zephania life herbal clinic

 

Fomu ya Tathmini ya Mgonjwa – Kupunguza Uzito na FatDetX-2

 

FatDetX-2 ni dawa asili ya kupunguza uzito iliyotengenezwa kwa mchanganyiko wa mimea ya kiasili, inayosaidia mwili kuchoma mafuta mwilini kwa usalama na kupunguza hamu ya kula harufu na vyakula vyenye sukari. Matibabu kamili unayopendekezwa ni kwa dozi ya chupa 3, inayotumika kwa miezi 3-4, kuhakikisha kupungua kwa mafuta mwilini kwa ufanisi na kudumu.

Gharama ya dozi kamili ya FatDetX-2 ni Tsh 375,000/-, ikijumuisha mwongozo wa matumizi sahihi na mpango wa lishe unaosaidia kuboresha matokeo. Dawa hii ni salama kwa wagonjwa wazima wenye afya njema, na matokeo ya awali yanaweza kuonekana ndani ya wiki chache za kwanza za kutumia.​
 

 

​Sehemu A: Taarifa Binafsi

* 
Jina Kamili *
 
 
 
 
Umri *
 
Jinsia *
  Mwanaume  Mwanamke 
Simu *
 
 
 
WhatsApp 
 
 
 
Email 
 
Eneo/Mji *
 
 

 

Sehemu B: Taarifa za Afya

Uzito wa sasa (kg): *
 
Urefu (cm): *
 
Je una maradhi yoyote? *
  Ndiyo  Hapana 
Ikiwa Ndiyo una maradhi, tafadhali eleza:
 
Je unatumia dawa yoyote sasa? *
  Ndiyo  Hapana 
Ikiwa Ndiyo unatumia dawa, tafadhali orodhesha:
 
Historia ya kisukari (diabetes)? *
  Ndiyo  Hapana 
Historia ya shinikizo la damu (presha ya juu)? *
  Ndiyo  Hapana 
Historia ya ugonjwa wa moyo au figo? *
  Ndiyo  Hapana 
 

 

Sehemu C: Tabia za Lishe na Mazoezi

Unakula mara ngapi kwa siku? *
  2  3  Zaidi 
Unakula vyakula vyenye sukari nyingi mara ngapi kwa wiki? *
 
Unakula vyakula vyenye mafuta mengi mara ngapi kwa wiki? *
 
Unafanya mazoezi mara ngapi kwa wiki? *
  Hakuna  1-2  3-5  Zaidi 
Je, unatumia pombe au sigara? *
  Natumia pombe tu  Natumia sigara tu  Natumia vyote viwili (pombe na sigara) 
Malengo yako makuu ya kupunguza uzito: *
 
 

 

Sehemu D: Historia ya Uzito

Umekuwa na uzito wa juu kwa muda gani? *
 
Njia zilizopita za kupunguza uzito ulizojaribu: *
 
Ni changamoto gani kubwa unazokumbana nazo wakati wa kupunguza uzito? *
 
 

 

Sehemu E: Maelezo ya Ununuzi wa FatDetX-2

Je ungependa kuagiza FatDetX-2 sasa? *
  Ndiyo  Hapana 
Idadi ya chupa unazotaka kuagiza: *
 
Njia ya malipo uliyochagua: *
  Bank CRDB: 0150362084300 (Zephania Life Herbal Clinic)  M-PESA: 0766431675 (KHAMISI IBRAHIM ZEPHANIA)  Bank NMB:  33810012729 (Khamisi Ibrahim Zephania) 
Anuani ya usafirishaji (mahala pa kupokelea mzigo): *
 
Je, ungependa ushauri wa lishe maalumu unaoambatana na FatDetX-2? *
  Ndiyo  Hapana 
 

 

Sehemu F: Taarifa za Ziada

Maswali au maoni:
 
Taarifa yoyote ya kiafya au historia ya familia inayohusiana na uzito: