni, kupunguza muwasho na uchafu ukeni, na kurejesha afya ya uke kwa usalama. 
SOMA ZAIDI >>

TUMUKSI
DAWA BORA SANA YA ASILI YA KUTIBU CHUNUSI

TUMUKSI – Dawa bora ya asili inayosaidia kutibu chunusi, kupunguza mafuta mengi usoni, kusafisha ngozi na kurejesha ngozi kuwa safi, laini na yenye afya.
TUMUKSI – Dawa bora ya asili inayosaidia kutibu chunusi, kupunguza mafuta mengi usoni, kusafisha ngozi na kurejesha ngozi kuwa safi, laini na yenye afya. 
SOMA ZAIDI
UTIShiled™ – Dawa ya asili inayosaidia kupambana na malaria sugu, kupunguza homa kali, kuimarisha kinga ya mwili na kusaidia mwili kupona haraka.

UTIShiled - Dawa ya Malaria Sugu

UTIShiled™ – Dawa ya asili inayosaidia kupambana na malaria sugu, kupunguza homa kali, kuimarisha kinga ya mwili na kusaidia mwili kupona haraka. 
SOMA ZAIDI >>

PIDSAFE™ – Dawa ya asili inayosaidia kutibu PID, kupunguza maumivu ya nyonga, kuondoa maambukizi ya uzazi na kurejesha afya ya mfumo wa uzazi wa mwanamke.

PIDSAFE - Dawa Bora ya PID

PIDSAFE™ – Dawa ya asili inayosaidia kutibu PID, kupunguza maumivu ya nyonga, kuondoa maambukizi ya uzazi na kurejesha afya ya mfumo wa uzazi wa mwanamke.
SOMA ZAIDI >>
MALARIASHIELD™ – Dawa ya asili inayosaidia kupambana na malaria sugu, kupunguza homa, kuimarisha kinga ya mwili na kusaidia mwili kupona haraka.

MALARIASHIELD - Malaria Sugu

MALARIASHIELD™ – Dawa ya asili inayosaidia kupambana na malaria sugu, kupunguza homa, kuimarisha kinga ya mwili na kusaidia mwili kupona haraka. 
SOMA ZAIDI >>

TEZIDUME BUNI
DAWA YA ASILI YA KUVIMBA TEZIDUME

TEZIDUME BUNI – Dawa ya asili inayosaidia kupunguza uvimbe wa tezidume, kuboresha mtiririko wa mkojo, kupunguza maumivu na kusaidia afya ya mfumo wa mkojo kwa wanaume.
TEZIDUME BUNI – Dawa ya asili inayosaidia kupunguza uvimbe wa tezidume, kuboresha mtiririko wa mkojo, kupunguza maumivu na kusaidia afya ya mfumo wa mkojo kwa wanaume. 
SOMA ZAIDI

🔵 BOFYA HAPA UFAHAMU DAWA ZETU NYINGINE ZA ASILI ZA MAGONJWA MBALIMBALI >>


Uhakika wa Tiba Bora ya Asili Unayoweza Kuiamini


Katika kliniki yetu, Zephania Life Herbal Clinic, tunajivunia kutoa dawa za asili zilizoandaliwa kwa utafiti wa kina wa tiba asilia na uzoefu wa muda mrefu katika kusaidia wagonjwa wenye changamoto mbalimbali za kiafya. Dawa zetu hutengenezwa kwa kuchanganya maarifa ya tiba asilia na mbinu za kisasa za uchambuzi wa viambato vya mimea tiba ili kuhakikisha ubora, usalama na ufanisi wake kwa mgonjwa.

Kipaumbele chetu kikubwa ni kuhakikisha mgonjwa anapata tiba sahihi inayolenga chanzo cha tatizo, siyo kupunguza dalili pekee. Kwa sababu hiyo, kabla ya kuanza matibabu tunafanya tathmini ya hali ya mgonjwa ili kuelewa vizuri historia ya afya yake, hali ya ugonjwa na mahitaji ya mwili wake. Hii hutusaidia kutoa mwongozo sahihi wa matibabu na lishe ili kuongeza ufanisi wa tiba.

Dawa zetu zimewasaidia watu wengi kurejesha afya zao na kuishi maisha yenye nguvu na matumaini mapya. Tunazingatia ubora wa viambato vya asili, usafi wa maandalizi ya dawa, pamoja na ushauri wa kitaalamu kwa kila mgonjwa anayehitaji huduma zetu.

Lengo letu ni kuwasaidia wagonjwa kupata afya bora kwa njia salama, ya asili na yenye uangalizi wa kitaalamu, huku tukihakikisha wanapata mwongozo sahihi wa afya ili kudumisha ustawi wa mwili kwa muda mrefu.


Afya yako ni kipaumbele chetu.

Karibu Zephania Life Herbal Clinic kwa ushauri BORA WA KITAALAMU  na tiba ya asili yenye ubora wa hali ya juu sana.

SOMA PIA
________


⬤ Matibabu ya Uhakika ya Nguvu za Kiume >>
⬤ Dawa Inayoponyesha Kisukari >>
⬤ Dawa ya Asili ya Bawasiri >>
⬤ Madhara ya Kujichua kwa Nguvu za Kiume >>
⬤ Mwongozo Kamili wa Nguvu za Kiume >>
⬤ HJN - Dawa Bora ya Nguvu za Kiume >>
⬤ Njia 8 za Kupunguza Mafuta ya Tumbo >>
⬤ Umuhimu wa Vitamini D kwa Nguvu za Kiume >>
⬤ Faida za Parachichi Mwilini >>

⬤ Dawa za Kusimamisha Uume Kama Msumari >>
⬤Dawa Bora sana ya Kipandauso >>
⬤ Dawa ya Asili ya Kumaliza Kabisa Fangasi Ukeni >>
⬤ Matibabu ya Ngiri ya Kinena Bila Upasuaji >>
⬤ Kwa Nini Uume Wako Hausimami Asubuhi? >>
⬤ Dawa na Matibabu Sahihi ya Chunusi >>
⬤ Dawa na Matibabu Sahihi ya Pumu >>

Gallery

Cheti cha Mkemia Mkuu wa Serikali - Zephania Life Herbal Clinic
Certificate of COMPLETION - Dr. Khamisi Ibrahim Zephania -Zephania Life Herbal Clinic
Usajili wa Kituo cha Tiba -ZEPHANIA LIFE HERBAL CLINIC
BRELA -ZEPHANIA LIFE HERBAL CLINIC
ZEPHANIA LIFE HERBAL CLINIC

ZEPHANIA LIFE HERBAL CLINIC
Kliniki Maalamu ya Nguvu za Kiume na Magonjwa Sugu
Busweru I Kisesa - Mwanza, Tanzania (EA)


Simu/WhatsApp:
+255 766 431 675 I+255 656 620 725
EMAIL: [email protected]

DR. KHAMISI IBRAHIM ZEPHANIA - Daktari bingwa wa nguvu za kiume na magonjwa sugu

Dr. Khamisi Ibrahim Zephania ni daktari bingwa aliyebobea katika kutibu matatizo ya nguvu za kiume, uzazi na magonjwa sugu. Anatibu kuanzia chanzo cha tatizo. Anatibu hadi tatizo lako liishe kabisa. Ni matibabu ya uhakika wala si ya kubahatisha. Fika katika kliniki yake, Zephania Life Herbal Clinic (ZLHC) iliyoko jiji Mwanza, maeneo ya Busweru na nyingine iliyoko Kisesa. Au wasiliana naye kupitia namba zake za simu upate ushauri na tathimini yako ya afya ya kitaalamu na ushauri uliyo bora kabisa. Huduma hutolewa kwa umakini, maadili ya kitabibu, na ufuatiliaji wa karibu ili kuhakikisha mgonjwa anapata matokeo bora kulingana na hali yake. Unaweza kumtembelea katika kliniki ya Zephania Life Herbal Clinic iliyopo Jijini Mwanza – Busweru, au tawi la Kisesa. Pia unaweza kuwasiliana naye moja kwa moja kwa ushauri wa kitaalamu, tathmini ya afya, na maelekezo sahihi kulingana na mahitaji yako binafsi.

Simu / WhatsApp:
+255 766 431 675
+255 656 620 725

Barua Pepe:
[email protected]

 Zephania Life Herbal Clinic – Tiba ya Asili, Huduma ya Kitaalamu, Matokeo Yanayoeleweka.

Usafirishaji wa Dawa Zetu kwa Uhakika na Usalama

USAFIRISHAJI WA DAWA ZEPHANIA LIFE HERBAL CLINIC

Tunasafirisha dawa zetu za asili kwa ufanisi wa hali ya juu ndani na nje ya nchi, tukizingatia viwango vya kimataifa vya ufungashaji, usalama na uhifadhi wa ubora wa bidhaa. Kila kifurushi huandaliwa kwa umakini ili kuhakikisha kinamfikia mteja kikiwa salama, halisi na kwa wakati. Ili kuona risiti, taratibu na namna tunavyosafirisha kwa uwazi kamili, BOFYA HAPA sasa na ujiridhishe.

Wasiliana Nasi

Popote ulipo wasiliana nasi, tupigie simu au jaza fomu yetu hapa
TUMA
Book An Appointiment I About Us I Private Policy I All Products I  FAQ I  Shipping Policy I Refund Policy I Terms & Conditions I Disclaimer I Contact I Copyright

Zephania Life Herbal Clinic


Hours

M-F: 7am - 9pm

Telephone

+255 766 431 675
+255 656 620 725

Email

[email protected]
  • Home
  • About
  • Service
  • MAGONJWA
    • Nguvu za Kiume
    • BAWASIRI
    • Kisukari
    • Kipandauso
    • Fangasi Ukeni
  • Articles
    • Blog
  • Contact
  • Kitabu cha Kisukari: Mwongozo Kamili wa Kisukari na Udhibiti
  • Sababu 10 Zinazofanya Ushindwe Kabisa Kudhibiti Kisukari
  • Kwa Nini Sukari Yako Inabaki Juu Licha ya Kutumia Dawa?