Uzito Mkubwa Unaleta Magonjwa Haya
Uzito mkubwa ni sababu ya magonjwa mengi sana na hata kifo. Kufahamu matatizo ya kiafya yanayoletwa na uzito mubwa sana ni jambo la muhimu sana, kwani itakusaidia kuchukua hatua mapema. Kinga ni bora kuliko tiba. Katika makala haya tunakwenda kuzungumzia maradhi na changamoto za kiafya zinazosababishwa na uzito mkubwa kupita kiasi.