HJN - Dawa ya Bora Sana ya Nguvu za Kiume
HJN - DAWA YA BORA SANA YA NGUVU ZA KIUME
HJN ni dawa ya asili ya kipekee, iliyotengenezwa kwa mchanganyiko wa mimea tiba 21 yenye sifa thabiti za kuimarisha afya ya kiume. Kila kiungo kimechaguliwa kwa uangalifu ili kusaidia kurejesha nguvu za kiume, kuongeza nguvu za mwili, na kuboresha uwezo wa kisaikolojia na kimwili. Kutokana na mchanganyiko huu wa mimea asili, HJN hutoa matokeo yenye ufanisi wa haraka, bila madhara yoyote kama yanayoweza kutokea kwa dawa za kemikali. Zaidi ya hayo, dawa hii inachangia usawa wa homoni, kuimarisha m...
HJN – Nguvu yako ya asili, matokeo thabiti kwa nguvu za kiume!
HJN ni dawa bora sana ya kumaliza tatizo la nguvu za kiume. Dawa hii ni mchanganyiko wa miti 21 yenye uwezo mkubwa wa kutibu nguvu za kiume na ni nzuri sana na sana hasa kwa watu waliojichua (masturbation), wenye kisukari, presha, ngiri, vidonda vya tumbo. Ni dawa ambayo inatibu nguvu za kiume kabisa na kumaliza kabisa tatizo la nguvu za kiume, unakuwa kama haukuwahi kuwa na tatizo la nguvu za kiume kabisa maishani mwako.
Dawa hii ni ya asili. Dawa ya asili maana yake ni kwamba inaoana na asili ya mwili. Mimea asilia ndiyo inayoana na asili ya mwili wako na si dawa za kemikali (ambazo mara nyingi zinapatikana hospitali). Inachofanya dawa ya asili ni kuupa mwili uwezo wa kujiponyesha wenyewe. Dawa hii inatibu vipengele vifuatavyo vya nguvu za kiume:
- Inaleta hamu ya mapenzi kwa ambao hamu ya mapenzi iko chini. Hata kama wewe hamu yako ya mapenzi iko kawaida, unapotumia dawa hii hakuna tatizo, unajiimarisha zaidi.
- Inasimamisha uume kwa uimara sana, uume unakuwa kama msumari na haulegei wakati wa tendo mpaka wakati wa kumaliza tendo la ndoa.
- Ina uwezo wa kuchelewesha kufika kileleni kiasi cha dakika 45 hadi 60.
- Ina uwezo wa kukufanya kurudia mzunguko wa pili ndani ya muda mfupi sana hata kama wewe ni mzee wa miaka 70. Na kwa kijana inafanya vizuri zaidi.
- Dawa hii itakufanya usichoke sana pale utakapomaliza kufanya tendo la ndoa.
NI KOSA KUBWA KUKURUPUKA KUBUGIA DAWA ZA NGUVU ZA KIUME!
Kosa moja kubwa wanalofanya wanaume wengi (takribani asilimia 90% ya wanaume) ni kukurupuka kubugia dawa za nguvu za kiume mambo yanapoanza kwenda kombo kitandani bila kujua je, dawa hiyo anayotumia ni dawa sahihi inayokwenda kutibu chanzo cha tatizo lake?
Mwanaume huyu awe kijana au mtu mzima anapoona tu amepungukiwa nguvu za kiume anaanza kupita mitaani au mitandaoni kutafuta dawa za nguvu za kiume. Hapo akiambiwa dawa hii inatibu nguvu za kiume na kupona kabisa ataingia mfukoni na kununua dawa. Matokeo yake kupona ni shida sana kwa sababu yawezekana kupungua kwake nguvu za kiume kumetokana na shida ya kutanuka kwa tezi dume na kupungua kwa homoni ya testosterone, yeye kapewa dawa ya kusukuma damu kwenye mishipa ya uume, tatizo ambalo hana kabisa.
Usikurupuke kubugia dawa yoyote ya nguvu za kiume. Ni kosa kubwa sana. Kwanza tambua KUPUNGUA NGUVU ZA KIUME NI NINI?
Ndugu mtazamaji, tunaposema mwanaume huyu amepungukiwa nguvu za kiume tuna maanisha nini?
Ndani ya mwili wa mwanaume kuna vitu zaidi ya 100 vinavyoshughulika na nguvu za kiume. Baadhi ya vitu vinapoleta shida na hivyo kupelekea kushindwa kufanya kazi zake vizuri, hapo nguvu za kiume hupungua. Wewe mwanaume unapopata tatizo la upungufu wa nguvu za kiume tambua hayo ni matokeo ya ba...
Naam!!
Kama nilivyoeleza, ndani ya mwili wa mwanaume kuna vitu zaidi ya 100 vinavyoshughulika na nguvu za kiume. Hapa nitataja baadhi ya vitu vichache sana ili wewe mgonjwa pia uweze kuwa ni daktari wa afya yako, walau upate idea ndogo:
Testosterone
- Kuchochea hamu ya mapenzi na msisimko.
- Kuzuia kufika kileleni haraka.
- Kuleta raha zaidi.
Acytcloclin
- Kuchochea mzunguko wa damu kwenye uume.
Sensory Neurons
- Kupeleka hisia.
Motor Neurons
- Kupelekea taarifa kwenye uti wa mgongo.
Moyo
- Kusukuma damu.
Mishipa ya ateri
- Kusafirisha damu kwenye uume.
Mishipa ya neva ya parasympathetic
- Kusimamisha uume na kufunga milango ya shahawa.
Kofia mbili za kwenye figo (adrenal glands)
- Kuzuia usichoke haraka.
Tezi dume
- Kuzuia usifike haraka kileleni.
Kemikali ya Nitric Oxide
- Inayokaa kwenye kuta za damu na kuleta msisimko wa mapenzi.
Sasa daktari anapotaka kukutibu nguvu za kiume sharti awe na utaalamu wa mambo yafuatayo:
- Ajue ni kiungo gani au ni kitu gani kimeleta shida mwilini.
- Ajue dawa sahihi ya kutibu kiungo au kitu hicho kilicholeta shida mwilini.
- Ajue dozi sahihi ya kumpa mgonjwa.
- Awe na faili la mgonjwa afuatilie maendeleo ya mgonjwa kila baada ya muda fulani.
- Ajue ni vyakula gani sahihi vya kumshauri mgonjwa kulingana na sababu ya tatizo lake.
Bila kujua hayo, tabibu huyo atakuwa anacheza tu, hatoweza kukutibu kabisa. Atakuwa anakupa dawa kwa kubahatisha. Na madhara yake tatizo litakuwa linaongezeka kila kuchapo, maana kile kitu ambacho kimeathirika hakijatibiwa ipasavyo.
Embedded code TANGAZO HUSIKAππππ
NAMNA TUNAVYOKUTIBU HADI TATIZO LAKO LA NGUVU ZA KIUME KUISHA KABISA!
Mfumo wetu wa matibabu ni tofauti kabisa na wengine. Ni mfumo wa kipekee kabisa. Sisi hatuuzi dawa, tunafanya matibabu. Tunamtibu mgonjwa mpaka apone kabisa. Kwanza lazima tujue chanzo cha tatizo, yaani tufahamu kitu kilicholeta shida mwilini. Kama shida iko kwenye tezi dume au homoni fulani au misuli fulani. Tutafahamu vipi hili?
1. MAHOJIANO NA KUFUNGUA FAILI
Kwanza kabisa, tutafanya mahojiano na mgonjwa. Kama yuko Mwanza atafika ofisini kwetu moja kwa moja. Na kama yuko mbali tutafanya kwa njia ya simu. Tutafungua faili na maelezo yote tutaweka ndani ya faili. Gharama ya kufungua faili ni shilingi 6,000/- tu (Tanzanian Shillings).
Je, kupitia mahojiano tunaweza kujua sababu na chanzo cha tatizo?
Naam!
Kwa daktari ambaye ni mtaalamu anaweza kujua shida iko wapi kwa kufanya mahojiano na mgonjwa. Kwa nini?
Kwa sababu vitu vinavyohusika na nguvu za kiume pia vinashughulika na kazi zingine za mwili. Kwa mfano, naweza kukuuliza: Je, unapata kumbukumbu vizuri? Ukisema kumbukumbu zina shida ........ nitajua upungufu wako wa nguvu za kiume unatokana na homoni ya serotonin. Homoni hii pia inashughulika na kumbukumbu na pia inashughulika na kuchelewa kufika kileleni.
2. MATIBABU
Tunatibu kulingana na tatizo la mgonjwa kutokana na kile tulichokigundua baada ya kufanya mahojiano. Katika mfano wetu wa homoni ya serotonin tutampa dawa ambayo itaenda kutibu na kurekebisha mfumo wa homoni ya serotonin.
3. USHAURI WA MLO
Tutampa mgonjwa ushauri wa vyakula kulingana na tatizo lake, kulingana na vile tulivyofanya mahojiano. Kwa mfano huu, mgonjwa hapa ambapo tunaona mgonjwa kapungukiwa nguvu za kiume kutokana na homoni ya serotonin kuwa chini anapaswa ashauriwe kula mayai 2, ndizi 3 kila siku.
Kwa nini lazima tumshauri mgonjwa vyakula kulingana na tatizo lake?
Sababu kuu ni kwamba, kama mgonjwa hatapewa ushauri sahihi wa vyakula na mtindo sahihi wa maisha itakuwa ngumu sana kumtibu nguvu za kiume.....
4. KUANGALIA MAENDELEO YA MGONJWA
Utaratibu wetu ni kwamba kila wiki tunaangalia maendeleo ya mgonjwa ili kama anaendelea vibaya basi tumshauri zaidi na tubadilishe dawa.
JE, UNAKOSA HAMU YA MAPENZI?
HJN ni Suluhisho la Uhakika!
Kupungua kwa homoni ya testosterone, utumiaji wa madawa ya hospitali kwa muda mrefu kwa asilimia kubwa ndiyo chanzo cha wanaume wengi kupungukiwa na hamu ya mapenzi.
Testosterone ni homoni ya mapenzi ambayo ina mchango mkubwa katika kazi nyingi mwilini. Kwa wanaume homoni hii ndiyo inayoamsha hisia za mapenzi (libido), na pia hufanya kazi zingine za mwili ikiwa ni pamoja na kujenga mifupa, kutawanya mafuta mwilini, kujenga misuli na nguvu, na uzalishaji wa chembe hai nyekundu za damu na shahawa (mbegu za uzazi).
Kuna tabia na magonjwa mengi sana ambayo huweza kusababisha upungufu wa homoni ya testosterone na hivyo kusababisha upungufu wa hamu ya mapenzi.
JINSI HJN INAVYOKURUDISHIA HAMU YA MAPENZI KWA UFANISI
HJN - Dawa ya uhakika ya nguvu za kiume kutoka Zephania Life Herbal Clinic
Dawa hii hukupatia vitamini muhimu sana ambayo huweza kuongeza mtiririko wa damu kwenda kwenye uume na kukufanya uwe na afya nzuri ya tendo la ndoa.
Dawa hii husaidia uzalishaji wa kemikali ya phenethylamine na serotonin ndani ya mwili wako, na kusababisha mwili kuwa na hisia za kimapenzi.
Dawa hii imesheheni madini ya chuma, vitamin C, vitamin E ambayo ni muhimu sana kwa afya ya tendo la ndoa, vitamin B6 na madini ya kopa, fatty acids, vitu ambavyo huufanya mwili kuwa na uwezo wa kuleta hisia za mapenzi.
JINSI HJN INAVYOTIBU TATIZO LA UUME KUSIMAMA KWA ULEGEVU NA KUISHA KABISA
Dawa hii inaenda kwenye chanzo cha tatizo la mgonjwa. Dawa inatibu tatizo la uume kusimama kwa ulegevu.
Usimamaji barabara wa uume unahitaji utendaji mzuri wa mishipa ya vena, mishipa ya ateri, misuli laini, moyo, mishipa ya neva, impulses katika ubongo, uti wa mgongo, na mirija miwili iliyo ndani ya uume iitwayo corpora cavernosa.
Vitu hivi vinaweza kudhurika kutokana na maradhi na tabia mbalimbali, na hivyo uume hushindwa kusimika barabara.
Mgonjwa lazima tatizo lake lichunguzwe kwa umakini sana, ijulikane shida iko wapi ili kujua ni dozi kiasi gani za HJN atatakiwa kutumia.
Unapotumia dawa hii hufanya yafuatayo ndani ya mwili wako:
HJN ina viambato ambavyo huifanya misuli laini ya mwili kutanuka, na hivyo kusaidia uume kusimama kwa uimara. Na hutanua mishipa ya damu.
Kusimama kwa uume ni matokeo ya kutanuka kwa misuli laini (smooth muscles), kutanuka kwa mishipa ya ateri na mishipa ya vena kuzuia damu kutoka.
Kama misuli yako laini ina shida, na mishipa ya ateri na mishipa ya vena huwezi kusimamisha uume, na uume ukisimama unawahi kuregea.
Dawa hii pia hutumika kutibu matatizo ya moyo, shida za kumbukumbu, presha ya kupanda, mapigo ya moyo kwenda haraka au bila mpangilio.
Je, ni dalili ipi utajua misuli yako laini ina shida?
Tunao utaalamu wa kujua kama misuli yako laini, mishipa yako ya ateri ina shida.
Huboresha mfumo wa uzalishaji homoni na kuinua utendaji wa hypothalamus na mfumo wa hisia zetu na tabia katika ubongo (limbic system) na ina msaada mkubwa katika kuzalisha homoni zinazohusika na uzazi wa mwanaume na nguvu.
Hypothalamus, ambayo imekaa kwenye ubongo, hutema homoni.
Kama tutagundua kuwa kiwango cha homoni ya testosterone kimekuwa chini kutokana na matatizo ya korodani, au tatizo la hypothalamus au pituitary basi dawa hii itakufaa sana.
Maswali yetu tutakayokuhoji yataweza kutujulisha kama kuna shida ya homoni ya testosterone kutokana na tatizo la korodani au hypothalamus au pituitary.
Ndani ya dawa hii kuna mmea uitwao Cinnamomum cassia ambao kazi yake ni kutanua tishu za sponji (Corpora Cavernosa) zilizo ndani ya uume ili damu iingie na uume usimame barabara.
Kama tishu hizi hazitanuki vizuri huwezi kusimamisha uume barabara kwa sababu damu ya kutosha haingii vizuri ipasavyo.
TUNAO UWEZO WA KUTAMBUA TATIZO HILI KUPITIA MAHOJIANO TUTAKAYOFANYA NA WEWE.
Wasiliana nasi kupitia namba zetu za simu hapa chini ufanye mahojiano na ufungue faili.
Kufungua faili ni shilingi TSH. 6,000/-.
Kufungua faili ni rahisi sana, popote ulipo unafungua faili.
Dawa hii pia ina msaada mkubwa sana katika kutibu tatizo la nguvu za kiume kutokana na watu waliopungua nguvu za kiume kutokana na msongo wa mawazo.
TUNATUMA DAWA MAHALA POPOTE ULIPO
Tunatuma dawa mahala popote mtu alipo ndani na nje ya nchi.
Kwa watu walio ndani ya nchi, mzigo huchukua siku 3–5 hadi kukufikia.
Na kwa watu walio nje ya nchi mzigo huchukua siku 5–7, ambapo mizigo yote tunatuma kwa DHL; tunavyo vibali vya kusafirisha.
Mawasiliano
Simu/WhatsApp:
+255 766 431 675 / +255 656 620 725
Tangazo husikaπ
Usiendelee Kuteseka
Pata ushauri bora, sahihi na matibabu ya uhakika kutoka Zephania Life Herbal Clinic (ZLHC).
TUNATUMA DAWA MAHALA POPOTE ULIPO
Tunatuma dawa mahali popote ulipo, ndani na nje ya nchi. Tunashughulikia usafirishaji kwa uangalifu ili mzigo wako ukufikie kwa wakati.
Ndani ya Nchi
Mzigo huchukua takribani siku 3β5 hadi kukufikia.
Nje ya Nchi
Mzigo huchukua takribani siku 5β7 na hutumwa kupitia DHL.
Tunatumia huduma za usafirishaji za kimataifa kwa mizigo ya nje ya nchi na tunafuata taratibu na mahitaji ya usafirishaji husika.


HUDUMA YA USAFIRISHAJI WA DAWA
Tunatoa huduma ya kutuma na kusafirisha dawa kwa wagonjwa mahali popote ndani ya Tanzania na nje ya nchi, kwa kuzingatia upatikanaji wa huduma za usafirishaji katika eneo husika.
Wagonjwa walio nje ya Mwanza na nje ya Tanzania wanaweza kuwasiliana nasi kwa ajili ya maelekezo ya kuagiza, kuthibitisha anwani ya kupokelea na kupanga utaratibu unaofaa wa usafirishaji.
Zephania Life Herbal Clinic — kutoka Mwanza, Tanzania, hadi ulipo.
Video za Afya
Angalia video zetu kwa maelezo na elimu zaidi kuhusu afya.
Maelezo ya Afya
Ushauri wa Afya
Elimu ya Afya
Dkt. Khamisi Ibrahim Zephania
Dkt. Khamisi Ibrahim Zephania NI Daktari bingwa aliyebobea katika kutibu matatizo ya nguvu za kiume na magonjwa sugu. Anatibu kuanzia Chanzo cha tatizo na anatibu hadi tatizo lako liishe kabisa.
Ni matibabu ya uhakika siyo ya kubahatisha. Fika katika kliniki yake iliyoko Busweru jijini Mwanza, Tanzania (EA) au wasiliana naye kupitia namba za simu.

Zephania Life Herbal Clinic
Zephania Life Herbal Clinic (ZLHC) ni kliniki maalumu ya nguvu za kiume na magonjwa sugu.